Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanne wajitosa uchaguzi wa Mufti

KAIMU Mufti wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), Shekhe Abubakar Zuberi Ally ni miongoni wa mashehe wanne waliojitokeza kuwania kuchaguliwa kwenye nafasi ya Mufti kwenye uchaguzi utakaofanyika kesho jijini hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

284 wajitosa uchaguzi CHADEMA

WAGOMBEA watatu wamejitokeza kuchuana na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, Septemba...

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA MUFTI MKUU JUU YA MAAFA YA MAHUJAJI, WATANZANIA WANNE WAPOTEZA MAISHA KATIKA MSONGAMANO ULIOTOKEA MINA JANA

Baadhi ya Watanzania walioko Hijja na ambao wamenusurika na maafa ya msongamano wa watu huko Mina jana. Kulia nia Bw. Yahaya Sameja, kushoto ni mwigizaji mchekeshaji Bw. Amri Athumani al maarufu kama King Majuto. Wa katikati  jina lake halikuweza kupatikana.

Bismilah Rahman Raheem

Assalaam alaykum warahmatullahi wa barakaatuhu.


Taarifa hii inahusu tukio lilitokea jana Mina Saudi Arabia wakati mahujaji wakielekea kwenye Jamaraat , palitokea msongamano mkubwa ( stampede) na kupelekea mahujaji...

 

9 years ago

Michuzi

STOP PRESS: TAARIFA YA MUFTI MKUU JUU YA MAAFA YA MAHUJAJI, WATANZANIA WANNE WAPOTEZA MAISHA KATIKA MSONGAMANO ULIOTOKEA MINA JANA

Baadhi ya Watanzania walioko Hijja na ambao wamenusurika na maafa ya msongamano wa watu huko Mina jana. Kulia nia Bw. Yahaya Sameja, kushoto ni mwigizaji mchekeshaji Bw. Amri Athumani al maarufu kama King Majuto. Wa katikati  jina lake halikuweza kupatikana.
------------------------------------------------------------------------------------

Bismilah Rahman Raheem

Assalaam alaykum warahmatullahi wa barakaatuhu.


Taarifa hii inahusu tukio lilitokea jana Mina Saudi Arabia wakati mahujaji wakielekea...

 

9 years ago

Habarileo

Mufti, mahujaji kuombea uchaguzi mkuu

MUFTI wa Tanzania, Shehe Abubakary Zuberi Ally amesema ataongoza mahujaji wa Tanzania, kuombea uchaguzi mkuu nchini uwe wa amani, atakapofika kwenye mji mtakatifu wa Makka. Mufti alisema hayo kabla ya kwenda kuhiji Makka.

 

9 years ago

Mwananchi

Vigogo wanne watikisa Uchaguzi Mkuu

Mchakato wa kupata wagombea urais kutoka vyama vikuu vya siasa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 umeandika historia ya aina yake baada ya vigogo wanne kujitoa na wengine kuachia nafasi katika vyama vyao ghafla na kuzua mtikisiko.

 

11 years ago

Mwananchi

Wagombea wanne warejesha fomu za uchaguzi Kalenga

Wagombea wanne wa Ubunge Jimbo la Kalenga kupitia Vyama vya CCM, Chadema, NCCR-Mageuzi na Causta jana wamerejesha fomu za kuwania kiti cha ubunge wa jimbo hilo baada ya kukamilisha taratibu za kujaza fomu, huku wale wa CCM na Chadema wakitoa ujumbe mzito wa kuwataka wafuasi wa vyama vyao kutojihusisha na vurugu wakati wa kampeni.

 

9 years ago

Dewji Blog

Chama cha UPDP chasimamisha wagombea wanne kwenye uchaguzi ujao Singida

DSC_7629Mgombea wa kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa, (kulia), akipokea mkoba wenye fomu za uteuzi wa kuwania .Urais kupitia chama chake hicho  uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25,  mwaka huu. Tayari chama hicho kimeweka wazi kuwa kinasimamisha wagombea wanne katika baadhi ya majimbo ya ndani ya Mkoa wa Singida katika kinyang’anyiro hicho. (Picha na Maktaba ya modewjiblog).

Na, Jumbe Ismailly

 (SINGIDA)- Chama cha UNITED PEOPLES DEMOCRATIC...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Mwananchi

Wanamichezo wajitosa siasa

Wasanii na wanamichezo mbalimbali nchini wamejitokeza kuomba fursa ya kugombea ubunge, udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani