Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mpiganaji Haruni Sanchawa wa Global Publishers aagwa Dar, kuzikwa Serengeti Mkoani Mara

MWANDISHI wa habari wa Global Publishers Ltd, Haruni Sanchawa, aliyefariki dunia Desemba 9 mwaka huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar, ameagwa leo nyumbani kwa mjomba wake Kitunda jijini Dar es Salaam na kusafirishwa kuelekea Mugumu-Serengeti, mkoani Mara, ambapo atazikwa kijiji cha Lemungololi.
Sanchawa alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya tumbo, alifariki saa chache baada kuhamishiwa katika hospitali hiyo baada ya kupewa rufaa kutoka Hospitali ya Amana alipokuwa amelazwa kwa siku...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mfanyakazi wa Global, Haruni Sanchawa aagwa Dar, kuzikwa Serengeti-Mara

DSC_0941Marehemu Haruni Sanchawa enzi za uhai wake.1.Mke wa Marehemu, Adelina Haruni Sancha akiuagwa mwili pamoja na wanaye wawili.Mke wa Marehemu, Adelina Haruni Sancha akiuagwa mwili pamoja na wanaye wawili.2.Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (wa kwanza mbele ) akiwa na huzuni msibani hapo.Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (wa kwanza mbele ) akiwa na huzuni msibani hapo.3.Waombolezaji wakiwa msibani.Waombolezaji wakiwa msibani.4.Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigiongo (wa pili kulia) akiomboleza msibani hapo.Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigiongo (wa pili kulia) na wafanyakazi wa Global wakiomboleza msibani hapo.6.Baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers waomboleza.Baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers wakiomboleza.7.Huzuni ikiwa imetanda msibani hapo.Huzuni ikiwa imetanda msibani hapo.8.Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Haruni Sanchawa likishushwa Nyumbani kwa Mjombake Kitunda Dar kwa ajili ya kuagwa.Jeneza lenye mwili wa marehemu Haruni...

 

9 years ago

Global Publishers

Mwanahabari wa Global, Haruni Sanchawa alivyozikwa Serengeti-Mara

sanchawaKaburi la aliyekuwa  mwanahabari wa Global, Haruni Sanchawa, baada ya kuzikwa hivi karibuni kijijini kwao Serengeti-Mara.

sanchawa (3) sanchawa (4)Ndugu wakiendelea na kikao kabla ya mazishi.

sanchawa (1)Ndugu jamaa na marafiki wakiwa katika msibani hapo.

sanchawa (2)Mfanyakazi wa Global Publishers, Makongoro Oging’ akipata chochote.

(Picha: Lawrence Kabende Serengeti-Mara/GPL)

 

10 years ago

GPL

MFANYAKAZI WA GLOBAL PUBLISHERS ALIVYOSHIRIKI MASHINDANO YA SERENGETI MARATHON MKOANI SIMIYU

Mfanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Jimmy Haroub (wa kwanza kushoto) baada ya kumaliza mbio za kilomita 21 za Serengeti Marathon mkoani Simiyu hivi karibuni.…

 

10 years ago

GPL

MFANYAKAZI WA GLOBAL, ROBERT TILLYA AAGWA JIJINI DAR, KUZIKWA KILIMANJARO

Mmoja wa wakurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Lydia Bukumbi akiaga mwili wa Robert Tillya. Mwandishi wa Global Publishers, Mayasa Mariwata akiuaga mwili wa mfanyakazi mwenzake kwa simanzi.…

 

10 years ago

Mwananchi

Marsh aagwa Dar kuzikwa Mwanza

Aliyekuwa kocha msaidizi wa Taifa Stars, Silvester Marsh ameelezwa kujitabiria kifo chake saa chache kabla ya kutokea juzi asubuhi kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili.

 

11 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS YATOA MSAADA WA AMBULANCE BUPANDWA MHELA MKOANI MWANZA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers Ltd wachapishaji wa magazeti ya Championi, Risasi, Ijumaa, Amani, Uwazi na Ijumaa Wikienda, Eric Shigongo, jana alikabidhi gari la kubebea wagonjwa…

 

11 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani azindua Kituo cha Polisi Natta,Wilayani Serengeti Mkoani Mara

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani,Mh. Pereira Silima akizindua rasmi Jengo la Kituo cha Polici cha Natta Wilayani Serengeti huku Mkurugenzi Mkuu wa Grumeti Fund,Bw. Brian Harris akishuhudia. Kituo hicho cha Polisi cha kisasa kimegharimu shilingi Milioni 273 ambazo zimetolewa na Grumeti Fund ikiwa ni pamoja na nyumba za kuishi familia mbili za Polisi na mfumo wa kuvuna maji. Naibu Waziri Mambo ya Ndani,Mh. Pereira Silima akikata utepe kufungua rasmi Kituo cha Polisi cha Natta wilayani...

 

11 years ago

GPL

KAMERA YA GLOBAL PUBLISHERS ILIVYOMULIKA MAENEO YA VIUNGA VYA DAR

Hiki ni kisima kinachotumiwa na wakazi wa Yombo-Dovya karibu na mto Muki. Hapa ni eneo  la Tanesco kitongoji cha Tandale.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani