uzinduzi rasmi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 inayoendeshwa na Kilimanjaro Premium Lager
Viongozi wa timu za Simba na Yanga, Geofrey Nyange Kaburu, kushoto ambaye ni Makamu wa Rais Simba na Mohamed Bhinda, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Yanga (kulia) wakivuta kamba kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 inayoendeshwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager. Uzinduzi huo rasmi kwa wadau wa Simba na Yanga ulifanyika leo kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.Katikati ni Meneja wa bia hiyo, George Kavishe na Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, Bi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL5 years ago
CCM BlogBMT YAPONGEZA KILIMANJARO PREMIUM LAGER KWA UDHAMINI WA AINA YAKE
Mshindi wa mbio za Kilimanjaro Premium Lager 42 km Kiplagat Kiplimo. Mbio za mwaka huu za km 42 ziliwavutia wengi huku namba zikiisha kabla ya tarehe ya mwisho iliyotangazwa
BARAZA la Michezo la Taifa (BMT),...
10 years ago
GPL11 years ago
GPLNANI MTANI JEMBE?......MNYAMAAAAAA!
10 years ago
VijimamboSIMBA 2 YANGA 0 NANI MTANI JEMBE
Goli la pili la Simba limeweka wavuna na Elius Maguli na kuifanya Yanga kuzidi kutweta huku Simba wakizidi kuliandama lango la Yanga.
Mchezo huo wa kuania kombe la Nani Mtani Jembe 2014 bado unaendelea Uwanja wa Taifa jijini...
10 years ago
GPLNani mtani jembe: tumuachie Mungu
11 years ago
GPLTASWIRA ZA MECHI YA NANI MTANI JEMBE
10 years ago
Michuzihayaaa! hayaaaaaa! nani mtani jembe leo???
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Viingilio pambano la promosheni ya Nani Mtani Jembe