Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIONGOZI WA TAASISI ZA VIJANA WAKUTANA KUJADILI MTAALA WA KUFUNDISHIA ‘UJASIRIAMALI USIOATHIRI MAZINGIRA’‏

Viongozi wa taasisi za vijana kutoka kwenye nchini sita wamekutana mjini Bagamoyo kujadili na kuandaa mtaala utakaotumika kuwafundisha vijana namna ya kufanya ujasiliamali usioathiri mazingira “Green Entrepreneurship”.   Mkutano huo ambao ulitanguliwa na ziara ya mafunzo kwenye Shirika la…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

VIONGOZI WA TAASISI ZA VIJANA WAKUTANA KUJADILI MTAALA WA KUFUNDISHIA ‘UJASIRIAMALI USIOATHIRI MAZINGIRA’

Viongozi wa taasisi za vijana kutoka kwenye nchini sita wamekutana mjini Bagamoyo kujadili na kuandaa mtaala utakaotumika kuwafundisha vijana namna ya kufanya ujasiliamali usioathiri mazingira “Green Entrepreneurship”.Mkutano huo ambao ulitanguliwa na ziara ya mafunzo kwenye Shirika la Maendeleo ya Nishati  Mbadala (TaTEDO), umewashirikisha viongozi wa taasisi za vijana kutoka Slovenia, Italia, Nepal, Ureno, Argentina na wenyeji Tanzania walipata fursa ya kujifunza namna ya uzalishaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakutana Arusha kujadili Sera ya Vijana wa EAC

 Mbunge kutoka Kenya Mhe. David Ocheng akitoa hotuba wakati wa mkutano wa kwanza wa Vijana wa EAC kuhusu Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania.  Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Mhe. Jesca Eriyo (kushoto) akitoa mada wakati wa mkutano wa kwanza wa Vijana wa EAC kuhusu Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania. Kulia ni mwenyekiti wa Mkutano huo ambaye...

 

10 years ago

GPL

UN WAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI KUJADILI USHIRIKIANO‏ BAINA YAO‏

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkazi wa WFP nchini Bw.Richard Ragan (katikati) pamoja na Mwakilishi wa mkazi wa shirika la Afya Duniani (WHO) Dk Rufaro Chatora (kulia) kabla ya kuanza kwa mkutano wa kuboresha ushirikiano kati ya Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na wahariri wa...

 

11 years ago

Michuzi

TAASISI YA NKWAMIRA KUTOA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VIJANA 200

Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam, wakati wa akizindua mafunzao ya uajasiriamali kwa vijana 200 waliomaliza masomo ya kidato cha nne na sita yatakayofanywa chini ya taasisi isiyo ya kiserikali ya Nkwamira. (Na Mpiga Picha Wetu)  Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya Kiserika ya Nkwamira, Noreen Mazalla akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana 200 waliomaliza masomo ya kidato...

 

9 years ago

GPL

WADAU WAKUTANA KUJADILI RIPOTI YA MABADILIKO YA TABIANCHI‏

Mwenyekiti wa bodi ya Forum CC, Euster Kibona akifungua semina ya kujadili ripoti ya matumizi ya fedha za misaada hasa kwenye mabadiliko ya tabianchi iliyofanyika leo  jijini Dar   Mratibu wa Forum CC, Rebecca Muna akitoa maelezo kuhusu Forum CC kwenye semina na wadau wa mazingira waliofika kujadili changamoto za bajeti ya mabadiliko ya tabianchi ambayo imewashirikisha baadhi ya wadau wa mazingira...

 

10 years ago

Michuzi

Viongozi Watendaji wa Serikali wakutana kujadili mifumo ya ufuatiliaji na tathmini

Mkutano wa faragha wa Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa umeandaliwa na ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi ikishirikiana na UONGOZI Institute yenye lengo kuu ya viongozi hawa kujadiliana kuhusu mada kuu ya Mifumo ya Ufuatiliaji na Tathmin, pamoja na maswala mbali mbali za kitaifa. Mkutano huu wa siku mbili ulifanyika tarehe 27-28 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.
“Napenda kuishukuru sana Taasisi ya Uongozi, na Mtendaji wake Mkuu, Prof. Joseph Semboja, kwa mchango wao mkubwa...

 

10 years ago

GPL

WAKUTANA KUJADILI MKAKATI WA MRADI WA KIJIJI CHA DIGITALI‏

Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akiwasilisha mada ya mchanganuo wa ufumbi wa changamoto mbalimbali katika utekelezaji wa mradi wa kijiji cha kidigitali. Na Mwandishi wetu, Bagamoyo WADAU mbalimbali wa elimu, afya, Tehama na masuala ya utamaduni na uchumi ambao wamo katika mradi wa kijiji cha dijiti cha Ololosokwan kilichopo...

 

10 years ago

Michuzi

Viongozi wa vyama vya Siasa wakutana kujadili ushiriki wa makundi maalum katika uongozi

Tanzania Center for Democracy (TCD) iliwakutanisha viongozi wa vyama vya Siasa wanachama wa TCD ili kupokea taarifa ya Utafiti wa ushiriki wa makundi maalum katika nafasi za uongozi wa nchi, makundi yaliyojadiliwa ni Wanawake, Vijana na Walemavu ... Mapendekezo na maazimio ya mkutano huo yanafanyiwa kazi na TCD na baadae yatapelewa kwenye vyama kwa ajili ya kutumia Matokeo ya Utafiti huo ili kuongeza ushiriki wa makundi hayo katika uongozi ndani ya vyama na Taifa kwa ujumla!Kutoka kushoto ni...

 

11 years ago

GPL

WADAU WAKUTANA KUJADILI UTAYARI WA TANZANIA KUPOKEA NA KUTUMIA FEDHA ZA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI‏

 Meneja Mradi wa Mazingira UNDP, Helene Gichenje akifafanua jambo kwa wadau wa mazingira wakati wa mkutano wa kujadili ripoti ya awali juu utayari wa Tanzania katika kupokea na kutumia fedha za misaada za kupambana na mabadiliko ya tabianchi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani