Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfanyakazi wa Global, Haruni Sanchawa aagwa Dar, kuzikwa Serengeti-Mara

DSC_0941Marehemu Haruni Sanchawa enzi za uhai wake.1.Mke wa Marehemu, Adelina Haruni Sancha akiuagwa mwili pamoja na wanaye wawili.Mke wa Marehemu, Adelina Haruni Sancha akiuagwa mwili pamoja na wanaye wawili.2.Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (wa kwanza mbele ) akiwa na huzuni msibani hapo.Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (wa kwanza mbele ) akiwa na huzuni msibani hapo.3.Waombolezaji wakiwa msibani.Waombolezaji wakiwa msibani.4.Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigiongo (wa pili kulia) akiomboleza msibani hapo.Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigiongo (wa pili kulia) na wafanyakazi wa Global wakiomboleza msibani hapo.6.Baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers waomboleza.Baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers wakiomboleza.7.Huzuni ikiwa imetanda msibani hapo.Huzuni ikiwa imetanda msibani hapo.8.Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Haruni Sanchawa likishushwa Nyumbani kwa Mjombake Kitunda Dar kwa ajili ya kuagwa.Jeneza lenye mwili wa marehemu Haruni...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Mpiganaji Haruni Sanchawa wa Global Publishers aagwa Dar, kuzikwa Serengeti Mkoani Mara

MWANDISHI wa habari wa Global Publishers Ltd, Haruni Sanchawa, aliyefariki dunia Desemba 9 mwaka huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar, ameagwa leo nyumbani kwa mjomba wake Kitunda jijini Dar es Salaam na kusafirishwa kuelekea Mugumu-Serengeti, mkoani Mara, ambapo atazikwa kijiji cha Lemungololi.
Sanchawa alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya tumbo, alifariki saa chache baada kuhamishiwa katika hospitali hiyo baada ya kupewa rufaa kutoka Hospitali ya Amana alipokuwa amelazwa kwa siku...

 

9 years ago

Global Publishers

Mwanahabari wa Global, Haruni Sanchawa alivyozikwa Serengeti-Mara

sanchawaKaburi la aliyekuwa  mwanahabari wa Global, Haruni Sanchawa, baada ya kuzikwa hivi karibuni kijijini kwao Serengeti-Mara.

sanchawa (3) sanchawa (4)Ndugu wakiendelea na kikao kabla ya mazishi.

sanchawa (1)Ndugu jamaa na marafiki wakiwa katika msibani hapo.

sanchawa (2)Mfanyakazi wa Global Publishers, Makongoro Oging’ akipata chochote.

(Picha: Lawrence Kabende Serengeti-Mara/GPL)

 

10 years ago

GPL

MFANYAKAZI WA GLOBAL, ROBERT TILLYA AAGWA JIJINI DAR, KUZIKWA KILIMANJARO

Mmoja wa wakurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Lydia Bukumbi akiaga mwili wa Robert Tillya. Mwandishi wa Global Publishers, Mayasa Mariwata akiuaga mwili wa mfanyakazi mwenzake kwa simanzi.…

 

10 years ago

GPL

MWILI WA MFANYAKAZI WA GLOBAL, ROBERT TILLYA WAWASILI KILIMANJARO, KUZIKWA LEO

Mwili wa marehemu Robert Tillya ukiwasili nyumbani kwao Uru-Moshi, mkoani Kilimanjaro ...Wakiwasili nyumbani kwao. Ndugu wa marehemu akiangua kilio cha majonzi.…

 

10 years ago

GPL

MFANYAKAZI WA GLOBAL PUBLISHERS ALIVYOSHIRIKI MASHINDANO YA SERENGETI MARATHON MKOANI SIMIYU

Mfanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Jimmy Haroub (wa kwanza kushoto) baada ya kumaliza mbio za kilomita 21 za Serengeti Marathon mkoani Simiyu hivi karibuni.…

 

10 years ago

Mwananchi

Marsh aagwa Dar kuzikwa Mwanza

Aliyekuwa kocha msaidizi wa Taifa Stars, Silvester Marsh ameelezwa kujitabiria kifo chake saa chache kabla ya kutokea juzi asubuhi kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili.

 

11 years ago

Mwananchi

Kisaka aagwa, kuzikwa leo Muheza

Wakazi wa Dar es Salaam hususan wanamichezo jana walijitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, James Kisaka.

 

11 years ago

GPL

MFANYAKAZI WA GLOBAL KUSHIRIKI MARATHON KESHO

Mfanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers, Jimmy Haroub. Na Ibrahim Mussa
MFANYAKAZI wa Kampuni ya Global Publishers, Jimmy Haroub anatarajiwa kushiriki katika mbio za Sokoine Marathon zitakazofanyika Monduli mkoani Arusha, kesho Jumamosi. Jimmy ambaye ni mmoja wa wanamichezo wenye uwezo mkubwa ndani ya kampuni hiyo, amesema amejiandaa vizuri na yupo tayari kwa ushindani. Akizungumza na Championi Ijumaa, Jimmy alisema kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani