Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vigogo wanne watikisa Uchaguzi Mkuu

Mchakato wa kupata wagombea urais kutoka vyama vikuu vya siasa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 umeandika historia ya aina yake baada ya vigogo wanne kujitoa na wengine kuachia nafasi katika vyama vyao ghafla na kuzua mtikisiko.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Vigogo wanne wa shule kizimbani kwa rushwa


NA MWANDISHI WETU
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Nachingwea, imepawandisha kizimbani wajumbe wa kamati ya shule kwa tuhuma za rushwa.
Wajumbe hao walipandishwa kizimbani Machi 11, mwaka huu, katika Mahakama ya Wilaya ya Nachingwea, wakishitakiwa kufanya ununuzi hewa ya vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya sh. milioni 1.3 kwa ajili ya Shule ya Msingi Farm Eight.
Kesi hiyo namba CC20/2015, ilifunguliwa Machi 11, mwaka huu, ambapo washitakiwa hao ni Hamza Chidoli...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA NAPE NNAUYE WATIKISA JIJI LA MWANZA LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara ya miezi 26 katika mikoa 31 nchini, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. 
Mkutano huo umefanyika kwenye viwanja vya Furahisha, Kirumba jijini Mwanza jioni ya leo. Ndugu Kinana ambaye katika ziara hiyo ameambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye,...

 

9 years ago

Habarileo

Wanne wajitosa uchaguzi wa Mufti

KAIMU Mufti wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), Shekhe Abubakar Zuberi Ally ni miongoni wa mashehe wanne waliojitokeza kuwania kuchaguliwa kwenye nafasi ya Mufti kwenye uchaguzi utakaofanyika kesho jijini hapa.

 

9 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu aitembelea NEC kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2015

11223558_1465389910437173_7959874733452473066_o

Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka akimpatia maelekezo juu ya NEC inavyoweza kutunza kumbukumbu za wananchi mapema jana alipoitembelea kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ambapo alishuhudia vifaa mbalimbali vya Uchaguzi vikiwasili na Kupokelewa katika ofisi ya NEC kitengo cha Daftari Bohari Kuu jijini Dar es Salaam.

11930774_1465390323770465_1602462128218917504_o

Vifaa mbalimbali...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU BW. FROLENCE TURUKA AITEMBELEA NEC KUONA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015

Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka akimpatia maelekezo juu ya NEC inavyoweza kutunza kumbukumbu za wananchi mapema leo alipoitembelea kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ambapo alishuhudia vifaa mbalimbali vya Uchaguzi vikiwasili na Kupokelewa katika ofisi ya NEC kitengo cha Daftari Bohari Kuu jijini Dar es Salaam. Vifaa ...

 

11 years ago

Mwananchi

Wagombea wanne warejesha fomu za uchaguzi Kalenga

Wagombea wanne wa Ubunge Jimbo la Kalenga kupitia Vyama vya CCM, Chadema, NCCR-Mageuzi na Causta jana wamerejesha fomu za kuwania kiti cha ubunge wa jimbo hilo baada ya kukamilisha taratibu za kujaza fomu, huku wale wa CCM na Chadema wakitoa ujumbe mzito wa kuwataka wafuasi wa vyama vyao kutojihusisha na vurugu wakati wa kampeni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani