Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vita ya ujangili inahitaji ujasiri si bunduki na magari tu

Sina budi kumpongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kwa jitihada zake za kukabiliana na ujangili nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vita ya ujangili yaungwa mkono,Kikosi cha kupambana na Ujangili chapata zana za kisasa

Kikosi cha kupambana na ujangili nchini kimepata vitendea kazi kutoka kwa wadau wa sekta ya utalii vitakavyowezesha kukabiliana na matukio ya ujangili yaliyoshika kasi nchini na kuhatarisha kutoweka baadhi ya wanyama.
Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni magari matano aina ya Land Cruser yenye thamani ya Sh 750 milioni,bunduki za kivita 50 aina ya Ak 47 na risasi 10,000 na Magazini 20 ambazo thamani haikutajwa kwa kwasababu za kiusalama.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu baada ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Bunduki pekee hazitamaliza tatizo la ujangili

Tunaipongeza Serikali kwa kununua bunduki 500 aina ya AK47 ili zitumike katika vita dhidi ya majangili inayotarajiwa kuanza tena muda wowote kuanzia sasa katika hifadhi na mapori ya akiba hapa nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yanunua bunduki 500 za AK47 kukabili ujangili

>Siku moja baada ya Tanzania kutajwa na Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol) kuwa kinara wa biashara ya meno ya tembo Afrika Mashariki, Serikali imelipia kodi na kukabidhiwa bunduki 500 aina ya AK47 ili kukabiliana na ujangili katika hifadhi na mapori ya akiba nchini.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

VITA YA UJANGILI


Serikali yapewa  ndege ya kisasa

NA KHADIJA MUSSA
WADAU wa utalii na uhifadhi ndani na nje ya nchi wameendelea kuunga mkono jitihada za serikali katika mapambano dhidi ya ujangili, kwenye hifadhi za taifa na mapori ya akiba.

Tangu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kutangaza vita dhidi ya ujangili na kusisitiza kuwa lazima serikali ishinde, matukio ya mauaji ya tembo na faru yamepungua kwa kiasi kikubwa.
Hiyo inatokana na kuimarishwa kwa ulinzi kwenye hifadhi za taifa pamoja na...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Ujangili ni vita ya pamoja’

Jumuiya ya kimataifa imepitisha Azimio la Arusha lenye lengo la kukabiliana na ujangili na kuendeleza wanyama.

 

11 years ago

Michuzi

JK APOKEA MSAADA WA MAGARI 11 YA KUKABILIANA NA UJANGILI LEO


Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake kushukuru msaada magari 11 ulioyatolewa na Mkurugenzi wa Frankfurt Zoological Society (FZS) kanda ya Afrika, Robert Muir kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ujangili katika hifadhi za Serengeti, Selous na Maswa. Rais Jakaya Kikwete wa pili kushoto akipata maelezo kuhusu msaada wa magari 11 kutoka kwa Mkurugenzi wa Frankfurt Zoological Society (FZS) kanda ya Afrika, Robert Muir (katikati)na kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini Hans Koeppel katika...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Vita ya ujangili inataka dhamira’

>Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema inahitajika dhamira ya kweli kutoka kwa wadau wote katika kutekeleza Azimio la Arusha la kukabiliana na ujangili pamoja na kuendeleza hifadhi za wanyama katika nchi za Afrika Mashariki na Kusini mwa Ikweta.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kikwete:Vita dhidi ya ujangili

Rais Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano wa kimataifa kuhusu wanyamaporti mjini London

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wananchi washiriki vita ya ujangili’

KAMATI Tendaji ya Umoja wa Wabunge wa Uhifadhi na Matumizi Endelevu ya Wanyamapori imetaka kuwepo kwa ushirikishwaji wa kutosha wa wananchi waishio karibu na hifadhi ili kudhibiti ujangili. Wakizungumza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani