Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIJANA AKIWA KATIKA KUSAKA MKATE WA KILA SIKU

Kutafuta liziki ni kwa kila mtu ila tofauti ni kwa namna gani jamaa kama alivyokutwa na kamera yetu leo katika eneo la Kinondoni B jijini dar es salaam.Mjasiliamali akimuuzia mteja wake mara baada ya kuegesha gari lake pembeni kama alivyonaswa na kamera yetu leo katika eneo la kariakoo jijini Dar es Salaam leo. (PICHA NA EMMENUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vijana nchini watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia

Na Frank Shija, WHVUM
Vijana watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani ambayo kitaifa yatafanyika tarehe 12 Agosti jijini Dar es Salaam huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni “Ushiriki wa Vijana katika masuala ya Kiraia”
Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam.
Bibi Sihaba amesema kuwa maadhimisho hayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka...

 

9 years ago

Raia Mwema

Kila siku wanadai eti vijana hatuna uzalendo. Wao wana uzalendo kwetu?

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke, mipango miji, machinga, kero vijijini na waishiwa,

Hidaya

 

10 years ago

GPL

JANUARY MAKAMBA AKIWA IRINGA KUSAKA WADHAMINI

Mheshimiwa January Makamba, akiwasili ofisi za CCM mkoa wa Iringa. Mheshimiwa January Makamba, akipokelewa na wanachama wa CCM Wilaya ya Iringa mjini.…

 

11 years ago

Michuzi

CHEF ISSA ATOA SOMO LA KUBANIKA MKATE KWA KUTUMIA KUNI KWA VIJANA WA SCOUT UGHAIBUNI

Mkate uliotayari kwa kuliwa ooohhh asikwambie mtu saafi sana! Chef Issa anashukuru Allah kupata  bahati ya kualikwa na chama cha scout kwenda kuwafundisha vijana mbinu za mapishi wakiwa porini. Dah! waliipenda na kufagilia sana walitengeneza mkate wa kubanika kwa kutumia mti na moto wa kuni.Kundi la vijana wa scout na uongozi wao hapa ni baada ya kuwasha moto tukisubiri upungue na kuni zote zishike moto tuanze kubanika mkate.Chef Issa (kulia) akiwa na vijana wa scoutHuu ndio mkate wenyewe...

 

11 years ago

Michuzi

VIJANA WA NYEGEZI MWANZA WAHAMASISHWA KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS LITAKALOFANYIKA KESHO JUMAMOSI ISAMILO LODGE KUANZIA SAA MOJA ASUBUHI

 Msanii wa Filamu Tanzania Elizabeth Michael (Lulu) akikumbatiana na Mmoja wa Mashabiki wa Filamu zake katika Eneo la Nyegezi Mwanza Jioni ya Leo wakati wasanii wa filamu Tanzania walipotembelea eneo hilo kwa lengo la kutambulisha Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents litakaloanza kesho Mkoani Mwanza, Mahali ni Isamilo Lodge Baadhi ya Wakazi wa Nyegezi Mwanza wakiwa wamekusanyika kwaajili ya kuwashuhudia wasanii wa filamu Tanzania...

 

10 years ago

Mwananchi

Tumwogope Mungu kwa matendo yetu kila siku na kila wakati!

Bila kumwogopa Mungu, hatuwezi kupiga hatua kama taifa. Tunaambiwa kwamba kumwogopa Mungu ndiyo mwanzo wa maarifa na mafanikio. Ingawa Taifa letu halina dini, lakini watu wake wote wanamwamini Mwenyezi Mungu

 

10 years ago

Mwananchi

Kutembea kwa dakika 20 kila siku, huongeza siku za kuishi

Kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia, mtindo wa maisha umebadilika ikiwamo watu wengi kutumia usafiri wa magari hata kwa safari ya umbali mfupi

 

10 years ago

Vijimambo

KONGAMANO LA VIJANA MKOANI MBEYA WAKATI WA KUAZIMISHA SIKU YA VIJANA DUNIANI



 Mgeni Rasmi ambaye ni Afisa Vijana Halmashauri jiji la Mbeya  Onah Temu akitoa hotuba katika siku ya Vijana Duniani ambayo kwa Mkoa wa Mbeya ilifanyikia Ukumbi wa Chuo kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Mbeya. Maandamano kuelekea katika Ukumbi ambapo vijana wanakutana kwa ajili ya Sherehe yao. Mratibu wa Mradi wa Restless Fadhiri Mtanga akitoa mada kuhusu Maendeleo ya Vijana  Wakili Stephen John akiwashauri vijana kuto tumika na wanasiasa Muwezeshaji wa Sherehe hiyo ya Vijana  Mwadawa Mbando...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kongamano la Vijana mkoani Mbeya wakati wa kuadhimisha siku ya vijana duniani

Mgeni rasmi ambaye ni Afisa Vijana Halmashauri jiji la Mbeya  Onah Temu akitoa hotuba katika siku ya Vijana Duniani ambayo kwa Mkoa wa Mbeya ilifanyikia Ukumbi wa Chuo kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya Mbeya.

IMG_3165

Vijana wakisikiliza kwa makini watoa mada kaika sherehe hiyo iliyofanyika ukumbi wa Mzumbe Mbeya.

Mratibu wa Mradi wa Restless Fadhiri Mtanga akitoa mada kuhusu Maendeleo ya Vijana.

Wakili Stephen John akiwashauri vijana kuto tumika na wanasiasa.

Muwezeshaji wa Sherehe hiyo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani