Uwekezaji Afrika waongezeka- Dk Bilal
Uwekezaji katika nchi za Afrika umekuwa ukiongezeka kutokana na kampuni za uwekezaji kuwa na uhakika wa usalama wa mitaji yao kupitia Kampuni ya Bima ya Wafanyabiashara Afrika (ATI) ambayo Tanzania ni mwanachama.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima06 Nov
Vijana changamkieni fursa za uwekezaji — Dk Bilal
MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Gharib Bilal, amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa mbalimbali za uwekezaji kwa njia ya ubia kutoka kwa wawekezaji wa nje, ili kujitengenezea fursa za ajira...
11 years ago
Habarileo25 Jul
Dk Bilal ahimiza uwekezaji kwenye sayansi, teknolojia
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amesema nchi za Afrika haziwezi kuendelea pasipo kuwekeza kwenye masomo ya sayansi na teknolojia.
11 years ago
Michuzi10 Jun
11 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA,JIJINI MWANZA LEO



10 years ago
Dewji Blog10 Sep
Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua kongamano la uwekezaji ukanda wa ziwa Tanganyika, mjini Kigoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Uwekezaji wa Ziwa Tanganyika, lililofanyika jana Sept 9, 2015 kwenye Hoteli ya Tanganyika Mjini Kigoma. (Picha na OMR).
Mwakilishi wa Umoja wa wafanyabishara wa Burundi, akizungumza.
Waziri wa Nchi- Uwekezaji na Uwezeshaji, Eng. Christopher Chiza, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi, Makamu wa Rais Dkt. Bilal ili kufungua Kongamano hilo.
Sehemu ya...
10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI UKANDA WA ZIWA TANGANYIKA, MJINI KIGOMA LEO.


11 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL AWASILI JIJINI MWANZA JIONI YA LEO,KUFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA KESHO


11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Tanzania, Afrika Kusini kuimarisha mamlaka za uwekezaji
UHUSIANO wa kibiashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Afrika Kusini unazidi kuimarika baada ya nchi hizo kufikia makubaliano ya kuunda vikosi kazi katika nchi hizo ili kuimarisha mamlaka za...
10 years ago
MichuziTANZANIA YAONGOZA AFRIKA MASHARIKI KWA UWEKEZAJI