Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi waliosaliti CCM Tabora wasimamishwa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Tabora Mjini, kimewasimamisha viongozi wanne wa Kata ya Chemchem kwa kukisaliti chama hicho katika mchakato uliopita wa kura za maoni hadi Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 Mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CCM Blog

CCM RORYA YAWASIMAMISHA VIONGOZI 16 WALIOSALITI CHAMA WAKATI WA UCHAGUZI MKUU

CCM wilaya ya Rorya imewasimamisha viongozi wake 16 wa ngazi mbali mbali wilayani humo kwa kubainika kuwa wakati wa uchguzi mkuu walisaidia UKAWA hali ambayo imesababisha CCM kupoteza kata nane.

Mwenyekiti wa CCM wa wilata hiyo mkoani Mara, Samwel Kiboye amesema Chama kimewapa siku 13 kutoa utetezi wao kabla ya kuvuliwa uanachama

 

10 years ago

Habarileo

Viongozi CCM Dodoma wasimamishwa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Dodoma Mjini kimewasimamisha uongozi viongozi wa CCM Kata ya Chang’ombe huku Diwani wa Kata hiyo Bakari Fundikira, akisubiri uamuzi ya vikao vya chama kwa hatua zaidi za kinidhamu.

 

11 years ago

Mtanzania

Chadema kuwatimua waliosaliti Ukawa

Dk. Wilbrod Slaa

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa

NA SHABANI MATUTU

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kuwa kazi ya kuwaadhibu wajumbe wa Bunge la Katiba waliokaidi makubaliano ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kwa kuingia katika Bunge Maalumu la Katiba wataadhibiwa na vikao maalumu vya chama.

Hayo aliyasema jijini Dar es Salaam jana, alipokuwa akizungumza na wanahabari.

Alisema yeyote aliyekiuka maazimio ya Ukawa na kuingia kwenye vikao vya Bunge...

 

10 years ago

Vijimambo

TAKUKURU YAMKINGIA KIFUA MKURUGENZI WA MANISPAA YA TABORA MBELE YA BARAZA LA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA

 Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora, Sipora Liana.Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora, Sipora Liana, akijieleza mbele ya Baraza la  Maadili kwa Viongozi wa Umma Dar es Salaam leo, alipofikishwa kwa tuhuma za kukiuka maadili ya viongozi wa umma alipokuwa Halmshauri ya Manispaa ya Mkuranga mkoani Pwani kabla ya kuhamishiwa Tabora.
Jaji Msumi (katikati), akiwa na wenzake akisikiliza shauri hilo.


Na Dotto Mwaibale
KAMANDA wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Wilaya ya Mkuranga, Damas...

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA CCM APUKUTISHA UPINZANI LINDI, 61 WAJUNGA NA CCM WAMO VIONGOZI

Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu.Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu.
Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mgombea mwenza CCM aupukutisha upinzani Lindi, 61 wajiunga CCM, wamo viongozi

Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu. Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu. Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa...

 

9 years ago

Vijimambo

VIONGOZI WOTE WA CCM WA KATA YA MKOMAZI NA WAPIGA KURA 1,400 WA CCM WAHAMIA CHADEMA


Viongozi wote wa CCM wa kata ya mkomazi na pamoja na wapiga kura 1,400 wa eneo hilo wilayani Korogwe wamejiunga na CHADEMA huku baadhi yao wakiamua kugombea nafasi mbali mbali za uongozi kwa tiketi ya chama hicho.

Wakizungumza katika mkutano wa kampeni ulifanyika katika kijiji cha mikocheni kilichopo kata ya mkomazi wilayani Korogwe baadhi ya viongozi hao pamoja na wengine wa CCM katika kata sita waliokatwa majina yao katika zoezi la kura za maoni kwa tiketi ya CCM wamesema  wameamua kujiunga...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Tabora kuisulubu CCM 2015

BAADHI ya wakazi mkoani hapa, wamesema kutokana na kuporwa viwanja na mashamba yao na Halmashauri ya Manispaa, watakihukumu chama tawala (CCM), kwenye uchaguzi mkuu mwakani kwa kuhamasishana na ndugu zao...

 

9 years ago

Mwananchi

Saba CCM wawania umeya Tabora

Madiwani saba wamejitokeza kuwania umeya wa Manispaa ya Tabora, huku watano wakiutaka unaibu meya ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani