VAZI LA KHANGA MOJA HESHIMA YA NDOA

Ni wiki nyingine tunakutana kupitia ukurasa huu nikiamini uko salama, tayari kwa kupiga kura keshokutwa kuchagua viongizi watakaotuongoza kwa miaka mitano ijayo. Mpenzi msomaji wangu, katika kuifanya ndoa iwe imara, niliwahi kuzungumzia mavazi sahihi ya mke kumvalia mumewe wakiwa chumbani. Lakini pia nikasema kwamba, kama kwenye nyumba mnaishi wawili tu, sioni shida mke kuvaa anavyotaka. Pia nikasema kuwa, hakuna kitu kibaya kama...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo9 years ago
Dewji Blog11 Nov
Vazi la Khanga lafana katika tamasha la Kitchen Party Gala
Jumapili iliyoisha ya tarehe 08.11. 2015, wanawake kutoka sehemu mbali mbali jijini Dar es salaam walikutana katika tamasha la Kitchen Party Gala likiwa limebeba ujumbe wa “Mwanamke Simama Na Timiza Ndoto Zako”.
Wanawake wakiwa wamevalia khanga ambayo ndio ilikuwa dress code ya tamasha walikusanyika kwa wingi kwa ajili ya kupata mafunzo na ushauri bila kusahau burudani.
Pia Ilichezeshwa droo ya kushinda safari ya Afrika Kusini kwa siku mbili alishinda, iliyodhaminiwa na Kinyago...
11 years ago
Michuzi19 Feb
10 years ago
Vijimambo01 Mar
RITA ORA NA KIM KARDASHIANA WAGONGANA NA VAZI LINALOFANANA KWENYE HAFLA MOJA YA MADONNA.








10 years ago
BBCSwahili24 May
Ireland yahalalisha ndoa za jinsia moja
10 years ago
BBCSwahili23 May
Wanaopinga ndoa za jinsia moja wasalimu
10 years ago
BBCSwahili23 May
Ndoa za jinsia moja zaungwa mkono
11 years ago
BBCSwahili15 Feb
Ndoa za jinsia moja zapingwa Uingereza