VIFO VYAMPA SOMO BABY MADAHA
![](http://api.ning.com:80/files/LxUWhj8CVoaw3XO5Fsyeb4zcFYYBU6Dn3tFyec4EOp6Uxpvr9PIUMJuHoZGBJBVn5qFgZSUUtgGB251PLiS1Ep9Pyiv2VMUG/MADAHA.jpg?width=650)
Na Maria Halimoja Kufuatia vifo vya wasanii vilivyotokea mfululizo, mwigizaji Baby Joseph Madaha amelazimika kubadili mtindo wake wa maisha na kuishi kitakatifu. Staa wa filamu Bongo Baby Joseph Madaha Akipiga stori na paparazi wetu, Baby Madaha alisema anawasihi hata wasanii wenzake wabadili mfumo wa maisha kwa kumgeukia Mungu na kufanya ibada kila mara kwa kuwa vifo hivyo vinawapa somo la kuwakumbusha kumkaribia...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/LAl787uzrCCfK3zrV0j*I6DTX3VQYjeVRgjFvkx8-62CGf6b-hS92eScXQ538lO5y7oDmZwPn2K8GwIb6HMnlMWNF5ZuLN6q/davina.jpg)
VIFO VYA MASTAA VYAMPA HOFU DAVINA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55I7ZlFg1qyxYmxm997bDtMCrfjr**5A8IjAerXx*xDFx9X7avQ-yCqomGic-nbEYiblsZ3UEwMyLKhkKCTnAzrV/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5QfDS7z72QT0FfVBe7jmds2qNwCFvrMcclbw*ReRFdb0uxCJYQiOlq2ubuaIqxnilcFB8TG7FwjugqUuT3xt5xck/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA: NIMEUMBUKA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJAkpYW*qkqn1yJYTcBx7y*Csoh8CsJJeO1ywdjtipA4496P3FY0DN2VNgHebGVNDrZVLC47Q3mvnvDfA9tQJX4m/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA AUMBUKA
11 years ago
Michuzi11 Feb
10 years ago
Mtanzania05 Feb
Baby Madaha atamani mtoto
NA SHARIFA MMASI, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha, amesema anatamani kuitwa mama kama ilivyo kwa wanawake wengine wenye watoto. Akizungumza na MTANZANIA jana, Baby Madaha, alisema amepanga kufanikisha ndoto zake za kuwa mama mwaka huu. “Kiukweli natamani sana kupata mtoto, nafarijika nikisikia na kuona wenzangu wanaitwa mama, ni jambo la busara na kumuomba Mungu ili litimie,” alisema Baby Madaha. Madaha alisema wasanii wengi wamefululiza kuzaa jambo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL3yNSeD2NwBq05bOGaPe0lYXsZ7AHyveerDNhvVrK0Rpg9o9oCEOBWvNQD3*NzNFfga8W0g-LKjoBc3Y0CvOeSc/madaha.jpg?width=650)
BABY MADAHA: NITAOLEWA 2030
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TzObvhxOuacRIwpWQLbP0JbNCaPAAKD4UvD2o0n6XggmLbif9LQTsS2KTcbWicyhgRJJ8oOpabOG2RJiw2Wib7ITLdGfDuTC/baby.jpg)
BABY MADAHA: NAWAPANGA TU WANAUME
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Baby Madaha amsaka Mtitu
MWIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Baby Madaha kwa wiki moja sasa amekuwa akimsaka Mkurugenzi wa kampuni ya 5 Effects, William Mtitu ili amkabidhi ‘muvi’ yake mpya inayokwenda kwa jina la...