Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wamasai wageukia ususi kujikimu kimaisha

Ni jambo la kawaida kuwaona wamaasai wakichunga ngomb'e zao katika milima na mabonde. Lakini hali hii inabadilika kwa kasi kubwa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Kinamama Tanzania wanavyowaosha watu miguu kujikimu kimaisha

Biashara ya kuosha watu miguu imeshamiri hasa wakati wa mvua ikichangiwa na miundombinu mibovu ya masoko inayosababisha matope mengi

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanahabari aliyejisomesha chuo kikuu kwa kazi ya ususi

“Muda wote nikiwa chuoni nchini Marekani, nilikuwa nafanya kazi ya kuwasuka watu nywele na fedha niliyoipata nililipia ada kwa ajili ya kujiendeleza kimasomo.

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yapewa mbinu kujikimu katika bajeti

oswaldNa Elias Msuya, Dar es Salaam
WAKATI Tanzania ikiwa imeshindwa kutekeleza Malengo ya Milenia wadau wa uchumi wametoa mbinu za kujikimu katika bajeti badala ya kutegemea nchi wahisani.
Malengo manane ya Milenia ni pamoja na suala la kuondoa umasikini na njaa, elimu ya msingi kwa wote, usawa wa jinsia, kuzuia vifo vya watoto, afya ya uzazi, kupambana na Ukimwi, malaria na magonjwa mengineyo.
Akizungumza katika mkutano kuhusu Malengo ya Milenia, Dar es Salaam jana, Mtafiti Mwandamizi wa Taasisi...

 

10 years ago

Mwananchi

Makongoro, Muhongo wageukia ubunge

>Baraka Mkama, Marwa Mbeu, Reuben Mulemwa, Tungaraza Njugu, Boniphace Magesa, Jonas Mgoka, Masatu Kyabwene, Fedinarnd Chiguma na Chilagwile Zacharia, Profesa Sospeter Muhongo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara wageukia biashara ya mtandaoni

BIASHARA  ya mtandao ni biashara inayozidi kukua kila  uchao  ambapo mauzo ya bidhaa na manunuzi hufanyika kwa kutumia teknolojia. Ni biashara  ambayo imelenga soko la kimataifa zaidi hususan kwa nchi...

 

10 years ago

Habarileo

Vigogo wa urais CCM wageukia ubunge

Profesa Sospeter Muhongo.WIKI moja baada ya CCM kumteua Waziri wa Ujenzi, Dk John Pombe Magufuli kuwa mgombea wake wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, idadi kubwa ya washindani wake wamegeukia siasa za majimbo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Wahalifu wageukia wizi wa barakoa

Hofu ya maambukizi ugonjwa wa corona yaendelea kote duniani

 

11 years ago

Mwananchi

CCM sasa wageukia makatibu wakuu

Wabunge wanaotokana na CCM, juzi jioni walikutana faragha na kutaka wigo wa kupambana na mawaziri mizigo upanuliwe hadi kwa makatibu wakuu.

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI UDOM WAGOMA WAKIDAI PESA ZAO ZA MIKOPO KWA AJILI YA KUJIKIMU

Wnafunzi wa UDOM wakiwa katika mgomo wakishinikiza serikali kuwalipa pesa zao za kujikimu. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa akiwatuliza na wanachuo. Wakiwasikiliza Naibu Waziri wa Afya Steven Kebwe na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani