Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Veronica Samuel, mwanafunzi aliyepeperusha vyema bendera ya Tanzania Marekani

Wanafunzi wengi wa Tanzania wanashindwa kufikia mafanikio au malengo yao kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo kukosa mazingira rafiki lakini pia kutojiamini na kukosa moyo wa kujituma.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

DIAMOND,VANNESA NA OMMY DIMPOZ WALIVYOIPEPERUSHA VYEMA BENDERA YA TANZANIA UGHAIBUNI, BASATA LAWAPONGEZA


 Diamond Platnumz akiwa na moja ya tuzo alizoshinda pamoja na mchekeshaji kutoka Nigeria Basketmouth.
Ommy DimpozTuzo tatu alizoshinda Diamond Platnumz.
Inaweza ikawa siyo mara ya kwanza kwa msanii Diamond Platnumz kuchukua tuzo mbalimbali za kimataifa lakini kwa Vanessa Mdee inaweza ikawa moja kati ya historia nzuri kwake huku Ommy Dimpoz akiwa na kila sababu ya kufurahia tuzo yake ya kwanza ya kimataifa baada ya kujinyakulia tuzo maarufu za Afrimma.
Wasanii hao walijinyakulia tuzo hizo usiku...

 

10 years ago

Michuzi

bendera ya tanzania yatamba katika tamasha la afrifest marekani

Na Profesa Mbele
Jana, tarehe 1 Agosti, tamasha la Afrifest lilifanyika mjini Brooklyn Park, Minnesota. 
Hili ni tamasha ambalo huandaliwa mara moja kwa mwaka na bodi ya Afrifest Foundation ambayo mimi ni mwenyekiti wake. ili kuwakutanisha wa-Afrika, watu wenye asili ya Afrika waishio Marekani ya Kaskazini, Kati, na Kusini, pamoja na Caribbean, na pia watu wa mataifa mengine. Lengo kubwa ni kufahamiana, kuelimisha, na kuuenzi mchango wa watu weusi duniani kote, katika nyanja mbali mbali. 

Hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

JK aendelea vyema na matibabu anayopatiwa Marekani

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula aliyekwenda kumjulia hali katika hospitali ya John Hopkins iliyopo Baltimore, Maryland, nchini Marekani, leo Jumapili, siku moja baada ya kufanyiwa upasuaji wa Tezi Dume. 
Habari kutoka hospitalini hapo ambazo Globu ya Jamii imepata zinasema Rais Kikwete anaendelea vyema na leo asubuhi alianza mazoezi ya kutembea, kuashiria kwamba mambo yote ni mswano. Tutaendelea kuwashirikisha kwa taarifa sahihi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kura kwa bendera ya kikaburu Marekani

Wabunge wa Republican wanajaribu kuchelewesha kupigiwa kura sheria itakayoharamisha kupeperushwa kwa bendera hiyo

 

10 years ago

Vijimambo

JK AENDELEA VYEMA NA MATIBABU ANAYOPATIWA HUKO MAREKANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula aliyekwenda kumjulia hali katika hospitali ya John Hopkins iliyopo Baltimore, Maryland, nchini Marekani, leo Jumapili, siku moja baada ya kufanyiwa upasuaji wa Tezi Dume. Habari kutoka hospitalini hapo zinasema Rais Kikwete anaendelea vyema na leo asubuhi alianza mazoezi ya kutembea, kuashiria kwamba mambo yote ni mswano. Tutaendelea kwuashirikisha taarifa ya maendeleo yake mara kwa mara. Tuzidi...

 

10 years ago

Michuzi

MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA NEW YORK NCHINI MAREKANI

Mchungaji Butiku akiongoza misa ya shukurani na arubaini ya marehemu Mzee Samuel Luangisa iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 8, 2015 Mount Vernon, New York na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila pembe ya Marekani.Mrs Luangisa, mke wa marehemu akifuatilia misa.
Wanafamilia wakifuatilia misa.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AFANYIWA UPASUAJI WA TEZI DUME MAREKANI, HALI YAKE INAENDELEA VYEMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na  Dkt.Edward Shaeffer wa  hospitali ya Johns Hopkins (kushoto) na Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi  (kulia) muda mfupi baada ya kuwasili ili kufanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyopo  Baltimore Maryland Marekani Jumamosi asubuhi.Upasuaji huo uliochukua muda wa saa moja na nusu  ulifanyika salama....

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Rais Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume Marekani, hali yake inaendelea vyema

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alfajiri ya jana, Jumamosi, Novemba 8, 2014, alifanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani.  Rais Kikwete amefanyiwa upasuaji huo baada ya madaktari waliomfanyia uchunguzi wa afya yake kujiridhisha kuwa Rais alikuwa anahitaji matibabu ya aina hiyo.  Upasuaji huo uliofanyika alfajiri na kuchukua kiasi cha saa moja unusu, umefanyika salama na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani