Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIDEO: MUONEKAANO WA JIONI MAGARI YAKIPITA BARABARA YA JUU UBUNGO


Tunakumbuka Mei 30, 2020 Barabara za juu (Flyover ) iliyojengwa Ubungo Dar es Salaam  ilianza kufanya kazi ambapo vyombo vya usafiri viliruhusiwa kupitia, sasa leo nimekusogezea hii video ya Drone ikionesha muonekano wa jioni magari yakipita Barabara ya juu Ubungo.

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Balozi wa Japan Nchini Masaki Okada kulia wakipita juu ya Daraja la Lugalo mara baada ya kulikagua katika ziara ya Ukaguzi wa Barabara ya Mwenge Tegeta jijini Dar es salaam leo.

 Balozi wa Japan nchini Ndugu Masaki Okada akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadick wakipanda ngazi za daraja la juu la watembea kwa miguu flyover Ubungo...

 

5 years ago

CCM Blog

MUONEKANO WA BARABARA ZA JUU UBUNGO DAR, VYOMBO VYA USAFIRI VYAANZA KUPITA


Ni Mei 30, 2020 ambapo Barabara za juu (Flyover ) iliyojengwa Ubungo Dar es Salaam  imeanza kufanya kazi ambapo vyombo vy usafiri vimeruhusiwa kupitia, hapa nimekusogezea picha 11 ujionee.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA JUU UBUNGO NA BARABARA, AONGEA NA KUSIKIL|IZA KERO ZA WANANCHI MBEZI MWISHO, MLOGANZILA, MLANDIZI,CHALINZE

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita kukagua Maendeleo ya ujenzi katika sehemu ya  gorofa ya pili ya barabara ya juu Ubungo Interchange ambayo iko katika hatua za mwisho kukamilika kwa ajili ya magari kuanza kupita. Mradi mzima wa Makutano hayo ya Ubungo umefikia asilimia 75. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng....

 

11 years ago

Habarileo

Barabara Ubungo kufungwa

KAMPUNI ya ujenzi ya Strabag International GmbH inayojenga barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (Dart) imetangaza kufungwa kwa baadhi ya njia katika eneo la taa za Ubungo, Dar es Salaam kuanzia leo usiku hadi keshokutwa kwa ajili ya kuruhusu ujenzi.

 

11 years ago

Mwananchi

Ubungo Plaza yashikilia magari 30 ya Hoteli ya Blue Pearl

Dar es Salaam. Uongozi wa jengo la Ubungo Plaza Limited umesema unashikilia magari 30 yanayomilikiwa na Blue Pearl baada ya uongozi wa hoteli hiyo kushindwa kulipa kodi ya pango ya takriban Dola 400,000 za Marekani (sawa na Sh672 milioni).

 

5 years ago

CCM Blog

MAGARI YA WASHAWASHA, FIRE YATUMIKA KUNYUNYUZIA DAWA STENDI YA MABASI UBUNGO

   Zoezi la kunyunyizia dawa ya kuua vijidudu katika maeneo ya mikusanyiko ya watu wengi Jiji la Dar es salaam limeendelea usiku wakuamkia leo katika standi kuu ya mabasi ya Ubungo na mitaa yake ikiwa ni moja ya jitihada za Serikali kukabiliana na virusi vya Corona ambavyo ni tishio kwa dunia kwa sasa.

 

11 years ago

GPL

UBUNGO MATAA KUFUNGWA KUPISHA UJENZI WA BARABARA

Muonekano wa daraja Kituo cha mabasi Ubungo jijini Dar. KAMPUNI ya ujenzi ya Strabag  inayojenga barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) imetangaza mabadiliko ya muda katika eneo la Ubungo jijini Dar es salaam kuanzia kesho na kesho kutwa usiku kutokana na ujenzi unaoendelea wa barabara. Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Ofisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Bwana Yahya Mkumba,...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kiasi cha zaidi ya shilingi Bilioni 128 zatolewa kwa ajili ya ujenzi wa barabara za juu kwa juu na Umeme

2

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kulia) wakisaini hati ya makubaliano ya mikataba miwili ya ujenzi wa barabara za juu kwa juu katika makutano ya TAZARA na usambazaji umeme jijini Dar es salaam leo zenye thamani ya zaidi ya bilioni 128.

1

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kulia) wakibadilishana hati ya makubaliano ya mikataba miwili ya ujenzi wa...

 

11 years ago

Michuzi

News Alert: madereva wa mabasi wayasusa magari yao mkoani Singida jioni hii

Madereva wa Mabasi yanayokwenda katika mikoa ya Shinyanga, Mwanza na Kagera jioni hii wameingia kwenye mgomo wa kutosafirisha abiria wakiwa mkoani Singida, kwa madai kwamba wanatozwa faini kubwa sana na Askari wa Usalama barabarani mkoani hapo.Baadhi ya abiria wanaosafiri na mabasi hayo wameulalamikia uamuzi wa madereva hao, kwani ni kama wanapewa adabu kwa uamuzi huo.Globu ya jamii inaendelea kufatilia sakata hilo kwa ukaribu zaidi na tutaendelea kufahamishana zaidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani