Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vigogo wa Ifad ziarani Tanzania

Ujumbe wa Bodi ya Utendaji ya Shirika la Kimataifa la Mfuko wa Maendeleo ya Kilimo (Ifad), upo nchini kwa ziara ya siku tano kuanzia jana, kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ya kilimo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Tathmini ya Programu ya IFAD nchini Tanzania yaonyesha mafanikio makubwa

Mkurugenzi wa IFAD, Ofisi huru ya Tathmini, Bw. Oscar Garcia akitoa ripoti ya tathmini ya programu ya IFAD nchini Tanzania jinsi ilivyoweza kuonyesha mafanikio makubwa wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika Januari 29, 2014 jijini Dar katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl Nyerere.

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Tanzania Bara, Mh Steven Wassira akisoma hotuba fupi wakati wa warsha ya siku moja iliyolenga kuonyesha mafanikio ya programu ya IFAD nchini Tanzania, warsha...

 

10 years ago

Michuzi

Evaluation of IFAD programme in Tanzania points to major strides but also areas for improvement

Targeted investments in Tanzanian agriculture contributed to increasing yields for crops such as paddy, maize, or tomato in a range of 60 to 120 per cent in those areas where irrigation and extension activities were carried out at a substantial level, a new country programme evaluation by the Independent Office of Evaluation of the International Fund for Agricultural Development (IFAD), presented today in Dar es Salaam, reveals.
Tanzania has the second-largest IFAD portfolio (in terms of...

 

10 years ago

GPL

TATHMINI YA PROGRAMU YA IFAD NCHINI TANZANIA YAONYESHA MAFANIKIO MAKUBWA‏

Mkurugenzi wa IFAD, Ofisi huru ya Tathmini, Mr Oscar Garcia akitoa ripoti ya tathmini ya programu ya IFAD nchini Tanzania jinsi ilivyoweza kuonyesha mafanikio makubwa wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika Januari 29, 2014 jijini Dar katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl Nyerere.

Waziri wa Kilim, Chakula na Ushirika Tanzania Bara, Mh Steven Wassira akisoma hotuba fupi wakati wa warsha ya siku moja iliyolenga...

 

10 years ago

Michuzi

MH. WASIRA AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA 38 WA WADAU IFAD,ROMA ITALY

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika,Mhe. Stephen Wasira akihutubia katika Mkutano wa 38 wa wadau wa mfuko wa Maendeleo wa Kilimo Duniani (IFAD) uliofanyika mjini Roma Nchini Italy.

 

5 years ago

Michuzi

MASAUNI ZIARANI SHULE YA POLISI MOSHI TANZANIA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Kamishna Msaidizi Omar Khamis Omar (kulia) na Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Tunu Ng’ondya wakati alipotembelea Shule ya Polisi Moshi Tanzania,mwishoni mwa wiki kufuatilia masuala mbalimbali katika shule hiyo inayofundisha fani tofauti zenye lengo la kuzuia na kupambana na uhalifu nchini.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,...

 

10 years ago

Michuzi

Mameya na Wakurugenzi wa majiji sita ya Tanzania ziarani nchini Finland

Mameya na Wakurugenzi wa majiji sita ya Tanzania walioko katika ziara ya mafunzo nchini Finland wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Meya wa jiji la Helsinki,Hannu Pentila muda mfupi baada ya viongozi hao kutembelea mradi wa ujenzi wa mji wa kisasa wa Kalasatama katika jiji hilo la Helsinki.Ujumbe wa Mameya na Wakurugenzi kutoka majiji sita ya Tanzania ukitembelea mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa katika mji wa Kalasatama jijini Helsiniki nchini Finland.Lisa Tervo kushoto kutoka Taasisi...

 

11 years ago

Michuzi

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Othman ziarani mkoa wa morogoro

 Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Othman akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Joel Bendera alipofika ofisini kwake yeye pamoja na msafara ulioambatana nae katika ziara ya kutembelea baadhi ya Mahakama zilizopo katika Mkoa huo.


 Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania akisalimiana na Watumishi na pamoja na baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Magole Wilaya ya Kilosa alipofika kutembelea katika Mahakama ya Mwanzo Magole iliyokumbwa na mafuriko hivi karibuni, aliye...

 

10 years ago

Vijimambo

Wabunge waliopo ziarani Marekani watembelea Ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa

Wabunge kutoka Tanzania walipotembelea afisi ya ubalozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa iliyopo New York, Marekani wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa ubalozi, Balozi wa Tanzania Umoja wa Mataifa Mhe. Balozi Tuvako Manongi na Kiongozi wa Msafara wa Wabunge wa Kamati ya Mambo ya Nje Mhe. Injinia Hamad Masauni (katikati)

 

11 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NGUVU ZA ATOMIKI DUNIANI ZIARANI NCHINI TANZANIA

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani Prof. Kwaku Aning (mwenye tai ya bluu) akiwa ofisini kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Patrick Makungu (wa kwanza kushoto) wakijadiliana kuhusu kuendeleza ushirikiano baina ya Tanzania na Shirika hilo kwa ajili ya matumizi salama ya mionzi na ujenzi wa Kituo Mahiri cha Tiba ya Ugonjwa wa Saratani nchini. Prof. Kwaku Aning, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani