Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIJANA WAHIMIZWA KUJITOLEA KWENYE KAMPENI YA SAFISHA JIJI

Ofisa Afya wa Hospitali ya Temeke, Imani Rajabu  amewataka vijana wa Wilaya ya Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam kuwa mstari wa mbele kushiriki katika usafi wa mazingira ya Jiji la Dar es Salaam. Alisema vijana wanapaswa kuwa mfano katika usafi wa mazingira kwa kuanzia ngazi ya familia ili kuonyesha mfano kwa vijana wengine kutunza mazingira pamoja na kuepukana na magonjwa ya mlipuko. Akizungumza na  vijana waliofika katika Hospitali ya Manispaa ya Temeke kusafisha maeneo ya hospitali...

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wanamgambo wahimizwa kujitolea Iraq

Wanamgambo wa Kishia wafanya mhadhara mkubwa kuonesha nguvu dhidi ya ISIS na Marekani kuingilia kati tena Iraq

 

11 years ago

Tanzania Daima

Operesheni Safisha Jiji yalalamikiwa

WIKI moja baada ya Operesheni Safisha Jiji, baadhi ya wakazi wameomba Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiq kuingilia kati, kuzuia uvunjifu wa sheria wa kubomolewa baadhi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Safisha Jiji yaathiri Hospitali ya Regency

MWENYEKITI wa Hospitali ya Regency, Dar es Salaam, Dk. Rajni Kanabar, amesikitishwa na kitendo cha wafanyakazi wa Manispaa ya Ilala kuharibu miundombinu ya umeme na internet katika tawi la hospitali...

 

11 years ago

Mwananchi

Operesheni Safisha Jiji yaibua madudu

>Operesheni ya kusafisha jiji la Dar es Salaam ya kuwaondoa wafanyabiashara wadogo maarufu kama Machinga imebainika kuwa ni sehemu ya mradi kwa maofisa maalumu wanaohusika na operesheni hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Safisha jiji yawakera madiwani Arusha

BAADHI ya madiwani wa Jiji la Arusha, wameeleza kukerwa na zoezi la safisha safisha jiji hilo zilivyoendeshwa kwa misingi ya kukiuka haki za binadamu. Madiwani hao wametaka zoezi hilo lifanyike...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Operesheni safisha jiji yawageukia ombaomba

OPERESHENI ya kusafisha jiji ili kuwaondoa wafanyabiashara wadogo (wamachinga) kwenye maeneo yasiyo rasmi, imewageukia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na ombaomba. Operesheni hiyo inaendeshwa na Halmashauri ya Wilaya ya Ilala,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walemavu walalamikia Operesheni Safisha Jiji

KIONGOZI wa Taasisi ya Haki za Binadamu Maendeleo ya Kiuchumi ya Walemavu (HREDP), Abubakar Rakesh, ameilalamikia Operesheni Safisha Jiji inayoendelea kwa kuwaondoa walemavu bila kuwapangia sehemu maalumu ya kwenda kufanyia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Operesheni Safisha Jiji mbona inabomoa nyumba za watu?

OPERESHENI Safisha Jiji ilianza kwa kuungwa mkono na wakazi wa jijini Dar es Salaam lakini kadiri siku zinavyosonga mbele imeanza kuingia dosari na kufananishwa na ile ya Tokomeza Ujangili. Dosari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani