Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Uzembe, woga vyanzo vya umaskini’

Uzembe, dharau na woga wa kuthubutu kuanzisha miradi ya maendeleo kwa baadhi ya watu, imedaiwa kuwa chanzo cha umaskini kwenye familia nyingi nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Vyanzo vya umaskini vyabainishwa

UMASIKINI nchini umelezwa kuchangiwa na ongezeko la ukatili wa kijinsia na bajeti ya taifa kutozingatia mahitaji ya kijinsia. Hayo yalibainishwa jana na Mratibu wa Mafunzo ya Ushawishi na Utetezi katika...

 

11 years ago

Michuzi

MADIWANI MANISPAA YA MOSHI WATEMBELEA VYANZO VYA MAJI VYA MUWSA

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja (mwenye suti)akiwaongoza madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Moshi kutembelea vyanzo vya maji vinavyosimamiwa na mamlaka hiyo.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja(aliyenyoosha mkono)akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea chanzo cha Maji cha Cofee Curing.  Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira...

 

10 years ago

StarTV

Wananchi wavamia vyanzo vya maji vya Milima ya Amani Tanga.

Na Mbonea Herman,

Tanga.

 

Wakati Serikali ikiwa imepiga marufuku uvunaji wa misitu na uchimbaji wa madini kwenye vyanzo vya maji vya milima ya Amani, jitihada hizo zimeonekana kugonga mwamba baada ya shughuli hizo kuanza tena kwa kasi.

 

Shughuli za madini na uvunaji wa mbao katika milima ya Amani wilayani Muheza mkoani Tanga huenda zikasababisha ukosefu wa maji kuendelea katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo na jiji la Tanga kwa ujumla.

 

Maji ni uhai na pia ni muhimu kwa maisha ya kila...

 

10 years ago

Michuzi

DC MAKUNGA ATEMBELEA VYANZO VYA MAJI VYA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA)

Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akiongozana na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi(MUWSA) Sharry Raymond wakati akitembelea chanzo cha maji cha Kilimanjaro.
Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Patrick Kibasa akimueleza jambo mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga wakati wa ziara yake ya siku moja kutembelea vyanzo vya maji vya mamlaka hiyo.
DC Makunga akisikiliza kwa makini...

 

9 years ago

StarTV

Uharibifu Vyanzo Vya Maji Mto Zigi vya waweza kusababisha tatizo la maji Tanga

Mamlaka ya majisafi na majitaka Tanga UWASA imesema uharibifu wa mazingira katika vyanzo vya maji vya mto Zigi unaweza kusababisha jiji hilo kuingia kwenye tatizo la maji.

Tayari Mamlaka hiyo imeanzisha Umoja wa Wakulima hifadhi Mazingira Kihuwhi Zigi, UWAMAKIZI kama harakati ya kukabiliana na uchimbaji wa madini, kilimo na ukataji wa miti kwa ajili ya mbao.

Jiji la Tanga hutegemea maji ya mto zigi kama chanzo pekee cha maji na shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya mto huo huenda...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vyanzo vya migogoro hifadhini vyatajwa

MAENDELEO duni, uchu wa madaraka, mila potofu na usimamizi mbovu wa sheria kwa wananchi wanaoishi karibu na hifadhi za taifa, imetajwa kuwa ni kichocheo kikubwa cha migogoro kati ya Shirika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Msihusishe ushirikina na vyanzo vya magonjwa’

WAGANGA wa Tiba Asili wamehamasishwa kujiepusha na migongano katika jamii kwa kutohusisha ushirikina na uchawi kama vyanzo vya ugonjwa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Waziri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hatimiliki zilinde vyanzo vya maji — DC

MKUU wa Wilaya (DC) ya Arumeru, Nyirembe Munasa, ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Arusha (Auwsa) kuhakikisha inayawekea hatimiliki maeneo yote ya vyanzo vya maji yaliyopo wilayani hapa ili kuyalinda...

 

9 years ago

Habarileo

Waliojenga vyanzo vya maji wapewa siku 21

MKUU wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesera ametoa siku 21 kwa watu wote waliojenga nyumba katika hifadhi au maeneo ya barabara na karibu na vyanzo vya maji, kubomoa kabla kazi hiyo haijafanywa na mamlaka zinazohusika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani