Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UZINDUZI WA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KUFANYIKA KIGOMA 5 AGOSTI 2015

 Katibu wa Bodi ya Taasisi ya Mafunzo na utafiti Tanzania Kassim Rashid akizungumza na baadhi  ya waandishi wa habari  hawapo pichani juu ya kuwapa taarifa kuhusu shughuli ya uzinduzi wa  mafunzo ya ujasiriamali yatakayofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma mnamo  5 Agost 2015 ambayo yataendeshwa na wakufunzi kutoka kampuni ya mafanikio ya Vijana Juniour  Achievements Tanzania na (TATROC.) kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Juniour Achievements Tanzania na (TATROC.) Maria Ngowi kikao hicho kimefanyika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MASHINDANO YA KUTUNISHA MISULI KUFANYIKA AGOSTI 29, 2015 JIJINI DAR

Washindi wa mwaka jana wa Mashindano ya kutunisha misuli (The Most Musicular Man Tanzania 2014) wa kwanza kutoka kushoto ni msindi wa pili, Omary Lyombe, mshindi wa kwanza Mohamed Nouma (katikati) na mshindi wa tatu, Erick Majura wakionyesha utunishaji misuli wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Gymkana jijini Dar es Salaam leo. Mbele yao (walioketi) ni waandaaji pamoja na wadhamini wa shindano hilo. Mratibu wa mashindano ya kutunisha misuli, Mohamed Ali akionyesha kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

KONGAMANO LA WIKI YA HUDUMA ZA KIFEDHA NA UWEKEZAJI KUFANYIKA AGOSTI 28-30, 2015 JIJINI DAR ES SALAAM

 Meneja Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Nuebrand EC, Cathreen Bukuku (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kongamano la wiki ya  huduma za kifedha na uwekezaji litakalofanyika Agosti 28 hadi 30 mwaka huu, viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkufunzi na Mratibu wa Mipango wa Kampuni hiyo, Daniel Wadelanga. Kongamano hilo limeandaliwa na Kampuni ya Nuebrand EC. Mjumbe wa Timu ya Mauzo wa Benki ya Uba United Bank for...

 

10 years ago

Vijimambo

DKT BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA UZINDUZI WA MFEREJI MPYA WA SUEZ ISIMAILIA AGOSTI 06, 2015

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Balozi wa Tanzania, nchini Misri, Balozi Mohammed Hamza, wakati wakitoka kwenye Boti baada ya kuhudhuria hafla ya uzinduzi wa Mfereji mpya wa Suez Canal, kwa ajili ya meli za mizigo. Hafla hiyo ilifanyika jana Agosti 6, 2015 jijini Ismailia. Picha na OMRISIMAILIA AGOSTI 06, 2015
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal jana ameiwakilisha Tanzania katika uzinduzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA DIASPORA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM KUANZA ALHAMISI AGOSTI 14, 2015 HOTELI YA SERENA

Tukielekea kukamilisha maandalizi ya kongamano la Diaspora litakalofanyika kesho tarehe 13 hadi 15 Agosti, 2015 napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru kwa kukubali mwaliko wetu wa kushiriki kongamano hilo na pia kuwakumbusha yafuatayo:

1. Kujiandaa kikamilifu kwa kupitia "brief concept Note" ya Kongamano hilo ambayo nimeambatanisha;
2. kupitia ratiba ya masuala yatakayojiri katika kongamano hilo ambayo pia nimeambatanisha; na 
3. kuhakikisha kuwa mmejiandikisha kushiriki kongamano hilo kupitia...

 

10 years ago

GPL

ONESHO LA YOUNG SCIENTISTS TANZANIA (YST) 2015 KUFANYIKA AGOSTI 5 MPAKA 7 UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE‏

 Mkurugenzi wa Chama cha Wanasayansi vijana wa Tanzania, Dk.Kamugisha Gozibert  akizungumza na waandishi wa habari(hawapo picha) kuhusu onesho la  Young Scientists Tanzania (YST) kwa mwaka wa 2015 na kueleza kuwa onesho ilo litafanyika kwa siku tatu katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia tarehe 5 hadi 7 August 2015 ambapo wanafunzi wataweza kuonesha tafiti za kisayansi na kitekinologia zilifanywa na wanafunzi...

 

10 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE KUPITIA VIPODOZI WAHITIMU MAFUNZO

  Washiriki wa Manjano Dream-makers katika taasisi ya Manjano Foundation wamehitimu mitihani yao ya mwisho ya jinsi ya kupaka vipodozi (makeup). Kuanzia sasa, washiriki hao wanawake na wasichana 30 wanaianza safari yao ya mwaka mzima katika kujikita na ujasiriamali. Taasisi ya Manjano Foundation, ilianzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa programu ambayo itamuinua mwanamke wa Kitanzania kwa kumwezesha kujiongezea kipato na ambayo itakuwa ni chachu ya kubadili yale yote yaliyoyazunguka maisha...

 

10 years ago

Vijimambo

Wataalamu wa Mafunzo ya Ujasiriamali Wawapatia Mafunzo Wanakijiji wa Kitogani Zanzibar.

Kaimu Mkuu wa Taaluma wa Chuo cha Fedha Chwaka Zanzibar Dkt. Iddi Salum Haji akitoa mafunzo ya Ujasiriamali kwa Wajasiriamali wa Kijiji cha Kitogani kilichopo Wilaya ya Kusini UngujaKaimu Mkuu wa Idara ya Masomo ya Jumla na Mafunzo Mafupi Zanzibar Nd. Said Mohammed Khamis akitoa ufafanuzi juu ya mafunzo hayo kwa Wajasiriamali wa Kijiji hicho.Baadhi ya Wajasiriamali waliohudhuria katika mafunzo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani