Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana waaswa kutochagua kazi

Vijana wametakiwa kuepuka mtindo wa kuchagua kazi za kufanya na badala yake, wajishughulishe kwa kufanya kazi zote halali za kujipatia kipato.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana waaswa kutumia michezo

VIJANA mkoani Arusha, wameshauriwa kutumia michezo kama sehemu muhimu ya kukuza uhusiano na vipaji walivyonavyo ili kujiepusha na mambo yanayoharibu sifa na haiba zao katika jamii. Ushauri huo umetolewa na...

 

9 years ago

Michuzi

VIJANA WAASWA KUACHA UPAPARA

_MG_1920Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dk. Tausi Kida akiingia katika ukumbi wa mkutano hoteli ya Double Tree by Hilton kwa ajili ya warsha ya vijana na ajira iliyofadhiliwa na Mpango wa Shirika la Utafiti ya Maendeleo ya Kimataifa kutoka Canada (IDRC) na kuratibiwa na ESRF.
Na Mwandishi wetuVIJANA nchini Tanzania wanatakiwa kujitambua, kuacha kuwa kigeugeu na kufanya papara ya kupata fedha kama wanataka kuendelea na kufanikiwa kibinafsi na kiuchumi.
Kauli...

 

11 years ago

Michuzi

VIJANA WAASWA KUDUMISHA AMANI

 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma akimvisha kofia ya ukamanda Profesa Peter Msolla baada ya kuteuliwa kuwa Kamanda wa UVCCM wilaya ya Kilolo sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Kidabaga.  Mbunge wa jimbo la Kilolo,Profesa Peter Msola akila kiapo cha kuwa kamanda wa UVccm mbele ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma. Mbunge wa jimbo la Kilolo,Prof Peter Msola akiwaapisha makamanda wa vijana ccm katika wilaya ya Kilolo sherehezz ilizofanyika katika uwanja wa Kidabaga.
Na...

 

10 years ago

Bongo5

Vijana waaswa kushiriki mashindano ya teknolojia

Ndoto za wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosoma masomo ya sayansi ya teknokojia ya habari na mawasiliano nchini ya kuwa magwiji wa fani hiyo zinaelekea kutimia. Hali hii inatokana na kuzinduliwa kwa shindano la kusaka vipaji vya ugunduzi wa program za simu – App Star – mwezi huu. Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Abigail Ambweni […]

 

10 years ago

Habarileo

Vijana waaswa kuchagua viongozi makini

VYAMA vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vimewataka vijana kutotumika kama daraja la kupata viongozi wabovu, wasio kuwa na sifa kwa jamii, baada ya kuchukua fedha chafu kutoka kwa watu wanaoomba nafasi ya uongozi.

 

10 years ago

GPL

VIJANA WAASWA KUJITAMBUA ILI KUONDOKANA NA UMASKINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akifafanua jambo wakati wa Kikao kazi cha Maafisa Vijana (hawapo pichani) kilichofanyika jana mjini Tabora,kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana nchini Bw. James Kajugusi. Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana nchini Bw. James Kajugusi akitoa mada kuhusu majukumu ya Maafisa Vijana wakati… ...

 

10 years ago

GPL

VIJANA WAASWA KUSHIRIKI MASHINDANO YA TEKNOLOJIA‏

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania,Abigail Ambweni akiwafafanulia jambo baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kutoka Kitivo cha Sayansi ya Kompyuta kuhusiana na  shindano la AppStar linaloendeshwa na kampuni hiyo linalowalenga wataalam wa kutengeneza mobile applications na kujishindia zawadi mbalimbali ikiwemo pesa taslim na safari ya kwenda nchini India kushiriki katika shindano hilo ngazi ya...

 

11 years ago

Michuzi

VIJANA WAASWA KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO

 Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bw. James Kajugusi akisisitiza jambo wakati akiwahamasisha vijana wa Mchinga kujiunga katika vikundi vya uzalishaji mali ili kuunda SACCOS ya vijana. Kulia ni Afisa Tarafa ya Mchinga, Bi.Hadija Mringwa. (Picha zote na Concilia Niyibitanga,Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo)Afisa Kata wa Kata ya Mchinga, Bi. Sharifa Mkwango, akisisitiza jambo kuhusu...

 

10 years ago

StarTV

Wananchi waaswa kuchagua viongozi wachapa kazi

Na Sudi Shaaban,

Mwanza.

 

Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mwanza kimewataka wananchi kuwa makini kuepuka watakaotaka uongozi kwa kutoa rushwa na badala yake wachague viongozi ambao watakuwa na weledi na wachapa kazi katika taifa.

 

Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu watu mbalimbali wanatajwa kujitokeza kuwania nafasi za uongozi baadhi yao wakijipanga kupata kura kwa kuwalaghai wananchi jambo ambalo ni kinyume na taratibu za uchaguzi.

 

Baadhi ya wananchi wanatajwa kuwa mstari wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani