Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIONGOZI WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA JOHN NYERERE


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu John  
Nyerere, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Msasani, jijini Dar es Salaam leo Mei 11, 2015. Marehemu John anatarajia kuzikwa keshokutwa nyumbani kwao Butiama. Picha na OMR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji wanafamilia baada ya kutoa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE NA MKEWE WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA BALOZI WA MALAWI FLOSSIE CHIDYAONGA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania Marehemu Flossy Gomile-Chidyaonga leo katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete…

 

5 years ago

BBCSwahili

Daniel Toroitich Arap Moi: Wakenya watoa heshima za mwisho kwa rais mstaafu

Mwili wa rais mstaafu wa Kenya Daniel Toroitich Arap Moi upo katika bunge ambapo Wakenya watatoa heshima zao za mwisho

 

5 years ago

BBCSwahili

Daniel Toroitich Arap Moi: Wakenya watoa heshima za mwisho kwa siku ya pili mfululizo

Milolongo mirefu yashuhudiwa katika majengo ya bunge Kenya kuutazama mwili wa Daniel Arap Moi

 

9 years ago

Dewji Blog

LOWASSA Aongoza wananchi kutoa heshima za mwisho za marehemu Dkt.Emmauel John Makaidi aliyekuwa Mwenyekiti chama cha NLD

msiba lows

Mh.Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho katika geneza liloweka mwili wa Shujaa wa Mabadiliko Dkt.Emmanuel Mkaidi  katika viwanja vya karimjee jijini Dar -es- Salaam leo Oct 20,2015.

regina

Mke wa Mh.Edward Lowassa Mma Regina akisalimi na mjane wa Dkt Mkaidi katika msiba wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Dkt. Emmanuel Makaidi katika viwanja vya karimjee Oct 20,2015.

msiba mbowe

Mh.Mmbowe Mwenyekiti wa Chadema wakisalimiana na katibu mkuu wa TFF  Selestine Mwesigwa mara baada ya kutoa heshma za mwisho wa pili...

 

11 years ago

BBCSwahili

ANC watoa heshima kwa mwili wa Mandela

Wanachama wa Chama cha African National Congress (ANC) wametoa heshima za mwisho kwenye mwili wa Hayati Nelson Mandela.

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA JAJI MAKAME

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimian na Mawaziri Wakuu, Wastaafu, Frederick Sumaye na Jaji Joseph Warioba (wapili kulia) kabla ya kuzungumza kwa niaba ya serikali na kutoa heshima za mwisho kwa Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, marehemu Jaji Lewis Makame kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam August 22, 2014. Kulia nI jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na jaji Mkuu Mohamed Chande Othman (kulia) na Mawaziri...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda aongoza waombolezaji kutoa heshima za mwisho kwa Jaji Makame

PG4A2667

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimian na Mawaziri Wakuu, Wastaafu, Frederick Sumaye na Jaji Joseph Warioba (wapili kulia)  kabla ya kuzungumza kwa niaba ya serikali na  kutoa heshima za mwisho kwa Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,  marehemu Jaji Lewis Makame kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam August 22, 2014. Kulia ni jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed  Chande Othman. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A2677

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na jaji Mkuu Mohamed...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani