Viongozi wetu watibiwe nchini
KWA muda mrefu sasa, baada ya kila muda mfupi, tumesikia kiongozi mmoja wa nchi ya Kiafrika baada ya mwengine, amekwenda nje ya nchi yake kuchunguzwa afya au kupata matibabu. Wengi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Miaka 50 ya Muungano, kwanini viongozi watibiwe nje ya nchi?
KWA muda mrefu kumekuwa na kilio cha wabunge na wananchi wa kawaida kupinga tabia na utamaduni wa tangu enzi wa kuwapeleka viongozi wetu kwenda kupata matibabu nje ya nchi badala...
9 years ago
Raia Mwema19 Aug
Viongozi wetu walipoihepa historia
LILIKUWA tukio la kihistorialakini viongozi wa Tanzania waliamua kulipiga pande.
Ahmed Rajab
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Viongozi wetu dhamiri zao zimekufa? — 2
KUPITIA gazeti hili katika toleo namba 3456 la Mei 21, 2014 niliandika makala iliyokuwa na maudhui yenye kudadisi utendaji wa viongozi wetu kana kwamba hawajifunzi chochote kutoka katika mataifa yaliyoendelea....
11 years ago
Tanzania Daima13 Aug
Jambo la hatari viongozi wetu wanachekelea!
Rais wangu Padri wetu wa roho alituambia, “Huwezi kuwa mjanja tangu asubuhi mpaka jioni. Kuna wakati utateleza tu”. Wenye hofu ya Mungu wanasema, “Mungu hamfichi mnafiki”. Ziko kelele kutoka kila...
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Viongozi wetu dhamiri zao zimekufa? — 3
NIANZE makala yangu kwa kuwapa pole vijana wasomi wahitimu wa vyuo vikuu zaidi ya 10,000 waliojitokeza Juni 13, 2014, pale Uwanja wa Taifa kwa ajili ya usahili wa awali kuomba...
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Viongozi wetu na kipimo cha maisha bora kwa kila Mtanzania
10 years ago
MichuziVIONGOZI NCHINI WATAKIWA KUSHIRIKI MKUTANO MABADILIKO YA TABIA YA NCHI NCHINI ETHIOPIA
VIONGOZI nchini wametakiwa kushiriki katika mkutano wa mabadiliko ya tabia ya nchi utakaofanyika Julai 13 na 16 Addis Ababa Ethiopia.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,Mratibu wa Mtandao wa Mabadiliko ya Tabia ya Nchi (CAN),Sixsbaty Mwanga amesema mkutano huo ni muhimu kutokana hali iliyopo sasa katika mabadiliko ya tabia ya nchi kwa kuongezeka ukame ,njaa pamoja na mafuriko, hivyo viongozi wanaweza kushawishi mkutano katika kuongeza...
11 years ago
Mwananchi19 Mar
Ujumbe wa Kwaresima 2014 na wanasiasa wetu nchini
10 years ago
BBCSwahili13 Jan
Waziri:''Mashoga watibiwe ili waponywe India''