Vigogo TBA jela miaka tisa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu,leo imewahukumu vigogo wawili wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), kifungo cha miaka tisa jela. Vigogo hao ni aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu, Makumba Kimweri na aliyekuwa Msanifu Mkuu wake, Richard Maliyaga.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLVIGOGO TBA WAHUKUMIWA MIAKA 9 JELA
10 years ago
Mtanzania09 May
Vigogo wawili jela kwa ubadhirifu
Na Mwandishi Wetu, Nachingwea
MAHAKAMA ya Wilaya ya Nachingwea mbele ya Hakimu Mfawidhi Joseph Hemela, imewatia hatiani washtakiwa wote wawili katika kesi ya ufujaji na ubadhirifu wa Sh 13,395,800 za wanachama wa Chama cha Ushirika cha Naipanga katika kesi namba CC 66/2013 iliyofunguliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mwaka 2013.
Hukumu hiyo inahusisha ununuzi hewa wa korosho katika msimu wa mwaka 2010/2011 dhidi ya washtakiwa hao waliokuwa watia saini benki katika...
9 years ago
StarTV03 Nov
Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)
Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-jZaf52YJlO8/VU4PU8iED8I/AAAAAAAAFy8/cVxyH33-U5Q/s72-c/702013131_univ_lsr_lg.jpg)
Vigogo wawili jela kwa ubadhirifu wa Sh 13,395,800.
![](http://2.bp.blogspot.com/-jZaf52YJlO8/VU4PU8iED8I/AAAAAAAAFy8/cVxyH33-U5Q/s640/702013131_univ_lsr_lg.jpg)
Hukumu hiyo inahusisha ununuzi hewa wa korosho katika msimu wa mwaka 2010/2011 dhidi ya washtakiwa hao waliokuwa watia saini benki katika akaunti ya biashara ya Naipanga...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-1ULzpAvZYKo/Xr9xyh6fmzI/AAAAAAALqas/u0RRHpM7JAI5cJQruxeGrFrJ1asON_aBwCLcBGAsYHQ/s72-c/images%2B%25282%2529.jpg)
Mwanaume (45) atupwa jela miaka 30 kwa kosa la kumwingilia kimapenzi mjukuu wake wa miaka 5
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mwanaume mmoja aliejulikana kwa jina la Charles Mwinami (45) mkazi wa kijiji cha Itunduma wilayani Njombe amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumwingilia kimapenzi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 5 na kutakiwa kulipa fidia ya shilingi Milioni Kumi kwa mwathirika.
Akisoma kesi no 12 ya 2020 hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoani Njombe Hassan Makube amesema mtuhumiwa amekutwa na hatia hiyo baada ya ushahidi wa daktari...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*x4RtjZ2BFU0w-AcvcR0yfXHZxJTPmATuaJCDs6-36u-6HQ7egblzi9bKYmKUv1G-g8jeU4ZWcBwJdBa4e-VTBmrcKK-7H1Z/hosni.jpg?width=650)
HOSNI MUBARAK JELA MIAKA 3, WANAE MIAKA 4
9 years ago
Habarileo03 Nov
Msichana miaka 15 jela miaka 8 kwa kuua
MSICHANA wa miaka 15 (jina limehifadhiwa) amehukumiwa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kifungo cha miaka minane jela.
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Fifa yataka Valcke apigwe marufuku miaka tisa
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Simba, Yanga zafukuza makocha tisa miaka mitatu