Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uzalishaji maziwa waongezeka nchini

Serikali imesema kuanzishwa kwa viwanda vipya vya kusindika maziwa nchini kumesaidia kuongezeka kwa uzalishaji wa bidhaa hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

UZALISHAJI WA MIFUGO KATIKA MASHAMBA YA JESHI LA MAGEREZA WAONGEZEKA KWA MAFANIKIO MAKUBWA NCHINI

Maziwa yakiwa tayari yamekamliwa na kuhifadhiwa kwenye majokovu kabla ya kwenda kwa walaji. Shamba hilo la Uzalishaji ngo'mbe wa maziwa la Gereza Mtego wa Simba limekuwa likipigiwa mfano hapa nchiniSehemu ya Wanyama kazi katika Shamba Kubwa la Uzalishaji wa ngo'mbe wa nyama katika Gereza Ubena lililopo Mkoani Pwani. Shamba hilo lina takribani jumla ya ngo'mbe zaidi ya 1500. Uzalishaji wa ngo'mbe umekuwa ukiongezeka kwa mafanikio makubwa kila Mwaka hivi karibuni kutokana na juhudi kubwa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA-UZALISHAJI WA KAHAWA WAONGEZEKA WAFIKIA TANI 214,962


Waziri wa Kilimo, Mhe Japhet Hasunga (Mb)


Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma

WAZIRI wa Kilimo, Mhe Japhet Hasunga (Mb) amesema kuwa katika kipindi cha Serikali ya awamu ya Tano ya Dkt. John Magufuli zao la Kahawa limeweza kufikia uzalishaji wa tani 214,962 .

Ametoa kauli hiyo Jijini Dodoma wakati akizungumzia mafanikio yaliyopatikana katika sekta ya Kahawa katika kipindi cha miaka minne ya serikali ya awamu ya tano na kusema kuwa kwa wastani kila mwaka imekuwa ikizalisha tani 51,777 ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yasisitiza katika uzalishaji,ukusanyaji na usindikaji wa Maziwa

bahariiiii

Msemaji wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Mohamed Bahari akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) walipotembelea kiwanda cha uzalishaji wa maziwa kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam ambapo Serikali inasisitiza watanzania kuwekeza katika sekta ya ufugaji na uzalishaji wa maziwa ili kukuza uchumi.

director

Mkurugenzi wa kiwanda cha Maziwa cha MilkCom Dairies Ltd Yusuph Said akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu bidhaa zinazozalishwa kiwandani hapo  wakati...

 

9 years ago

StarTV

Wataalamu wa mifugo Afrika wakutana jijini Tanga kujadili uzalishaji wa maziwa

Wataalamu wa mifugo kutoka nchi mbalimbali za Afrika wamekutana jijini Tanga kujadili namna watakavyoweza kuongeza uzalishaji wa maziwa na bidhaa zinazotokana na maziwa kati ya nchi hizo.

Wataalamu hao wanatoka Misri, Ghana, Zimbabwe, Uganda, Kenya na wenyeji Tanzania.

Tanzania ina ngombe wa maziwa laki 750, licha ya kuwa na ngombe hao lakini jamii bado imekuwa na mwitikio mdogo wa unywaji wa maziwa.

Kwa mujibu wa Shirika la Chakula Duniani FAO, mahitaji ya mtu mmoja kwa mwaka ni lita 200...

 

5 years ago

Michuzi

UZALISHAJI WA VAZI KINGA (PPE) MUHIMBILI WAONGEZEKA KWA 400% HUKU MAMLAKA YA DAWA NA VIFAA TIBA (TMDA) IKIRIDHIA NA KULITAMBUA

Mafundi wa kitengo cha Ushonaji MNH wakiendelea na ushonaji wa vazi la PPEVazi la PPE likiwa tayari kupelekwa kwa wateja .Mafundi wa Kitengo cha Ushonaji MNH wakiwa katika maandalizi ya awali ya ushonaji wa vazi la PPEMuonekano wa vazi la PPE linaloshonwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili.******************************* Dar es Salaam, Jumanne Mei 19,...

 

10 years ago

Mwananchi

Mfumuko wa bei waongezeka nchini

Mfumuko wa bei umeongezeka na kufikia asilimia 6.4 kutoka mwezi uliopita tofauti na ilivyokuwa Juni asilimia 6.1.

 

5 years ago

Michuzi

WAGONJWA WAPYA WA CORONA 196 WAONGEZEKA NCHINI


Na WAJMW-Dodoma

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ametangaza ongezeko la wagonjwa wa Corona 196 nchini huku Tanzania Bara ikiwa na Wagonjwa 174 na Zanzibar wagonjwa 22 ambao walitolewa taarifa na Waziri wa Afya Wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid na kufanya idadi ya wagonjwa wa Corona nchini kufikia 480.

Waziri Mkuu Majaliwa amesema hayo wakati akigawa magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge wa majimbo mbalimbali tukio lililofanyika leo katika ofisi ya Waziri Mkuu iliyopo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uzalishaji wa dawa nchini hauridhishi

IMEBAINIKA kuwa wingi wa uzalishaji wa dawa za binadamu zenye viwango na ubora unaotakiwa nchini bado ni mdogo ikilinganishwa na nchi nyingine duniani. Mwakilishi kutoka Wizara ya Afya, Dk. Eliahadi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani