Global TV Online: Mwili wa Mwanahabari wa Global, Sanchawa ulivyoagwa Dar
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Mwanahabari wa Global, Haruni Sanchawa alivyozikwa Serengeti-Mara
Kaburi la aliyekuwa mwanahabari wa Global, Haruni Sanchawa, baada ya kuzikwa hivi karibuni kijijini kwao Serengeti-Mara.
Ndugu wakiendelea na kikao kabla ya mazishi.
Ndugu jamaa na marafiki wakiwa katika msibani hapo.
Mfanyakazi wa Global Publishers, Makongoro Oging’ akipata chochote.
(Picha: Lawrence Kabende Serengeti-Mara/GPL)
9 years ago
Dewji Blog12 Dec
Mfanyakazi wa Global, Haruni Sanchawa aagwa Dar, kuzikwa Serengeti-Mara
Marehemu Haruni Sanchawa enzi za uhai wake.
Mke wa Marehemu, Adelina Haruni Sancha akiuagwa mwili pamoja na wanaye wawili.
Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (wa kwanza mbele ) akiwa na huzuni msibani hapo.
Waombolezaji wakiwa msibani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigiongo (wa pili kulia) na wafanyakazi wa Global wakiomboleza msibani hapo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers wakiomboleza.
Huzuni ikiwa imetanda msibani hapo.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Haruni...
9 years ago
Michuzi12 Dec
Mpiganaji Haruni Sanchawa wa Global Publishers aagwa Dar, kuzikwa Serengeti Mkoani Mara
Sanchawa alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya tumbo, alifariki saa chache baada kuhamishiwa katika hospitali hiyo baada ya kupewa rufaa kutoka Hospitali ya Amana alipokuwa amelazwa kwa siku...
10 years ago
GPLMAD ICE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS, ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE
11 years ago
GPLMKUDE SIMBA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
GPLNUHU MZIWANDA ATINGA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilonpijcSdmCWp7rKxje99SmznJtocIiCF3OxNQkh3kFg2nnmozewyvjwAv5a2vH3EEqOpEW9Y3g-ahRowdWtNWc/BELLA.jpg?width=650)
CHRISTIAN BELLA ATUA GLOBAL, AFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
11 years ago
GPLAMMY NANDO ATINGA GLOBAL NA BAISKELI, AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/FyK0VE8PznM/default.jpg)