Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa umma epukeni kukili Ahadi ya Uadilifu kama kasuku: Nsekela

 Majaji wa Mkoa wa Mbeya walioshiriki mafunzo ya maadili kwa viongozi wa umma wakimsikiliza, Jaji (Mst.) Harold Nsekela, Kamishna wa Maadili (Hayuko pichani) hivi karibuni katika ukumbi wa Benjamini Mkapa jijini Mbeya.
  Jaji (Mst.) Harold Nsekela akionyesha fomu ya Ahadii ya Uadilifu kwa
viongozi wa mkoa wa Mbeya (Hawapo pichani) walioshiriki mafunzo ya maadili kwa viongozi wa umma hivi karibuni katika ukumbi wa Benjamini Mkapa jijini Mbeya.Baadhi ya viongozi wa umma wa mkoa wa Mbeya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA HATI ZA AHADI YA UADILIFU KWA VIONGOZI, WATUMISHI WA UMMA NA SEKTA BINAFSI IKULU JIJINI DAR ES ES SALAAM LEO

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiikabidhi baada ya kuweka saini Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi,...

 

9 years ago

Habarileo

Watumishi wa umma kusaini ahadi ya uadilifu, uzalendo

VIONGOZI na watumishi wote wa umma nchini wanatakiwa kusaini hati mpya ya Ahadi ya Uadilifu ya Uzalendo, ikiwa ni dhamira ya kuwa na mwenendo wa kimaadili kwa maana ya kuunga mkono kampeni ya kitaifa ya maadili na mapambano dhidi ya rushwa.

 

9 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA UMMA KUSAINI KIAPO CHA AHADI NA UADILIFU

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kushoto) akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi na Watendaji Wakuu wa ofisi zilizo chini yake katika kikao cha kuhimiza uwajibikaji kilichofanyika ofisini kwake.
Na Lilian Lundo-MaelezoOFISI ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imeanza rasmi kutekeleza Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa Umma nchini ambao ulizinduliwa Agosti Mosi mwaka huu.
Akiongea na vyombo vya habari leo, Katibu Mkuu Hab Mkwizu amesema utekelezaji huo umeanza...

 

9 years ago

Michuzi

Ahadi ya Uadilifu itaimarisha maadili ya kibiashara, huduma kwa umma

Na Mwandishi Wetu 
“Suala la maadili si jipya, Watanzania watakumbuka tangu enzi la Azimio la Arusha misingi ya maadili imekuwa ikisisitizwa kama kijenzi muhimu cha ufanisi katika utoaji wa huduma kwa umma,” ni kauli ya Tixon Nzunda, Naibu Kamishna wa Maadili aliyoitoa siku ya uzinduzi wa Ahadi ya Uadilifu, Agosti 14, 2015, Ikulu Dar es Salaam. 
Kauli hii inasadifu ninachotaka kukieleza hapa katika makala haya na kwa hakika kumpa kongole Rais anayemaliza muda wake, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watumishi wa umma epukeni siasa kazini

MIONGONI mwa habari zinazogonga vichwa vya habari kwa takriban mwezi mmoja sasa, ni kuhusu makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutangaza nia ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika...

 

9 years ago

Mwananchi

Ahadi ya uadilifu ni mtazamo mpya wa BRN-2

Wiki iliyopita tuliangalia kuanzishwa kwa mkakati mpya wa kuimarisha maadili na mapambano dhidi ya rushwa kupitia Mpango wa Mabadiliko Makubwa Sasa (BRN).

 

9 years ago

Habarileo

Sekta binafsi sasa kusaini fomu ya ahadi ya uadilifu

WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) imetaka kampuni na taasisi binafsi kusaini fomu za ahadi ya uadilifu ili kupambana na rushwa, ufisadi na kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa taifa.

 

9 years ago

Habarileo

Kairuki ahimiza uadilifu kwa watumishi wa umma

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Angella Kairuki amesema kila mtumishi wa umma anatakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia taratibu na uadilifu bila kutoka nje ya mstari. Aliyasema hayo katika kikao kazi na wafanyakazi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani