‘Vita ya ebola ilihujumiwa’
RAIS Jakaya Kikwete na wanajopo wenzake mashuhuri duniani ambao wanatafuta jinsi dunia inavyoweza kukabiliana vizuri zaidi na magonjwa ya milipuko katika siku zijazo, juzi wameelezwa kulikuwa na ukosefu wa elimu kwa wananchi, ujinga wa baadhi ya wananchi na hata kuingizwa kwa siasa za upinzani katika jambo hilo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili03 Jul
Vita dhidi ya homa ya Ebola
10 years ago
BBCSwahili02 Sep
MSF:Vita dhidi ya Ebola vinashindikana
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Tuepuke siasa katika vita dhidi ya ebola
10 years ago
BBCSwahili10 Sep
Kenya yasaidia katika vita dhidi ya Ebola
10 years ago
Dewji Blog05 Dec
Jitihada elekezi siri ya ushindi wa vita dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi katika kipindi cha mlipuko wa ebola
Tarehe 1 Desemba kila mwaka watu wote duniani huazimisha Siku ya Ukimwi Duniani, siku ambayo ilianzishwa mnamo mwaka 1987 na ambayo hubeba maudhui mbali mbali ikiwa kwa mwaka huu ikibeba maudhui ya Focus, Partner, Achieve: An AIDS-free Generation yaani Elekeza, Jiunge na Pata: Kizazi kisicho na Ukimwi. Ujumbe unaokumbusha jamii kuwa ugonjwa wa Ukimwi kuwa bado ni tatizo linalohitaji jitihada endelevu na elekezi hata katika wakati wa milipuko ya magonjwa mengine katika jamii. Siku ambayo...
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Vita dhidi ya ebola ni mapambano dhidi ya adui asiyeonekana
10 years ago
Bongo Movies19 May
Bomu Jipya: Hii ni Vita ya Utamaduni, Ni Vita ya Kutawaliwa Kiakili
AWALI kuna wale waliolalamikia kuhusu maadili hasa pale filamu za kitanzania zilipozuiliwa na watayarishaji wetu wakashindwa kujenga hoja kwa kuuliza kwanini sinema zao zikitamka tu neno la Shoga wanaambiwa watoe lakini za kutoka nje Mashoga wanaonekana, hapa kuna maswali mengi sana.
1. Kwanini balozi wa Korea kwa niaba ya nchi yake alikuwa anatoa tamthilia za kikorea zionyeshwe ITV bure?
2. Kwanini serikali ya China inaingia gharama za kutafsiri tamthilia zao kwa kiswahili na kuzitoa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-U6YfGmXUcTg/VZVKTbVvkfI/AAAAAAAAw8A/UhYrsWwreYU/s72-c/DSC_0241-FILEminimizer.jpg)
Makongoro: Lowassa sikumuona Vita ya Kagera, Labda alikuja baada ya vita kuburudisha wanajeshi
![](http://2.bp.blogspot.com/-U6YfGmXUcTg/VZVKTbVvkfI/AAAAAAAAw8A/UhYrsWwreYU/s640/DSC_0241-FILEminimizer.jpg)
CHARLES Makongoro Nyerere (CMN) ni miongoni mwa wanachama wa CCM waliotangaza nia ya kutaka kuchaguliwa kuwania urais kupitia chama hicho mwaka huu. Raia Mwema lilifanya naye mahojiano wiki hii nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Endelea
-RAIA MWEMA: Kwanini wana CCM wanatakiwa wakuchague wewe uwe mgombea wao na si mwingine miongoni mwa wenzako 41 waliojitokeza kuwania nafasi hiyo?MAKONGORO: Mimi si...
5 years ago
BBCSwahili29 Feb
Vita vya Afghan: Marekani na Taliban watia saini kumaliza vita vya miezi 18