VALEUR YAZINDUA “VALEUR COMEDY NIGHTS” JIJINI DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-JV6olSxRvmo/VbZJPsR3aNI/AAAAAAAHsD0/5qiB8kgxQvc/s72-c/IMG_1111.jpg)
Meneja wa Chapa ya Valeur Superior Brandy, Bi. Warda Kimaro akizungumza katika uzinduzi wa shindano lijulikanalo kama ‘Valeur Comedy Nights’ leo katika viwanja vya TCC Club Chang’ombe, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Mkuu wa kampuni ya Vuvuzela Bw. Evans Bukuku
Meneja Mkuu wa kampuni ya Vuvuzela, Bw. Evans Bukuku akizungumza jinsi shindano hilo litakavyofanyika katika manispaa 3 za Dar es Salaam uzinduzi huo uliofanyika wa shindano lijulikanalo kama ‘Valeur Comedy Nights’ leo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen29 Sep
Eighteen contest for the Valeur Comedy Nights
10 years ago
GPL10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-1A1TEbHYa-E/VToCf2gbAGI/AAAAAAAHS2M/euhWKYgX89o/s72-c/IMG-20150424-WA0030.jpg)
Tigo yazindua 4G LTE ya internet jijini Dar leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-1A1TEbHYa-E/VToCf2gbAGI/AAAAAAAHS2M/euhWKYgX89o/s1600/IMG-20150424-WA0030.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-LaWD0WPEFjo/VhWFopGjndI/AAAAAAAH9cQ/qxRZrsgCAls/s72-c/1.jpg)
UHURU ONE YAZINDUA MFUMO WA KWANZA WA MAWASILIANO YA 4G DVNO LEO JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-LaWD0WPEFjo/VhWFopGjndI/AAAAAAAH9cQ/qxRZrsgCAls/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0Ceu2yVSkZs/VhWFon_WgcI/AAAAAAAH9cU/Y43AvdS-JIA/s640/2.jpg)
KAMPUNI ya Tigo na kampuni ya UhuruOne wameanzisha...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-JcR2F9vtsC0/U0Oi-7JFcZI/AAAAAAAFZQ8/J4s17mX-GK4/s72-c/photo1+(1).jpg)
Benki ya NBC yazindua Huduma ya Bima ya Bure ya Mkopo jijini Dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-JcR2F9vtsC0/U0Oi-7JFcZI/AAAAAAAFZQ8/J4s17mX-GK4/s1600/photo1+(1).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-KpkZhLSwftk/U0Oi8mkWgiI/AAAAAAAFZQw/kh3ulEq0ZBo/s1600/photo2+(1).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-MHpYLDg3ZLY/UvNVDSnr2bI/AAAAAAAFLG8/SZ8PiXdRrmw/s72-c/MMG20042.jpg)
SAFARI LAGER YAZINDUA MASHINDANO YA NYAMA CHOMA 2014 JIJINI DAR LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-MHpYLDg3ZLY/UvNVDSnr2bI/AAAAAAAFLG8/SZ8PiXdRrmw/s1600/MMG20042.jpg)
10 years ago
Dewji Blog04 Feb
Benki ya I&M yazindua huduma ya kwanza ya mfumo wa Kielektroniki ya masaa 24 jijini Dar
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya I&M, Anurag Doreha (kushoto) akiongea na wadau wa benki hiyo hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa tawi na mfumo mpya wa kielektroniki uliovumbuliwa na Smart Banking Solutions Ltd ambapo mteja anaweza kuweka na kutoa pesa sambamba na kupata huduma nyingine za kibenki kama kubadilisha fedha za kigeni kwa kutumia mashine za kielektroniki masaa 24 ya siku.Hafla hiyo ilifanyika Viva Tower-Posta jijini Dar es Salaam, Kulia ni Meneja wa I&M wa tawi hilo Bi. Shabina...
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
Kampuni ya Interswitch yazindua huduma ya malipo kwa njia ya mtandao jijini Dar leo
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Interswitch kwa Afrika Mashariki Bernard Matthewman, akizungumza na wadau mbalimbali Dar es Salaam leo , wakati wa uzinduzi wa kampuni hiyo hapa nchini uliofanyika Hoteli ya Hyatt Regency- Kilimanjaro pamoja na huduma ya malipo kwa njia ya mtandao.
Wadau wakiwa kwenye uzinduzi huo.
![](http://1.bp.blogspot.com/-bVuGGmmm9p4/Vl7PaRU_4lI/AAAAAAAAUcc/vRpCaHHvsXQ/s640/3.jpg)
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
![](http://2.bp.blogspot.com/-swvF1Q-xtC8/Vl7PeuUwhhI/AAAAAAAAUc0/lk0IhnhaM5w/s640/5.jpg)
Maofisa wa kampuni hiyo wakiwa kwenye uzinduzi huo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Tp7ynrrJ9SE/Vl7PfR2OXnI/AAAAAAAAUc4/jnA5KrTvdMM/s640/6.jpg)
Mmoja wa maofisa wa kampuni hiyo akiwa katika uzinduzi huo.
![](http://2.bp.blogspot.com/-G04UNqJyF1U/Vl7PigfSCrI/AAAAAAAAUdE/dObV4YhFduI/s640/7.jpg)
Mkutano na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-hmfSmgOjU5M/VImZ9toFdUI/AAAAAAAG2iY/gy_SKNhiuEo/s72-c/unnamed%2B(37).jpg)
Huawei yazindua simu mpya aina ya Ascend 6-inch Mate 7 jijini Dar leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-hmfSmgOjU5M/VImZ9toFdUI/AAAAAAAG2iY/gy_SKNhiuEo/s1600/unnamed%2B(37).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/--yuY0ycKXPk/VImZ9hoYlUI/AAAAAAAG2ic/I6ujxXcpuSE/s1600/unnamed%2B(38).jpg)