Waliofukiwa mgodini Chunya waopolewa
KAZI ya kutafuta miili ya wachimbaji wadogo waliokuwa wamefukiwa na kifusi katika mgodi wa dhahabu mwishoni mwa wiki katika Kata ya Sagambi wilayani hapa, katika mkoa wa Mbeya imesitishwa rasmi baada ya kupatikana kwa mwili wa mchimbaji mwingine.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Mwili wa mtahiniwa wa kidato cha nne aliyesombwa na mafuriko waopolewa
9 years ago
Mtanzania18 Nov
Waliofukiwa ardhini siku 41 waanza kuona
Na Paul Kayanda, Kahama
HALI za wachimbaji wadogo waliookolewa baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo kwa siku 41 katika machimbo ya Nyangarata, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, zinaanza kuimarika huku baadhi yao wakianza kuona.
Kwa mujibu wa taarifa za kitabibu zilizotolewa na Hospitali ya Wilaya ya Kahama, wachimbaji hao wameanza kuona ingawa kwa uoni hafifu, lakini kadiri ya siku zinavyokwenda afya zao zitaanza kuimarika.
Akizungumza jana na MTANZANIA, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya...
9 years ago
Bongo520 Nov
Mpoto awatembelea waliofukiwa ardhini kwa siku 41 Kahama
![11939499_921487764605111_371047303_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11939499_921487764605111_371047303_n-300x194.jpg)
Mrisho Mpoto amewatembelea wachimbaji watano kati ya sita walionusurika kifo baada ya kufukiwa na kifusi kwa siku 41 katika mgodi huko wilayani Kahama walikolazwa.
Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM leo, Mpoto alisema ameguswa na suala hiyo la kustaajabisha.
“Nilikuwa Shinyanga sasa nikaona kwa sababu hapa Kahama ni karibu ngoja niwatembelee, ni kama sehemu ya ibada. Katika safari ya maisha kila kitu kinawezekana, usipokuwa waliongea sentensi moja kwamba ‘maiti za kwetu madini...
9 years ago
Mwananchi16 Nov
Taharuki yaibuka machimbo ya Nyangalata, waliofukiwa wadaiwa kuwa hai
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Bil 8/- kujenga uwanja Chunya
KAMPUNI ya saruji mkoani hapa maarufu kama Mbeya Cement, imetoa mifuko 1,000 ya saruji sawa na tani 50 kusaidia kuendeleza ujenzi wa uwanja wa kisasa wa michezo wilayani Chunya. Akizungumza...
5 years ago
MichuziWANANCHI WA MAKONGOLOSI CHUNYA WALILIA BARABARA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-8hezOt3-Wyg/VQFHIG87K8I/AAAAAAAHJwc/WBGdy05uVrI/s72-c/Untitled1.png)
Mgodi wa Dhahabu Chunya wahesabiwa siku
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira na Wataalam wa Mazingira wameagizwa kutoa elimu ya mazingira kwa wawekezaji wa Mgodi wa Dhahabu wa Sunshine uliyopo Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya .Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Injinia Binilith Mahenge jana alipotembelea machimbo ya Mgodi huo nakubaini kuwa unaendeshwa bila kuzingatia Kanuni za Mazingira.
Katika ziara hiyo Mh. Mahenge alibaini...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Chunya yapata maji kwa asilimia 67
SERIKALI imesema upatikanaji wa maji katika mji wa Chunya ni asilimia 67.7. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Aggrey Mwanri, alitoa kauli...
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Chunya wapata maji chini ya kiwango
UPATIKANAJI wa maji katika mji wa Chunya ni asilimia 67.7 chini ya lengo la maji la asilimia 95 kwa mijini. Takwimu hizo zilitolewa bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri...