Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vipaumbele vya Serikali vipungue Bajeti hii

Jana Waziri wa Fedha, Saada Mkuya aliwasilisha mwelekeo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16, ambapo miongoni mwa vipaumbele alivyovitaja ni huduma za jamii na nyongeza kwa wafanyakazi. Waziri Mkuya alisema katika bajeti ya mwaka huu Serikali imekusudia kupunguza utegemezi wa wafadhili kwa kuongeza makusanyo ya kodi kutoka vyanzo mbalimbali nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Waziri Wassira ataja vipaumbele vya Serikali

>Serikali imetaja vipaumbele vyake katika mpango wa maendeleo kwa mwaka wa fedha wa 2014/15 kuwa ni nishati, uchukuzi, kilimo, elimu, maji na utafutaji wa rasilimali fedha.

 

11 years ago

Michuzi

Wananchi Rukwa Waunga mkono Serikali Kutenga Bajeti Maalum Kukabiliana Vifo vya Uzazi

Daktari Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, John William Gurisha akitoa takwimu za afya ya Uzazi Mkoani Rukwa katika maadhimisho hayo. Daktari Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, John William Gurisha akitoa takwimu za afya ya Uzazi Mkoani Rukwa katika maadhimisho hayo.Washiriki anuai kutoka Mkoa wa Rukwa wakiwa katika picha za matukio. Washiriki anuai kutoka Mkoa wa Rukwa wakiwa katika picha za matukio.Baadhi ya washiriki wa sherehe za maadhimisho hayo ya siku ya Utepe Mweupe. Baadhi ya washiriki wa sherehe za maadhimisho hayo ya siku ya Utepe MweupeMkurugenzi Mkazi wa Shirika la Evidence for Action Tanzania, Craig John Ferla, kupitia kampeni ya Mama Ye akichangia damu.Zaidi ya chupa 970 za damu zilipatikana katika maadhimisho ya wiki ya utepe mweupe. Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Evidence for Action Tanzania, Craig John Ferla, kupitia kampeni ya Mama Ye akichangia damu.
Zaidi ya chupa 970 za damu zilipatikana katika maadhimisho ya wiki ya utepe mweupe.[/caption] ZAIDI ya...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yashauriwa kutenga bajeti ya kununua vifaa tiba ili Kupunguza Vifo Vya Watoto

 

SERIKALI imepewa changamoto ya kutenga fedha katika bajeti yake na kununua vifaa tiba pamoja na dawa zitakazosaidia kupunguza au kuondoa kabisa vifo vya watoto wachanga hapa nchini ambapo ripoti mbalimbali zinaonyesha mwaka jana pekee imefikia watoto elfu kumi na tatu.

Changamoto hiyo imetolewa na Taasisi ya Doris Mollel Foundation muda mfupi baada ya kukabidhi vifaa vitakavyosaidia kuokoa maisha ya watoto wachanga hususani watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa.

Ndani ya...

 

11 years ago

GPL

WANANCHI RUKWA WAUNGA MKONO SERIKALI KUTENGA BAJETI MAALUM KUKABILIANA NA VIFO VYA UZAZI‏

Daktari Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, John William Gurisha akitoa takwimu za afya ya uzazi Mkoani Rukwa katika maadhimisho hayo. Washiriki anuai kutoka Mkoa wa Rukwa wakiwa katika picha za matukio. Baadhi ya washiriki wa sherehe za maadhimisho hayo ya siku ya Utepe…

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Serikali inayokosa kuweka vipaumbele

The post Serikali inayokosa kuweka vipaumbele appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mwananchi

Vipaumbele vya kiuchumi kitaifa mwaka 2015

Kuongezeka kwa mbinu hizi ni bora kuliko kuendelea kutarajia “sera za msamaria mwema (donor - aid syndrome)” tulizo zizoea kwa kipindi kirefu .

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA YATAKA VIPAUMBELE VYA KITAIFA VIPEWE UMUHIMU

Mhe. Waziri Fatma Fereji kutoka Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akizungumza kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa Kikao Maalum cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa kilichofanyika Jumatatu ambapo wakuu wa nchi na wawakilishi wa serikali kutoka nchi 193 walikutana kutathimini Mpango wa Utekelezaji walioupitisha miaka 20 iliyopita huko Cairo, Misri kuhusu uboreshaji wa maisha ya watu na masuala yahusuyo Idadi ya Watu. Mhe. Fereji ni...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania Yasisitiza Vipaumbele Vya Kitaifa Vipewe Umuhumu

Mhe. Waziri Fatma Fereji kutoka Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akizungumza kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa Kikao Maalum cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa kilichofanyika Jumatatu ambapo wakuu wa nchi na wawakilishi wa serikali kutoka nchi 193 walikutana kutathimini Mpango wa Utekelezaji walioupitisha miaka 20 iliyopita huko Cairo, Misri kuhusu uboreshaji wa maisha ya watu na masuala yahusuyo Idadi ya Watu. Mhe. Fereji ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani