Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEMINA YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE KWA KUTUMIA VIPODOZI VYA LUV TOUCH MANJANO YAENDELEA

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Shaer illusions mama Shekha Nasser  Akiwaeleza jambo washiriki wa Semina ya Ujasiriamlai ( hawapo pichani) Namna ya Kujitangaza kwa Kutumia njia mbalimbali , kuwahudumia  na kuwajali wateja wao. Semina hiyo iliyo chini ya Manjano Foundation ina lengo la kuwajengea uwezo wana wake kujikita kwenye biashara hasa kwa kutumia Vipodozi vya Luv Touch Manjano anayeshuhudia ni Mkufunzi wa Maswala ya Biashara  Ndugu Felix Maganjila. Baadhi ya washiriki wakisikiliza kwa makini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TASWIRA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE KUPITIA VIPODOZI VYA LUV TOUCH MANJANO

  Mkurugenzi Mtendaji   8020 Fashion na  Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Shamim Mwasha Akitoa Mada kwenye Semina ya Kuwawezesha  Wanawake Kuwa Wajasiriamali kupitia Vipodoz Vya Luv Touch Manjano Iliyoandaliwa na Manjano Foundation Kwa Lengo la Kuwajengea Udhubutu Wanawake  Kufanya biashara pia namna ya Kujiwekea Akiba na Kutumiza Malengo yao.Washiriki wa Mafunzo hayo  wakisikiliza kwa Makini Mada Mbalimbali zilizokuwa Zikijadiliwa. Mafunzo ya Ujasiriamali kwa Mwanamke wa Kitanzania...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shamim Mwasha atoa mada namna kutumia mitandao ya kijamii kwa manufaa kwenye semina ya taasisi ya Manjano

Mkurugenzi Mtendaji 8020 Fashion na  Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Shamim Mwasha akitoa mada kwenye Semina ya kuwawezesha  wanawake kuwa wajasiriamali kupitia vipodozi vya Luv Touch Manjano iliyoandaliwa na Manjano Foundation kwa lengo la kuwajengea udhubutu wanawake  kufanya biashara pia namna ya kujiwekea akiba na kutumiza malengo yao. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions Ltd. Mkurugenzi wa Manjano Foundation, Mama Shekhar Nasser.

Washiriki wakimsikiliza...

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MTENDAJI WA 8020 FASHIONS SHAMIM MWASHA ATOA MADA NAMNA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KWA MANUFAA KWENYE SEMINA YATAASISI YA MANJANO

Mkurugenzi Mtendaji   8020 Fashion na  Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Shamim Mwasha Akitoa Mada kwenye Semina ya Kuwawezesha  Wanawake Kuwa Wajasiriamali kupitia Vipodoz Vya Luv Touch Manjano Iliyoandaliwa na Manjano Foundation Kwa Lengo la Kuwajengea Udhubutu Wanawake  Kufanya biashara pia namna ya Kujiwekea Akiba na Kutumiza Malengo yao.Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd. Mkurugenzi wa Manjano Foundation Mama Shekhar NasserWashiriki wakimsikiliza Kwa...

 

9 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE KUPITIA VIPODOZI WAHITIMU MAFUNZO

  Washiriki wa Manjano Dream-makers katika taasisi ya Manjano Foundation wamehitimu mitihani yao ya mwisho ya jinsi ya kupaka vipodozi (makeup). Kuanzia sasa, washiriki hao wanawake na wasichana 30 wanaianza safari yao ya mwaka mzima katika kujikita na ujasiriamali. Taasisi ya Manjano Foundation, ilianzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa programu ambayo itamuinua mwanamke wa Kitanzania kwa kumwezesha kujiongezea kipato na ambayo itakuwa ni chachu ya kubadili yale yote yaliyoyazunguka maisha...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA LUVTOUCH MANJANO ATEMBELEA WASHIRIKI WA SEMINA YA UJASIRIAMALI

   Balozi wa Luv touch Manjano Irene Pul Katika Picha ya Pamoja na washiriki wa Semina ya ujasiriamlai ya wanawake kwa kupitia Vipodozi vya Luv Touch manjano iliyochini ya Manjano foundation.

Lengo la Mradi huo ni kuona kwamba wanawake hawa wanajisimamia na kujikita vizuri kwenye Biashara ya Vipodozi na kujua Mbinu Mbalimbali za Biashara zao kwa lengo la kumuongezea ajira mwanamama na kuondoa dhana za ukosefu wa ajira kuwa chungu ya yeye kujiwezesha katika kujikimu mahitaji yake ya msingi,...

 

11 years ago

GPL

SEMINA YA KIMATAIFA YA UJASIRIAMALI YAENDELEA DAR LIVE

Kisamvu kilichotengenezwa kitaalam na wajasiriamali hao ambacho kina uwezo wa kukaa siku tano bila kuharibika.
Wataalam wa mafunzo wakionesha mashine ya kutotoa vifaranga vya kuku kwa wajasiriamali (hawapo pichani).…

 

10 years ago

Tanzania Daima

UGLOW yahamasisha wanawake kutumia vipodozi sahihi

WANAWAKE nchini wameshauriwa kuhudhuria maonyesha ya vipodozi ili kuhakikisha wanaepukana na matumizi ya vipodozi bandia vinavyochangia kuwapa magonjwa mbalimbali yakiwemo ya kansa ya ngozi. Akizungumza na waandishi wa habari jana...

 

5 years ago

BBCSwahili

Beth apata umaarufu kwa kutumia vipodozi kujichora

Beth Gallagher mwenye umri wa miaka 25 amejizolea umaarufu mkubwa mitandaoni kwa kutumia vipodozi kujifananisha na watu mashuhuri.

 

9 years ago

GPL

SHIGONGO ATOA SEMINA YA UJASIRIAMALI KWA WANACHAMA WA TCRA SACCOS

Eric Shigongo akifundisha somo la Sheria 10 zilizothibitishwa za jinsi ya kutoka kwenye umasikini hadi mafanikio kwa wanachama wa TCRA Saccos. Baadhi ya wafanyakazi na wanachama wa TCRA Saccos wakimsikiliza kwa makini somo la…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani