UZINDUZI WA GLOBAL TV ONLINE
Angalia baadhi ya matukio yaliyochukua nafasi wakati wa uzinduzi wa Global TV Online Aprili 16, 2014 ndani ya ofisi za Global Publishers Ltd zilizopo Mwenge-Bamaga jijini Dar es Salaam.
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLUZINDUZI WA GLOBAL TV ONLINE WAFUNIKA
Kutoka kushoto: Wasanii Dk. Cheni, Bi. Mwenda, Profesa Jay na Wema Sepetu wakishiriki kukata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa GlobaL TV Online jana. Wema Sepetu na Profesa Jay wakifunua vitambaa wakati wa uzinduzi wa GlobaL TV Online jana katika ofisi za Global Publishers Ltd.…
10 years ago
GPLMAD ICE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS, ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE
Mad Ice akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Mad Ice akibadilishana mawazo na Mwandishi wa Global, Andrew  Carlos kabla ya mawasiliano.…
11 years ago
GPLAMMY NANDO ATINGA GLOBAL NA BAISKELI, AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE
Ammy Nando akiwa katika usafiri wake aliotinga nao Global akijiandaa kuondoka baada ya mahojiano na Global TV Online. Ammy Nando na mdogo wake wakitokomea baada ya mahojiano na Global TV Online.…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilonpijcSdmCWp7rKxje99SmznJtocIiCF3OxNQkh3kFg2nnmozewyvjwAv5a2vH3EEqOpEW9Y3g-ahRowdWtNWc/BELLA.jpg?width=650)
CHRISTIAN BELLA ATUA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
Christian Bella aka 'King of Melody' akihojiwa ndani ya studio za Global TV Online. Bella akifurahia jambo wakati wa mahojiano hayo.…
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/FyK0VE8PznM/default.jpg)
9 years ago
Global Publishers15 Dec
11 years ago
GPLMKUDE SIMBA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
Mkude Simba (kulia) na Stan Bakora wakipozi katika studio za Global TV Online kabla ya mahojiano. Mkude Simba a.k.a Kitale akiongea na wanahabari wa Global 'hawapo pichani'.…
10 years ago
GPLNUHU MZIWANDA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
Nuhu Mziwanda ndani ya studio za Global TV Online. Nuhu Mziwanda akipozi na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'Pam D'.…
11 years ago
GPLMAPRODYUZA MESEN SELEKTA, MONA GANGSTAR WATEMBELEA GLOBAL, WAFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
Prodyuza Mesen Selekta akiwa tayari kwa mahojiano na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'The Mic Queen'. Mesen Selekta katika pozi ndani ya Global TV.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania