Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vipodozi vya Aloe Vera salama — Wizara

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii, imesema matumizi ya mmea wa aloe vera katika kutengeneza vipodozi ni salama. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu waziri wa Afya na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

'Aloe Vera ni salama kwa vipodozi'

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamiii imesema matumizi ya mmea wa Aloe Vera ni salama katika utengenezaji wa vipodozi.

 

11 years ago

IPPmedia

MPs want Costech to study aloe vera plant


MPs want Costech to study aloe vera plant
IPPmedia
Some members of parliament have asked the government to have the Commission for Science and Technology (Costech) conduct research on the aloe vera plant which is nowadays widely used by a cross section of people. Speaking in the National ...

 

10 years ago

Michuzi

FLAVIANA MATATA ATANGAZA VIPODOZI VYA KIKO

flavy Kwa mara nyengine tena Mwanamitindo afanyae kazi zake za uanamitindo nchini Marekani Flaviana Matata amepata deal ya kutangaza vipodozi vya Kiko Milano vya nchini ItalyFlaviana na wanamitindo wenzie wanatangaza kampeni iyo iliyopewa jina la Modern Tribe.

 

10 years ago

Mwananchi

TFDA yavifungia viwanda vitano vya vipodozi

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), imevifungia viwanda vitano vya kutengeneza vipodozi kwa muda wa miezi sita baada ya kubainika kutengeneza krimu, losheni na jeli zenye viambato sumu aina ya ‘steroid’ ambavyo vina madhara kwa binadamu.

 

10 years ago

Habarileo

Wizara: Kivuko cha Mv Magogoni ni salama

WIZARA ya Ujenzi imesisitiza kuwa kivuko cha Mv Magogoni jijini Dar es Salaam ni salama kwa kuvusha abiria na magari, kati ya upande wa Magogoni na Kigamboni.

 

10 years ago

Habarileo

TFDA yaombwa kufuatilia ubora wa vipodozi vya asili

WATUMIAJI wa vipodozi wameishauri Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) kufuatilia na kuwachukulia hatua watengenezaji wa vipodozi vya asili, wanaodanganya ubora wa bidhaa zao wakati zinaathiri ngozi za watumiaji.

 

10 years ago

Habarileo

NHIF, Wizara ya Afya katika kampeni kubwa ya damu salama

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Michael MhandoMFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kupitia Mpango wa Taifa wa Damu Salama, utaendesha shughuli ya upimaji wa afya na kukusanya damu salama katika mikoa sita.

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE KUPITIA VIPODOZI VYA LUV TOUCH MANJANO

  Mkurugenzi Mtendaji   8020 Fashion na  Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Shamim Mwasha Akitoa Mada kwenye Semina ya Kuwawezesha  Wanawake Kuwa Wajasiriamali kupitia Vipodoz Vya Luv Touch Manjano Iliyoandaliwa na Manjano Foundation Kwa Lengo la Kuwajengea Udhubutu Wanawake  Kufanya biashara pia namna ya Kujiwekea Akiba na Kutumiza Malengo yao.Washiriki wa Mafunzo hayo  wakisikiliza kwa Makini Mada Mbalimbali zilizokuwa Zikijadiliwa. Mafunzo ya Ujasiriamali kwa Mwanamke wa Kitanzania...

 

10 years ago

Michuzi

SEMINA YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE KWA KUTUMIA VIPODOZI VYA LUV TOUCH MANJANO YAENDELEA

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Shaer illusions mama Shekha Nasser  Akiwaeleza jambo washiriki wa Semina ya Ujasiriamlai ( hawapo pichani) Namna ya Kujitangaza kwa Kutumia njia mbalimbali , kuwahudumia  na kuwajali wateja wao. Semina hiyo iliyo chini ya Manjano Foundation ina lengo la kuwajengea uwezo wana wake kujikita kwenye biashara hasa kwa kutumia Vipodozi vya Luv Touch Manjano anayeshuhudia ni Mkufunzi wa Maswala ya Biashara  Ndugu Felix Maganjila. Baadhi ya washiriki wakisikiliza kwa makini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani