NBTS MTWARA YAFIKIA ASILIMIA 94 UKUSANYAJI DAMU SALAMA KWA WIKI MBILI
Na. WAMJW - Mtwara
Mpango wa Taifa wa damu Salama (NBTS), Kanda ya kusini, umefikia asilimia zaidi ya 94 ya ukusanyaji wa damu salama sawa na chupa 374 katika wiki ya kuadhimisha siku ya wachangia damu duniani.
Hayo yamesemwa leo na Meneja wa mpango wa Taifa wa Damu Salama Kanda ya Kusini iliyopo mtwara Dkt. Pendael Sifuel wakati akizungumza kuhusu wiki ya maadhimisho hayo ambayo duniani hufanyika Juni 14 kila mwaka.
“Kanda yetu tulikuwa na lengo la kukusanya chupa 400 kwa wiki mbili za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Vikwazo tele ukusanyaji wa damu salama
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WQFJA5SYdOY/U-kLpFUySUI/AAAAAAAF-n4/MttKk-yLXDM/s72-c/download+(1).jpg)
10 years ago
MichuziNHIF KUPIMA AFYA NA KUKUSANYA DAMU KWA USHIRIKIANO WA MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA KATIKA MIKOA SITA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-jabE9lqHZGg/XuJYfHewiqI/AAAAAAALtek/dMUigNqcmScbkrswOM4Y_nrmH6oFXltsgCLcBGAsYHQ/s72-c/12.jpg)
HALMASHARI YA MJI KONDOA YAONGEZA UKUSANYAJI WA MAPATO KWA ASILIMIA 135
HATIMAYE Baraza la Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Mji Kondoa limekamilisha rasmi kikao cha kawaida cha robo ya nne baada ya kuhudumu kwa kipindi cha miaka mitano tangu lilipoingia madarakani mwezi Oktoba 2015 na kufanikiwa kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani kutoka shilingi milioni 400 kwa mwaka 2016/2017 hadi kufikia shilingi bilioni 1.6 mwaka 2019/2020 sawa na ongezeko la zaidi ya asilimia 135.
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa, Msoleni Dakawa katika...
11 years ago
GPLMPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA -TANZANIA CHANGIA DAMU OKOA MAISHA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnX1TduGx3ZwJboRFmQupoU9mHS6TMNwKv*MeiXivf44mG-zPtMhrJ8pP5*RfvR7w4MOn4Z7Dz-KVjikZ6agE3Kf/1.jpg?width=650)
DAMU SALAMA: MAAMBUKIZI YA HOMA YA INI YAZIDI UKIMWI KWA 5.6%
10 years ago
VijimamboMAADHIMISHO YA 23 YA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA KITAIFA YAFIKIA KILELE MJINI DODOMA MWISHONI MWA WIKI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7vsn40RkQCQ/XuX3N1viJOI/AAAAAAALtxY/kE9iuapf1gkHnHzunrLcqCl8r2Yu2_3XQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-14%2Bat%2B12.42.01%2BPM.jpeg)
WAKAZI WA KIGOMA WAITIKIA WITO KUTOA DAMU SALAMA KWA HIYARI
Na Editha Karlo-Michuzi TV
MENEJA wa mradi wa damu salama mkoa Kigoma, Habichi Maramba amesema kuwa kumekuwa na mwitikio mkubwa kwa wananchi wa mkoa Kigoma kujitokeza kutoa damu kwa hiari jambo ambalo linaondoa changamoto ya ukosefu wa damu mkoani humo.
Maramba alisema hayo wakati wa maadhimisho ya wiki ya damu salama mkoani Kigoma na kueleza kuwa jambo hilo linaenda sambamba na uundwaji wa vikundi vya wachangia damu mkoani humo ambavyo vimesaidia kupatikana kwa damu ya kutosha.
Meneja huyo...
10 years ago
Habarileo10 Dec
Rukwa yafikia asilimia 61 ujenzi wa maabara
WAKATI hukumu ya watendaji walioshindwa kukamilisha ujenzi wa maabara tatu katika kila shule ya sekondari ya Kata nchini ikikaribia kutekelezwa na Rais Jakaya Kikwete baada ya muda uliotolewa kufikia tamati, Mkoa wa Rukwa umetekeleza agizo la Rais kwa asilimia 61.