Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATUMISHI WA UMMA KUSAINI KIAPO CHA AHADI NA UADILIFU

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kushoto) akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi na Watendaji Wakuu wa ofisi zilizo chini yake katika kikao cha kuhimiza uwajibikaji kilichofanyika ofisini kwake.
Na Lilian Lundo-MaelezoOFISI ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imeanza rasmi kutekeleza Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa Umma nchini ambao ulizinduliwa Agosti Mosi mwaka huu.
Akiongea na vyombo vya habari leo, Katibu Mkuu Hab Mkwizu amesema utekelezaji huo umeanza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Watumishi wa umma kusaini ahadi ya uadilifu, uzalendo

VIONGOZI na watumishi wote wa umma nchini wanatakiwa kusaini hati mpya ya Ahadi ya Uadilifu ya Uzalendo, ikiwa ni dhamira ya kuwa na mwenendo wa kimaadili kwa maana ya kuunga mkono kampeni ya kitaifa ya maadili na mapambano dhidi ya rushwa.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA HATI ZA AHADI YA UADILIFU KWA VIONGOZI, WATUMISHI WA UMMA NA SEKTA BINAFSI IKULU JIJINI DAR ES ES SALAAM LEO

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiikabidhi baada ya kuweka saini Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi,...

 

9 years ago

Habarileo

Sekta binafsi sasa kusaini fomu ya ahadi ya uadilifu

WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) imetaka kampuni na taasisi binafsi kusaini fomu za ahadi ya uadilifu ili kupambana na rushwa, ufisadi na kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa taifa.

 

9 years ago

Michuzi

Ahadi ya Uadilifu itaimarisha maadili ya kibiashara, huduma kwa umma

Na Mwandishi Wetu 
“Suala la maadili si jipya, Watanzania watakumbuka tangu enzi la Azimio la Arusha misingi ya maadili imekuwa ikisisitizwa kama kijenzi muhimu cha ufanisi katika utoaji wa huduma kwa umma,” ni kauli ya Tixon Nzunda, Naibu Kamishna wa Maadili aliyoitoa siku ya uzinduzi wa Ahadi ya Uadilifu, Agosti 14, 2015, Ikulu Dar es Salaam. 
Kauli hii inasadifu ninachotaka kukieleza hapa katika makala haya na kwa hakika kumpa kongole Rais anayemaliza muda wake, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete...

 

9 years ago

Habarileo

Kairuki ahimiza uadilifu kwa watumishi wa umma

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Angella Kairuki amesema kila mtumishi wa umma anatakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia taratibu na uadilifu bila kutoka nje ya mstari. Aliyasema hayo katika kikao kazi na wafanyakazi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma jana.

 

5 years ago

Michuzi

Viongozi wa umma epukeni kukili Ahadi ya Uadilifu kama kasuku: Nsekela

 Majaji wa Mkoa wa Mbeya walioshiriki mafunzo ya maadili kwa viongozi wa umma wakimsikiliza, Jaji (Mst.) Harold Nsekela, Kamishna wa Maadili (Hayuko pichani) hivi karibuni katika ukumbi wa Benjamini Mkapa jijini Mbeya.
  Jaji (Mst.) Harold Nsekela akionyesha fomu ya Ahadii ya Uadilifu kwa
viongozi wa mkoa wa Mbeya (Hawapo pichani) walioshiriki mafunzo ya maadili kwa viongozi wa umma hivi karibuni katika ukumbi wa Benjamini Mkapa jijini Mbeya.Baadhi ya viongozi wa umma wa mkoa wa Mbeya...

 

9 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA UMMA WA MKOA WA MBEYA NA NYANDA ZA JUU KUSINI WATAKIWA KUJIENDELEZA KUPITIA TAWI LA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA TAWI LA MBEYA


Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,HAB Mkwizu, akizungumza wakati wa mahafali ya 22 ya Chuo cha Utumishi Tanzania (TPSC) na ya kwanza kwa tawi la Mbeya hivi karibuni Jijini Mbeya.Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,HAB Mkwizu akimtunuku mmoja wa wahitimu wa mafahali  ya 22 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) na ya kwanza  kwa tawi la Mbeya.
Sehemu ya wahitimu wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Tawi la Mbeya wakiwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kiwango cha mshahara watumishi wa umma chapanda

WASTANI wa malipo ya mshahara kwa watumishi wa umma umeongezeka kutoka wastani wa mshahara wa sh. 74,183 mwaka 2001 hadi 562,119 mwaka 2014. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Waziri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani