Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vikwazo tele ukusanyaji wa damu salama

ukusanyaji wa damu kutoka makundi mbalimbali ya kijamii, NBTS inasema bado kuna vikwazo vingi vinavyokabili ukusanyaji wa damu nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NBTS MTWARA YAFIKIA ASILIMIA 94 UKUSANYAJI DAMU SALAMA KWA WIKI MBILI


Na. WAMJW - Mtwara

Mpango wa Taifa wa damu Salama (NBTS), Kanda ya kusini, umefikia asilimia zaidi ya 94 ya ukusanyaji wa damu salama sawa na chupa 374 katika wiki ya kuadhimisha siku ya wachangia damu duniani.

Hayo yamesemwa leo na Meneja wa mpango wa Taifa wa Damu Salama Kanda ya Kusini iliyopo mtwara Dkt. Pendael Sifuel wakati akizungumza kuhusu wiki ya maadhimisho hayo ambayo duniani hufanyika Juni 14 kila mwaka.

“Kanda yetu tulikuwa na lengo la kukusanya chupa 400 kwa wiki mbili za...

 

11 years ago

GPL

MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA -TANZANIA CHANGIA DAMU OKOA MAISHA

Bango kwa ajili ya uhamasichaji wa uchangiaji damu.
Hapa ni kwa aajili ya kupimwa presha, ushauri na kutolewa damu.
Hatua ya kwanza kwa mchangia damu.…

 

10 years ago

Michuzi

NHIF KUPIMA AFYA NA KUKUSANYA DAMU KWA USHIRIKIANO WA MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA KATIKA MIKOA SITA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Michael Mhando akizungumza na Waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusiana na zoezi la upimaji afya na kukusanya damu salama kwa ushirikiano na Mpango wa damu salama katika mikoa sita nchini. Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Mpango wa taifa wa Damu Salama, Rajab Mwenda.Baadhi ya maofisa wa NHIF walioshiriki mkutano huo na waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini. **********

 

5 years ago

Michuzi

UKOSEFU WA VIFAA WAKWAMISHA ZOEZI LA UKUSANYAJI DAMU YA KUTOSHA MKOANI KIGOMA

Na Editha Karlo wa blog ya michuzi,Kigoma.
Imeelezwa kuwa ukosefu mkubwa wa vifaa vya kufanyia kazi wakati wa zoezi la ukusanyaji damu katika wilaya mbalimbali za mkoa Kigoma umekwamisha mpango wa kukusanya damu ya kutosha kwa ajili ya benki ya damu mkoani humo.

Meneja mradi wa damu salama mkoa Kigoma, Abichi Maramba akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo kwa Mganga Mkuu wa mkoa Kigoma, Simon Chacha kwa niaba ya kituo cha damu salama mkoani humo alisema kuwa wakati mwingine uhamasishaji...

 

10 years ago

Habarileo

NHIF yalipa bil. 5/- za Tele kwa Tele

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa CHF, Rehani AthumaniMFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umeshalipa halmashauri mbalimbali zaidi ya Sh bilioni 5 kama mchango wa serikali katika mfumo wa tele kwa tele.

 

9 years ago

Habarileo

Halmashauri zatakiwa kutenga bajeti damu salama

SERIKALI imezitaka kila halmashauri nchini kuhakikisha kuwa inatenga bajeti ya kutosha kwa ajili ya damu ili kuwezesha wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo kuipata na kuepusha kupoteza maisha ya watu hususan wajawazito na watu walioathirika na ajali.

 

10 years ago

Habarileo

Washauri bajeti Mpango Taifa wa Damu Salama

SERIKALI imeshauriwa kuongeza bajeti ya Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS) ili kukabiliana na tatizo la upungufu wa damu salama linalovikabili vituo vingi vya kutolea huduma nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hospitali Tumbi yahitaji kituo cha damu salama

HOSPITALI Teule ya Rufaa ya Tumbi iliyopo Kibaha mkoani Pwani, inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa kituo cha damu salama. Ukosefu wa kituo hicho umekuwa ukisababisha damu inayokusanywa hospitalini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani