Waliofukiwa ardhini siku 41 waanza kuona
Na Paul Kayanda, Kahama
HALI za wachimbaji wadogo waliookolewa baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo kwa siku 41 katika machimbo ya Nyangarata, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, zinaanza kuimarika huku baadhi yao wakianza kuona.
Kwa mujibu wa taarifa za kitabibu zilizotolewa na Hospitali ya Wilaya ya Kahama, wachimbaji hao wameanza kuona ingawa kwa uoni hafifu, lakini kadiri ya siku zinavyokwenda afya zao zitaanza kuimarika.
Akizungumza jana na MTANZANIA, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo520 Nov
Mpoto awatembelea waliofukiwa ardhini kwa siku 41 Kahama
![11939499_921487764605111_371047303_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11939499_921487764605111_371047303_n-300x194.jpg)
Mrisho Mpoto amewatembelea wachimbaji watano kati ya sita walionusurika kifo baada ya kufukiwa na kifusi kwa siku 41 katika mgodi huko wilayani Kahama walikolazwa.
Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM leo, Mpoto alisema ameguswa na suala hiyo la kustaajabisha.
“Nilikuwa Shinyanga sasa nikaona kwa sababu hapa Kahama ni karibu ngoja niwatembelee, ni kama sehemu ya ibada. Katika safari ya maisha kila kitu kinawezekana, usipokuwa waliongea sentensi moja kwamba ‘maiti za kwetu madini...
11 years ago
BBCSwahili18 Mar
Msako wa ndege waanza ardhini China
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Wachimbaji waokolewa baada ya kufukiwa ardhini siku 41
*Waliishi kwa kula mende, mizizi
* Waligunduliwa na mchimbaji aliyekwenda kuiba mchanga wa madini
Na Waandishi Wetu, Kahama na Dar
WACHIMBAJI wadogo watano katika mgodi wa Nyangarata, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, wameokolewa baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo ardhini kwa siku 41.
Wakizungumza katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama ambako wamelazwa kwa matibabu jana, wachimbaji hao walisema waliishi siku zote hizo kwa kula wadudu kama mende na mizizi mbalimbali.
Kwa mujibu wa...
11 years ago
Mwananchi13 May
Ukawa waanza ziara ya siku 10 Bara
11 years ago
BBCSwahili26 May
Uchaguzi Misri waanza leo kwa siku mbili
9 years ago
Habarileo01 Jan
Waliofukiwa mgodini Chunya waopolewa
KAZI ya kutafuta miili ya wachimbaji wadogo waliokuwa wamefukiwa na kifusi katika mgodi wa dhahabu mwishoni mwa wiki katika Kata ya Sagambi wilayani hapa, katika mkoa wa Mbeya imesitishwa rasmi baada ya kupatikana kwa mwili wa mchimbaji mwingine.
10 years ago
MichuziMkutano wa siku mbili wa Mawaziri wa SADC Waanza jijini Harare
10 years ago
Michuzi13 Nov
Balozi Seif Ali Iddi na Ujumbe wake waanza ziara ya siku 10 nchini China
![](https://4.bp.blogspot.com/-4j59t3pXkC4/VGSQxnGN_2I/AAAAAAAGw68/iU9GktJNF28/s640/292.jpg)
11 years ago
MichuziHALMASHAURI NA WADAU WA JIJI LA MWANZA WAANZA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA KUADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA JUNI 16