Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijiji vinne kufundisha wakulima wao

Halmashauri ya Wilaya ya Ileje, mkoani Mbeya, imetangaza kuvisaidia vijiji vinne ili vizalishe mpunga kuanzia mwakani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Vijiji vinne vya wilayani Muheza kunufaika na mradi wa maji

Vijiji vinne vya Milingano, Muungano, Kibaoni na Upare wilayani Muheza mkoani Tanga wanatarajiwa kunufaika na mradi wa maji unatarajiwa kukamilika Desemba mwaka huu.

Mradi huo ambao unagharimu zaidi ya shilingi bilioni moja utahudumia wakazi zaidi ya elfu saba.

 Mradi wa maji wa kijiji cha Mlingano ambao chanzo chake kimeanzia katika mto Zigi uliopo wilayani Muheza mkoani Tanga.

Wananchi wa maeneo hayo wanauona mradi huo kama almasi baada ya kusumbuka kwa muda mrefu wakifuata huduma hiyo mto...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi wa vijiji vinne vya wilayani Ulanga wanufaika na Ujenzi Wa Barabara

Wakazi wa vijiji vya Kisewe, Mdundo, Nawenge na Lyandira wilayani Ulanga mkoani Morogoro wamenufaika na ujenzi wa barabara ulioanzishwa na shirika la utafiti wa madini wilayani humo Mahenge Natural Resources baada ya kutaabika kwa muda mrefu katika usafirishaji wa mazao yao wakiyabeba kichwani kupeleka sokoni.

Kukamilika kwa mradi huo wa barabara kutasaidia wakulima wengi kwenye vijiji hivyo kunufaika kiuchumi na kuongeza kipato zaidi kutokana na mazao yao kufika kiurahisi sokoni.

Ukitazama...

 

9 years ago

Michuzi

HATIMAYE VIJIJI VINNE WILAYANI HANANG’ VIMEPOKEA HATI ZA HAKIMILIKI ZA KIMILA ZA ARDHI‏‎

  Mzee wa heshima akielezea historia ya umiliki wa ardhi miaka ya nyuma ukilinganisha na sasa. Makko Sinandei Mratibu wa Miradi wa shirika la UCRT alisema wamekutana na changamoto za migogoro ya mipaka katika vijiji ambayo inazuia kushindwa kupima mipaka katika vijiji husika. Baadhi ya akina mama wa Kijiji hicho wakifuatilia tukio.

Na mwandishi wetuWenyekiti wa vijiji vinne vya wilaya ya Hanang’ wamepokea hati za hakimiliki za kimila za ardhi ya vijiji vyao baada ya kuwa vimepimwa na wao...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la Oxfam lakabidhi vituo vya kusindika na kuhifadhi maziwa kwa wanawake wa vijiji vinne wilaya ya Ngorongoro

Mkurugenzi-akionyeshwa-vipima-joto-na-vifaa-vingine-vilivyokabidhiwa-kwa-wanakikundi

Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula akikata utepe kama ishara ya kuzindua  rasmi kituo cha kuhifadhia na kusindika maziwa.

Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula akijaribisha Jokofu linalotumia umeme wa jua wakati wa uzinduzi huo.

 

Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro, John Kulwa Mgalula (kushoto) akioneshwa baadhi ya vifaa ambavyo walikabidhiwa vituo hivyo na Shirika la Oxfam Tanzania.

Baadhi ya Wanakikundi cha NOSOTWA kutoka kijiji cha...

 

10 years ago

Vijimambo

SHIRIKA LA OXFAM LAKABIDHI VITUO VYA KUSINDIKA NA KUHIFADHI MAZIWA KWA WANAWAKE WA VIJIJI VINNE VYA WILAYA YA NGORONGORO

Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula akikata utepe kama ishara ya kuzindua  rasmi kituo cha kuhifadhia na kusindika maziwa Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula akijalibisha Jokofu linalotumia umeme wa jua wakati wa uzinduzi huo.
  Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula wa kwanza kushoto akioneshwa baadhi ya vifaa ambavyo walikabidhiwa vituo hivyo na Shirika la Oxfam Tanzania Baadhi ya Wanakikundi cha NOSOTWA kutoka kijiji cha Engaresero...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA NBC WAJITOLEA KUFUNDISHA VIJANA UJASIRIAMALI NA MBINU ZA KIFEDHA KUPITIA MPANGO WAO WA 'UNLOCKING YOUTH POTENTIAL'

Ofisa wa Benki ya NBC, Pendo Clement (katikati) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa chuo cha Future World kuhusu masuala ya ujasiriamali na elimu ya kifedha ikiwa ni sehemu ya mpango wa wafanyakazi wa NBC wa kujitolea uitwao ‘Unlocking Youth Potential’ wa kuwafundisha vijana masuala ya ujasiriamali na mbinu za kifedha. Hafla hiyio iliandaliwa na Plan International pamoja na chuo hicho, Gongo la Mboto, Dar es Salaam jana. Ofisa wa Benki ya NBC, Jonathan Bitababaje (kulia) akifundisha ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima wamtimua mkurugenzi wao

CHAMA cha Wakulima Tanzania (TFA), kimepata hasara ya sh bilioni 5 kwa kipindi cha miaka 10 mfululizo kutokana na viongozi wa bodi kuwa na matumizi mabaya ya fedha na kujiidhinishia...

 

10 years ago

Michuzi

KONYAGI WATEMBELEA MASHAMBA YA WAKULIMA WA ZABIBU DODOMA AMBAO WATOTO WAO WANAFADHILIWA KIMASOMO

 Mratibu wa Mpango wa Kampuni ya Konyagi wa kuwasomesha watoto wa wakulima wa zao la zabibu kwa masomo ya Sekondari Saimon Chibehe (katikati), akitembelea hivi karibuni shamba la zabibu la Festo Kuziganika katika Kijiji cha Mbabara, mkoani Dodoma. Kulia ni mmoja wa wakulima wa eneo hilo, Juliana Masukwi. Watoto wa wakulima hao wameingizwa kwenye mpango huo.
 Festo Kuziganika mkazi na mkulima wa zabibu katika katika Kijiji cha Mbabara, Manispaa ya Dodoma akimuelekeza jambo Mratibu wa Mpango wa...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WAKULIMA WA MELELA, MOROGORO WAFUNGA BARABARA KUSHINIKISHA KUKUTANA NA MKUU WA MKOA WAO

Mabomu ya machozi yametumika kuwatawanya wakulima wa eneo la Melela, Mvomero mkoani Morogoro waliokuwa wamefunga barabara ya Iringa - Morogoro wakimtaka Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera aende kusuluhisha mgogoro uliopo baina yao na wafugaji. 
Wakulima hao ambao wanalima katika Mashamba yaliopo eneo la Mkangazi,Wilayani Mvomero,walilazimika kufunga barabara hiyo ili iwe shinikizo la kufika kwa Mkuu huyo wa Mkoa na kuwasikiliza ikiwezekana kutatua kabisa tatizo lao.
Wakulima hao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani