Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tathmini ya Programu ya IFAD nchini Tanzania yaonyesha mafanikio makubwa

Mkurugenzi wa IFAD, Ofisi huru ya Tathmini, Bw. Oscar Garcia akitoa ripoti ya tathmini ya programu ya IFAD nchini Tanzania jinsi ilivyoweza kuonyesha mafanikio makubwa wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika Januari 29, 2014 jijini Dar katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl Nyerere.

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Tanzania Bara, Mh Steven Wassira akisoma hotuba fupi wakati wa warsha ya siku moja iliyolenga kuonyesha mafanikio ya programu ya IFAD nchini Tanzania, warsha...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TATHMINI YA PROGRAMU YA IFAD NCHINI TANZANIA YAONYESHA MAFANIKIO MAKUBWA‏

Mkurugenzi wa IFAD, Ofisi huru ya Tathmini, Mr Oscar Garcia akitoa ripoti ya tathmini ya programu ya IFAD nchini Tanzania jinsi ilivyoweza kuonyesha mafanikio makubwa wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika Januari 29, 2014 jijini Dar katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl Nyerere.

Waziri wa Kilim, Chakula na Ushirika Tanzania Bara, Mh Steven Wassira akisoma hotuba fupi wakati wa warsha ya siku moja iliyolenga...

 

10 years ago

Michuzi

Mapambano dhidi ya Ujangili nchini yaonesha mafanikio makubwa

Hussein Makame-MAELEZO, Dodoma KAMATI ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira imesema kuwa hatua za Serikali za kupambana na ujangili nchini zimeonesha mafanikio makubwa. Akitoa taarifa ya Utekelezaji wa Kazi za Kamati, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe James Lembeli (pichani) alisema kuwa pamoja na mafanikio mengine hatua hiyo imefanikiwa kukamata silaha 2000. Alisema hadi kufikia mwaka 2013, hali ya ujangili wa tembo ilikadiriwa kufikia tembo 30 kwa siku, lakini Serikali ilichukua hatua ya...

 

10 years ago

Vijimambo

UZALISHAJI WA MIFUGO KATIKA MASHAMBA YA JESHI LA MAGEREZA WAONGEZEKA KWA MAFANIKIO MAKUBWA NCHINI

Maziwa yakiwa tayari yamekamliwa na kuhifadhiwa kwenye majokovu kabla ya kwenda kwa walaji. Shamba hilo la Uzalishaji ngo'mbe wa maziwa la Gereza Mtego wa Simba limekuwa likipigiwa mfano hapa nchiniSehemu ya Wanyama kazi katika Shamba Kubwa la Uzalishaji wa ngo'mbe wa nyama katika Gereza Ubena lililopo Mkoani Pwani. Shamba hilo lina takribani jumla ya ngo'mbe zaidi ya 1500. Uzalishaji wa ngo'mbe umekuwa ukiongezeka kwa mafanikio makubwa kila Mwaka hivi karibuni kutokana na juhudi kubwa...

 

10 years ago

Mwananchi

‘BRN yaonyesha mafanikio’

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), umeonyesha mafanikio makubwa licha ya baadhi ya watu kuutilia shaka uanzishwaji wake.

 

10 years ago

Michuzi

TANESCO IMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA YA UTOAJI WA HUDUMA YA UMEME NCHINI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 10 -MHANDISI MRAMBA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme (Tanesco),Mhandisi Felchesmi Mramba akizungumza na waandishi wa habari juu ya mafanikio ya miaka 10 ya shirika hilo katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo jijini Dar es Salaam.Sehemu ya waandishi wa habari wakifatilia taarifa ya Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco,hayupo pichani katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo jijini Dar es Salaam.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
SHIRIKA la Umeme (Tanesco) limesema kuwa limepata mafanikio katika kipindi cha miaka...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM TANZANIA YASHIRIKI MAONYESHO YA 18 YA WIKI YA MAZIWA KWA MAFANIKIO MAKUBWA.

 Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr, Titus Kamani, (kulia) akisalimiana na Meneja Uendeshaji na Huduma kwa wateja wa benki ya Exim Tanzania tawi la Babati mkoani Manyara Bw. John Ndyebonera ,alipotembelea kwenye banda la maonyesho la benki hiyo ambayo ilishiriki kwenye maadhimisho ya 18 ya wiki ya maziwa yaliyofanyika kitaifa wilayani Babati hivi karibuni. Wengine ni wafanyakazi pia wa benki hiyo. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr, Titus Kamani, (kulia) akisaini kitabu cha...

 

10 years ago

Michuzi

TATHMINI YA PAPA KAIJAGE KUHUSU MATUKIO MAKUBWA YA MUZIKI WA DANSI KWA MWAKA 2014…


 Komandoo Hamza Kalala bosi wa Utalii BandBwa' Chuchu (RiP)

 

10 years ago

GPL

JK AKUTANA NA WAJUMBE WA JOPO LA KUTATHMINI PROGRAMU YA TEKELEZA KWA MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN)

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na wajumbe wa Jopo la Kutathmini Programu  ya Tekeleza kwa Matokeo Makubwa Sasa (BRN Independent Review Panel) linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Botswana Mheshimiwa Dkt. Festus Mogae ( aliyekaa wa kwanza kulia kwa Rais Kikwete) huko Ikulu tarehe 16.01.2015. Rais Dkt. Jakaya Kikwete akikabidhi tuzo maalum ya Vision 2025 Big… ...

 

10 years ago

Habarileo

‘BRN imepata mafanikio makubwa’

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imesema imepata mafanikio makubwa kufuatia mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) ambapo ufaulu umeongezeka kufikia asilimia 57 mwaka jana ikilinganishwa na mwaka juzi ambapo ufaulu ulikuwa asilimia 50.61.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani