VIJANA WAKIJIKWAMUA KIMAISHA
Vijana wakisukuma toroli lenye takataka kupeleka dampo. Vijana hawa walinaswa maeneo ya Bamaga, Sinza ikiwa ni njia mojawapo ya kujikwamua kimaisha. Vijana hao wakiendelea kuikimbiza mikokoteni…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili19 Jun
Wamasai wageukia ususi kujikimu kimaisha
Ni jambo la kawaida kuwaona wamaasai wakichunga ngomb'e zao katika milima na mabonde. Lakini hali hii inabadilika kwa kasi kubwa
9 years ago
Mwananchi12 Sep
Siku 331 zambadilisha Ruby kimaisha
Uvumilivu, utii na nidhamu ni mambo matatu ambayo chiriku mpya wa R&B nchini, Ruby anaweza kuyahusisha na mafanikio yake kwa sasa.
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Jinsi ya kujiweka mazingira bora ya mafanikio kimaisha (1)
Tunapozungumzia mafanikio binafsi, tunalenga kwa upana maisha ya mwanadamu. Unaposema mafanikio, wengi wanaelekeza mawazo yao kwenye kuwa na fedha, nyumba, magari na utajiri.
10 years ago
Mwananchi06 Feb
Jinsi ya kujiwekea mazingira bora ya mafanikio kimaisha (3)
Baada ya kujua namna ya kuishi na kuongozwa na malengo, leo tunajifunza juu ya faida ya kuweka malengo na hata namna ya kutumia muda wako kikamilifu.
5 years ago
BBCSwahili17 Feb
Kinamama Tanzania wanavyowaosha watu miguu kujikimu kimaisha
Biashara ya kuosha watu miguu imeshamiri hasa wakati wa mvua ikichangiwa na miundombinu mibovu ya masoko inayosababisha matope mengi
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Mjane aliyeinuka kimaisha kwa kuuza ng’ombe wa urithi
Ni katika Viwanja vya Maonyesho ya Nanenane vya John Mwakangale jijini Mbeya ndipo mjane Doroth Myunga anaeleza machungu ya maisha aliyokumbana baada ya kufiwa na mume wake mwaka 2005.
11 years ago
Mwananchi18 Mar
SAFU YA ELIMU&MALEZI: Mwandae mwanao ajitegemee kimaisha
>Katika jamii nyingi za Kiafrika uko mgawanyo wa kazi na majukumu mengine katika familia kati ya baba, mama, watoto wa kiume na watoto wa kike.
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Watoto waliokulia familia korofi wana uwezo wa kukabili matatizo ya kimaisha
Agatha na mumewe Jackob wanaishi katika nyumba ya kupanga ambayo kila mwezi wanatakiwa kulipa bili ya umeme kwa zamu, cha kushangaza Jackob anapokosa fedha hiyo hachanganyikiwi wala kuona aibu kusema sina.
9 years ago
Mwananchi17 Aug
Ronaldo, Kleberson — mapacha Man United na safari mbili tofauti kimaisha
Ni miaka 12 tangu Cristiano Ronaldo na Kleberson wasajiliwe pamoja na kutambulishwa kwenye klabu ya Manchester United. Kwa sasa, wawili hao ambao waliitwa mapacha wamepitia safari tofauti kimaisha
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania