VIFO VYA CORONA KUCHUNGUZWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-LocNkemKjiY/XrQLFOP6TMI/AAAAAAALpZ4/w5CHo1DF7jkX3RwNin8huVKDoJ7rxeopACLcBGAsYHQ/s72-c/6734482f-7495-454b-b008-5e399662915a.jpg)
Na WAMJW – Mwanza
Vituo vya kutolea huduma za afya nchini vyatakiwa kufanya uchunguzi juu ya kifo chochote kitakachotokana na ugonjwa wa corona ili kubaini kama mgonjwa alihudumiwa ipasavyo kabla ya kifo kutokea.
Agizo hilo limetolewa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi akiwa Jijini Mwanza mara baada ya kuagana na uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Ziwa – Bugando alipokuwa akifanya kazi awali kama Mkurugenzi Mtendaji kabla ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili07 May
Vifo vya corona: Kwanini Uingereza imerekodi vifo vingi vya corona Ulaya?
5 years ago
BBCSwahili08 Apr
Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku
5 years ago
BBCSwahili04 May
Virusi vya corona: Wakuu wa maabara Tanzania wasimamishwa kazi, kuchunguzwa
5 years ago
BBCSwahili23 Apr
Virusi vya Corona: Fahamu nadharia juu ya vifo vya vijana na watu wengine wenye afya njema
5 years ago
BBCSwahili22 Jun
Virusi vya corona: Brazil ni nchi ya pili iliyopitisha vifo 50,000
5 years ago
BBCSwahili29 Apr
Virusi vya corona: Karibia vifo 60,000 vyarekodiwa Marekani pekee
5 years ago
BBCSwahili12 Apr
Virusi vya Corona: Marekani yaipiku Italia kwa idadi ya vifo duniani
5 years ago
BBCSwahili11 Apr
Virusi vya Corona: Vifo vyazidi 2,000 kwa siku moja Marekani
5 years ago
BBCSwahili29 Apr
Virusi vya corona: Ni nini kinasababisha vifo visivyoelezeka katika jimbo la Kano Nigeria