Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vigogo wageuza nyumba za Serikali kuwa baa

>Viongozi wa Serikali wakiwamo mawaziri, wameingia kwenye kashfa inayowaweka katika wakati mgumu, baada ya kubadili matumizi ya nyumba za Serikali walizonunua, kinyume na mikataba inavyoeleza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Nundu: Vigogo serikalini walipewa nyumba na wageni

Waziri wa zamani wa Uchukuzi, Omar Nundu jana aliikalia kooni Serikali kwa kuwakumbatia wageni na kuibua madai kuwa baadhi ya vigogo wa Serikali walipewa nyumba wakati wa kubinafsisha viwanda nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

Dr. Wilibrod Slaa amesema kuwa akiwa Rais wa Tanzania atamfunga Dr. John Magufuli kwa sababu alisimamia mchakato wa uuzwaji wa nyumba za Serikali kwa bei ya kutupwa


Dr. Wilibrod Slaa amesema kuwa akiwa Rais wa Tanzania atamfunga Dr. John Magufuli kwa sababu alisimamia mchakato wa uuzwaji wa nyumba za Serikali kwa bei ya kutupwaDr. Slaa akihojiwa na Radio five ya Arusha jioni hii nini maoni yake kuhusu uteuzi wa Magufuli kuwania Urais. 
Ameongelea mengi lakini amesema iwapo UKAWA wakimpa nafasi na Watanzania wakampa kura za kutosha kushinda Urais atamtia Magufuri ndani ili kujibu tuhuma za uuzwaji wa Nyumba kwa bei ya kutupa. 
Chanzo: Radio five,...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba la Serikali ya Dubai atembelea mradi wa nyumba za gharama nafuu Kigamboni

Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba ncini Tanzania Mhe. Nehemia Mchechu (wakwanza kushoto), watatu kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba la Serikali ya Dubai Mhe. Ali Rashid Ahmed Lootah, wapili kutoka kulia ni Bwa. Issack Peter, na wakwanza kutoka kulia ni Balozi Mdogo Mhe. Omar Mjenga, watembelea mradi wa nyumba za gharama nafuu za Kigamboni zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mapema leo asubuhi jijini Dar es salaam. Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa Mhe....

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE ASHIRIKIANA NA WAGOMBEA SERIKALI ZA MITAA KUPIGA KAMPENI YA NYUMBA KWA NYUMBA JIMBONI NACHINGWEA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akiwasalimia wananchi wa Kijiji cha Libundu, Kitongoji cha Nangote, Kata ya Kiparamnero wilayani Nachingwea katika Kampeni ya nyumba kwa nyumba ya kuwanadi wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wa Serikali za Mitaa wilayani humo. Waziri Chikawe aliwaomba wananchi wa Nachingwea kuwapigia kura viongozi hao waliopitishwa na CCM kugombea nafasi hizo walizoomba. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika...

 

11 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara K’koo wageuza sikukuu mtaji

Wakazi wa jijini hapa wamewaomba wafanyabiashara wa nguo za watoto kutoongeza bei ya bidhaa hizo kila unapokaribia msimu wa sikukuu.

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Walimu wageuza madaftari viti

>Walimu wa Shule ya Msingi Mwatulole mkoani Geita, hawana meza wala viti hali inayowalazimu kukalia madaftari ya wanafunzi kwa kuyatandika kwenye magogo.

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yataka vigogo wajipime

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ametoa ufafanuzi mpya kuhusu maagizo ya Rais John Magufuli, kwa watendaji wakuu na maofisa masuhuli wote wa wizara, idara na taasisi za Serikali, katika suala zima la kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ya fedha za umma. Katika ufafanuzi huo uliotumwa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Balozi Sefue ametaka kila mtendaji wa Serikali kujihoji mwenyewe, kwamba endapo Rais Magufuli ataamua kufika katika eneo lake la kazi, ni kwa kiasi gani atakuta...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwanini serikali haiwataji vigogo wahalifu?

UBAYA hatima yake mbaya kwani huwa na mwisho mbaya. Twakumbushwa kwamba nia au dhamira mbaya, aghalabu haiwezi kufanikiwa. Mhalifu ni mtu anayekwenda kinyume na taratibu au sheria za nchi. Sheria...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chikawe: Wauza ‘unga’ vigogo wa serikali

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amesema wafanyabiashara wakubwa wa dawa za kulevya ni vigogo wa serikali. Akizungumza na viongozi wa Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani