Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKAZI WA KIGOMA WAITIKIA WITO KUTOA DAMU SALAMA KWA HIYARI


Na Editha Karlo-Michuzi TV
MENEJA  wa mradi wa damu salama mkoa Kigoma, Habichi Maramba amesema kuwa kumekuwa na mwitikio mkubwa kwa wananchi wa mkoa Kigoma kujitokeza kutoa damu kwa hiari jambo ambalo linaondoa changamoto ya ukosefu wa damu mkoani humo.

Maramba alisema hayo wakati wa maadhimisho ya wiki ya damu salama mkoani Kigoma na kueleza kuwa  jambo hilo linaenda sambamba na uundwaji wa vikundi vya wachangia damu mkoani humo ambavyo vimesaidia kupatikana kwa damu ya kutosha.

Meneja huyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NHIF KUPIMA AFYA NA KUKUSANYA DAMU KWA USHIRIKIANO WA MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA KATIKA MIKOA SITA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Michael Mhando akizungumza na Waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusiana na zoezi la upimaji afya na kukusanya damu salama kwa ushirikiano na Mpango wa damu salama katika mikoa sita nchini. Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Mpango wa taifa wa Damu Salama, Rajab Mwenda.Baadhi ya maofisa wa NHIF walioshiriki mkutano huo na waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini. **********

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AWASILI KIGOMA AKIWA MGENI RASMI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU SALAMA KITAIFA.

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa Mtoto Mosi Kimosa ,7, anayesoma darasa la pili katika shule ya msingi Msimba iliyoko Kigoma Vijijini na Trisa Luziga,6, anayesoma darasa la kwanza mara baada ya Mama Salma kutua katika uwanja wa ndege wa Kigoma  Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mheshimiwa Issa Machibya akimpokea rasmi Mke wa Rais Mama Salma Kikwete mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma Mama Salma yuko mkoani humo kuhudhuria maadhimisho ya siku ya uchangiaji...

 

5 years ago

Michuzi

WANANCHI WAITIKIA WITO WA SERIKALI


Na Mwandishi wetu Mihambwe

Leo Jumatatu Aprili 6, 2020 Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amewashukuru Wananchi wa Tarafa ya Mihambwe kwa kuitikia vyema wito wa Serikali wa kupambana na ugonjwa wa Covid 19 unaosababishwa na kirusi Corona.

Gavana Shilatu ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya kukagua maeneo mbalimbali kuona namna gani Wananchi wanajikinga na ugonjwa wa virusi vya Corona ambapo alikuta Watu wengi wamezingatia somo la kunawa kwa kuweka ndoo yenye maji pamoja na sabuni...

 

11 years ago

GPL

MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA -TANZANIA CHANGIA DAMU OKOA MAISHA

Bango kwa ajili ya uhamasichaji wa uchangiaji damu.
Hapa ni kwa aajili ya kupimwa presha, ushauri na kutolewa damu.
Hatua ya kwanza kwa mchangia damu.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Hospitali za Apollo zatoa wito kwa watu binafsi kuchangia damu na kuokoa maisha

blood (2)

Dr-Prathap-C-Reddy (1)

Ikisherehekewa kila mwaka tarehe 14 Juni Siku ya kimataifa ya uchangiaji damu inahusika katika kuinua uelewa wa umuhimu wa kila mmoja kuwa mstari wa mbele kuokoa maisha na pia kutoa shukrani kwa wachangiaji damu wote duniani. Katika nchi zinazo kua kama Tanzania upatikanaji wa damu salama ni bidhaa adimu na hasa inachangiwa na ushiriki mdogo wa raia.

Hata hivyo pamoja na shughuli zote zinazofanyika katika siku hiyo ni muhimu sana kila mmoja kutambua umuhimu wa kuchangia damu kwa hiyari....

 

10 years ago

BBCSwahili

Wito kwa wakazi kujihami dhidi ya Boko:H

Emir wa Kaskazini mwa Nigeria,Muhammad Sanusi, ametoa wito kwa wakazi kujihami dhidi ya kundi la wanamgambo wa kiisilamu wa Boko Haram

 

11 years ago

GPL

DAMU SALAMA: MAAMBUKIZI YA HOMA YA INI YAZIDI UKIMWI KWA 5.6%

Ofisa Uhusiano Mpango wa Taifa wa Damu Salama,  Rajab Mwenda, akizungumza jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani).  Kulia ni ofisa kutoka Msalaba Mwekundu, Evelyne Kussaga.
Waandishi wa habari wakisikiliza maelezo kutoka kwa maofisa wa Damu Salama.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani