VIONGOZI WA TAASISI ZA VIJANA WAKUTANA KUJADILI MTAALA WA KUFUNDISHIA ‘UJASIRIAMALI USIOATHIRI MAZINGIRA’
Viongozi wa taasisi za vijana kutoka kwenye nchini sita wamekutana mjini Bagamoyo kujadili na kuandaa mtaala utakaotumika kuwafundisha vijana namna ya kufanya ujasiliamali usioathiri mazingira “Green Entrepreneurship”.Mkutano huo ambao ulitanguliwa na ziara ya mafunzo kwenye Shirika la Maendeleo ya Nishati Mbadala (TaTEDO), umewashirikisha viongozi wa taasisi za vijana kutoka Slovenia, Italia, Nepal, Ureno, Argentina na wenyeji Tanzania walipata fursa ya kujifunza namna ya uzalishaji wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLVIONGOZI WA TAASISI ZA VIJANA WAKUTANA KUJADILI MTAALA WA KUFUNDISHIA ‘UJASIRIAMALI USIOATHIRI MAZINGIRA’
10 years ago
MichuziVijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakutana Arusha kujadili Sera ya Vijana wa EAC
11 years ago
MichuziTAASISI YA NKWAMIRA KUTOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA 200
![](http://4.bp.blogspot.com/-Jt3wZftXGB0/U4Iqj-ML2LI/AAAAAAAA_Zs/dYCeLXPUnzk/s1600/1.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-OTy09JC_XMI/VFDpSW1SzsI/AAAAAAAGuE8/eP1dVxC5XSM/s72-c/UntitledO1.png)
Viongozi Watendaji wa Serikali wakutana kujadili mifumo ya ufuatiliaji na tathmini
“Napenda kuishukuru sana Taasisi ya Uongozi, na Mtendaji wake Mkuu, Prof. Joseph Semboja, kwa mchango wao mkubwa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-gijckUCkeZE/U_8EJYgAHhI/AAAAAAAGKMw/AdNDJ35v-MA/s72-c/unnamed%2B(22).jpg)
Viongozi wa vyama vya Siasa wakutana kujadili ushiriki wa makundi maalum katika uongozi
![](http://2.bp.blogspot.com/-gijckUCkeZE/U_8EJYgAHhI/AAAAAAAGKMw/AdNDJ35v-MA/s1600/unnamed%2B(22).jpg)
9 years ago
Dewji Blog03 Sep
Viongozi wa Dini kutoka nchi 17 wakutana jijini Dar kujadili mikakati ya kumaliza mambukizi mapya ya VVU/UKIMWI
Mshereheshaji wa mkutano huo Prof. Venant Nantulya akiwa katika hatua ya uendeshaji wa mkutano wa Viongozi wa ngazi ya juu wa dini katika kupambana na kuweka mikakati ya kuharakisha kumaliza maambukizi mapya ya VVU/UKIMWI.(Picha na Geofrey Adroph).
Mufti mkuu wa Zambia, Sheikh Assadullah Mwale akifungua kwa dua katika mkutano wa viongozi wa dini wa nchi za mashariki na kusini mwa Afrika uliofanyika jana jijini Dar.
Bi. Vanessa Anyoti kutoka YWCA Tanzania (kushoto) akizungumza kuhusiana...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Yw4ZmUQyjcM/U4hH0pt0pzI/AAAAAAAFmdE/IDKAszTrNIw/s72-c/unnamed+(16).jpg)
VIONGOZI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZINAZOUNDA JUKWAA LA HAKI JINAI WAKUTANA MJINI BAGAMOYO KWA MKUTANO WA SIKU MBILI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-Yw4ZmUQyjcM/U4hH0pt0pzI/AAAAAAAFmdE/IDKAszTrNIw/s1600/unnamed+(16).jpg)
9 years ago
VijimamboVIONGOZI WA KIDINI KUTOKA NCHI 17 ZA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM KUJADILI MIKAKATI YA KUMALIZAMA AMBUKIZI MAPYA YA VVU/UKIMWI
10 years ago
BBCSwahili12 Oct
Wakutana kujadili ujenzi wa Gaza