MFANYAKAZI WA GLOBAL KUSHIRIKI MARATHON KESHO
![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj0KXnEK7lKB5dFlwGoy*K4mR8MpCBhzOGVrwyRXX4rNXwE6QCVUPGU*jjHVGqUSuCwxFPhQp4nVPqxGrfi0*jSU/JIMMY.jpg?width=650)
Mfanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers, Jimmy Haroub. Na Ibrahim Mussa MFANYAKAZI wa Kampuni ya Global Publishers, Jimmy Haroub anatarajiwa kushiriki katika mbio za Sokoine Marathon zitakazofanyika Monduli mkoani Arusha, kesho Jumamosi. Jimmy ambaye ni mmoja wa wanamichezo wenye uwezo mkubwa ndani ya kampuni hiyo, amesema amejiandaa vizuri na yupo tayari kwa ushindani. Akizungumza na Championi Ijumaa, Jimmy alisema kuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMFANYAKAZI WA GLOBAL PUBLISHERS ALIVYOSHIRIKI MASHINDANO YA SERENGETI MARATHON MKOANI SIMIYU
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
1,000 kushiriki Sokoine Mini Marathon
WANARIADHA zaidi ya 1,000 wamethibitisha kushiriki mbio za kumuenzi Waziri Mkuu wa zamani, Edward Sokoine zitakazofanyika wilayani Monduli Aprili 12, ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Jakaya Kikwete. Mratibu wa...
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
HYAC kushiriki Bagamoyo Historical Marathon
KLABU ya Holili Youth Athletics (HYAC), ya mkoani Kilimanjaro inatarajiwa kupeleka nyota wake katika mbio za Bagamoyo Historical Marathon 2014 zinazotarajiwa kurindima mjini Bagamoyo, Pwani Jumapili. Kwa mujibu wa taarifa...
9 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA MWANZA KUSHIRIKI ROCK CITY MARATHON
10 years ago
GPLGLOBAL WAFURAHIA SIKU YA KUZALIWA YA MFANYAKAZI MWENZAO
10 years ago
GPLMFANYAKAZI WA GLOBAL, ROBERT TILLYA, AZIKWA KILIMANJARO LEO
10 years ago
GPLMWILI WA MFANYAKAZI WA GLOBAL, ROBERT TILLYA WAWASILI KILIMANJARO, KUZIKWA LEO
9 years ago
Dewji Blog12 Dec
Mfanyakazi wa Global, Haruni Sanchawa aagwa Dar, kuzikwa Serengeti-Mara
Marehemu Haruni Sanchawa enzi za uhai wake.
Mke wa Marehemu, Adelina Haruni Sancha akiuagwa mwili pamoja na wanaye wawili.
Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (wa kwanza mbele ) akiwa na huzuni msibani hapo.
Waombolezaji wakiwa msibani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigiongo (wa pili kulia) na wafanyakazi wa Global wakiomboleza msibani hapo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers wakiomboleza.
Huzuni ikiwa imetanda msibani hapo.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Haruni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OSWpCIjID-HvsBbQVR0yF9FR*z7mAtnqiE-fuEDULfOLv4wQjR4VvE2cIz-MXl6cks9Hcb3ky6bYAw-O*TEo8AlQGqG7NRUD/ROBERTTILLYKUAGWA5.jpg?width=650)
MFANYAKAZI WA GLOBAL, ROBERT TILLYA AAGWA JIJINI DAR, KUZIKWA KILIMANJARO