VALENTINE YA ILIYOANDALIWA NA MISSY TEMEKE BALAA
Valentine iliyobeba jina la "The Diva's USA Valentine's Day" iliyoandaliwa na Miss Temeke maalum kwa Wapendanao iliyofanyika siku ya Jumamosi Sheraton ya Downtown Silver Spring na baadae wapendanao hao kila mmoja kupata chumba chake na kupiga mbonji na mpenzi wake mpaka asubuhi na kuamkia na kufungua kinywa kabla ya kurejea makwao. Kwa sasa hivi pata picha hizi chache jinsi gani ya wapendanao hao walivyolishana keki kwa mbwembwe na baadae tutawaletea picha zaidi.Bofya soma zaidi kwa picha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTHE DIVA'S USA VALENTINE'S DAY DINNER YA MISSY T DOWNTOWN SILVER SPRING, MARYLAND
9 years ago
VijimamboMISSY TEMEKE AKONGA NYOYO ZA MASHABIKI SWAHILI FEST BLADENSBURG WATER FRONT, MARYLAND
10 years ago
MichuziMakundi 5 yang'ara ndani ya Temeke kwenye usaili wa kwanza Dance 100% 2015 Temeke
![](http://3.bp.blogspot.com/-XPdO8YyqAFc/VbW6nkYPD1I/AAAAAAAAa-A/BKGhxcxMLwU/s640/Kati%2Bya%2Bmakundi%2Bmatano%2Byaliyopita%2Bkwenye%2Busajili%2Bwa%2Bkwanza%2Bwa%2BDance%2B100%2525%2B%25282015%2529%2B-%2BTemeke.%2BKundi%2Blinaitwa%2B%2527The%2BBest%2BBoys%2BKaka%2BZao%2527.jpg)
Makundi haya yamechuana vikali na mengine 6 yanayokamilisha idadi ya makundi 11, UNI 6 Crew, GMF Crew, TWC, Dar Crew, Noma Sana Crew, na Viga Stars yaliyojitokeza kuwania nafasi hiyo katika usajili huo wa kwanza.
Mratibu wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-cMhL66IS9zA/VEGcCQ-LJ1I/AAAAAAADJ9c/hSpzL4tJfoo/s72-c/1017-missy-launch-3.jpg)
MUONEKANO MPYA WA MISSY ELLIOTT
![](http://1.bp.blogspot.com/-cMhL66IS9zA/VEGcCQ-LJ1I/AAAAAAADJ9c/hSpzL4tJfoo/s1600/1017-missy-launch-3.jpg)
Siku ya Alhamisi alitokea kwenye onesho la Alexander Wang’s H&M Collection akiwa na muonekano mpya kama anavyoonekana kwenye picha.
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA TEMEKE NDUGU SOPHIA MJEMA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA SIKU 5 YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI WILAYANI TEMEKE
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7xWFDA0-UTc/U5m2u3Y9IuI/AAAAAAAFqGQ/1RJ_FYZcDoo/s72-c/Untitled1.png)
SEMINA YA SHERIA YA MANUNUZI iliyoandaliwa na ACCT imekamilika leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-7xWFDA0-UTc/U5m2u3Y9IuI/AAAAAAAFqGQ/1RJ_FYZcDoo/s1600/Untitled1.png)
This program is very important to the construction industry as it will highlight key changes introduced in the Public Procurement Act of 2011 and its 2013 regulations and explained the impact of these changes...
9 years ago
Bongo514 Nov
Video: Missy Elliott Ft Pharrell Williams — WTF (Where They From)
![missy2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/missy2-300x194.jpg)
Missy Elliott ameachia Video mpya ya kwanza ndani ya miaka 10, wimbo unaitwa “WTF (Where They From)” Amemshirikisha mkali wa hit single ya Happy, Pharrell Williams.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfhixL*GBLClhe*Pin7r7IA6ueto16ekSaji16w9b0yNoH6Dy9i-klBu3Tsi9sG4pBCWIssm4QtpHWs1AyGGbY8U/NSSF1.jpg?width=650)
JK AHUDHURIA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI ILIYOANDALIWA NA NSSF JIJINI ARUSHA
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-qcOSqzHeXPA/U3KCOtemhXI/AAAAAAAFhcU/HZ81XwEc_eU/s1600/1.jpg)
JK KATIKA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI ILIYOANDALIWA NA NSSF JIJINI ARUSHA