Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VITA YA UMEME

Waziri Mkuu Mizengo Pinda. WAKATI Watanzania wakilia ugumu wa maisha pamoja na mambo mengine, kupanda kwa gharama za nishati ya umeme, imethibitishwa kuwa kuna wafanyabiashara wanapambana bei hiyo isishuke. Wafanyabiashara hao; wenye mitambo ya kufua umeme wa mafuta na waagizaji wa mafuta, wananufaika kwa kunyonya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), ambalo linalazimika kuwapa karibu Sh bilioni nne kila siku, ili lipate umeme...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Bomu Jipya: Hii ni Vita ya Utamaduni, Ni Vita ya Kutawaliwa Kiakili

AWALI kuna wale waliolalamikia kuhusu maadili hasa pale filamu za kitanzania zilipozuiliwa na watayarishaji wetu wakashindwa kujenga hoja kwa kuuliza kwanini sinema zao zikitamka tu neno la Shoga wanaambiwa watoe lakini za kutoka nje Mashoga wanaonekana, hapa kuna maswali mengi sana.

1. Kwanini balozi wa Korea kwa niaba ya nchi yake alikuwa anatoa tamthilia za kikorea zionyeshwe ITV bure?
2. Kwanini serikali ya China inaingia gharama za kutafsiri tamthilia zao kwa kiswahili na kuzitoa...

 

10 years ago

Vijimambo

Makongoro: Lowassa sikumuona Vita ya Kagera, Labda alikuja baada ya vita kuburudisha wanajeshi

MAKONGORO: Tupimwe afya kwani tunataka kwenda kuchezea Real Madrid au Manchester United? 
CHARLES Makongoro Nyerere (CMN) ni miongoni mwa wanachama wa CCM waliotangaza nia ya kutaka kuchaguliwa kuwania urais kupitia chama hicho mwaka huu. Raia Mwema lilifanya naye mahojiano wiki hii nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Endelea
-RAIA MWEMA: Kwanini wana CCM wanatakiwa wakuchague wewe uwe mgombea wao na si mwingine miongoni mwa wenzako 41 waliojitokeza kuwania nafasi hiyo?MAKONGORO: Mimi si...

 

11 years ago

Michuzi

Shoti ya Umeme yasababisha Kukosekana Umeme Baadhi ya Maeneo Zanzibar leo

                     Hii ndio breaker liyoungua na kusabibisha maeneo ya mjini Ubguja kukosa umeme leo


 Mafundi kutoka ZECO wakiwa katika harakati za kutengeneza panel iliyoleta hitilafu za umeme na kupelekea maeneo yote ya mji wa Unguja kukosa umeme


Baada ya kukamilika kwa matengenezo


Kuamkia alfajiri ya leo ya tarehe 17/06/2014 maeneo yate ya mji wa Unguja na maeneo jirani ya mji wa Unguja yalikumbwa na ukosefu wa umeme uliotokea kuanzia majira ya saa 11 asubuhi hadi saa 7 mchana...

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA UMEME TANESCO LAIBIWA NYAYA ZA UMEME KITUO CHA KIPAWA





Mhandisi  Emmanuel Manirabona akiwaeleza  wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini katika kituo cha kusafirishia na kupelekea umeme kilichopo kipawa jijini Dar es Salaam wakatialipowatembeza wandishi wa  habari kuangalia wizi uliotokea wa nyaya leo

Afisa mwandamizi makao makuu ya Tanesco Leni Kiobya  akiwaeleza wandishi wa habari kuhusu wizi wa nyaya za umeme zilizokuwa zinafungwa chini




Akiwaonyeshea wandishiwa habari moja ya nyaya  ambazo zilizokatwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

Mitambo ya kuzalisha umeme wa gesi yawashwa., Inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo

Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema kazi ya kuunganisha mabomba ya gesi kutoka Kinyelezi I kwenda katika mitambo ya Ubungo I na II, jijini Dar es Salaam imekamilika.

Aidha, kazi ya kuwasha mashine 10 za mtambo wa Ubungo I imekamilika na inategemewa tatizo la kukatika umeme litafikia tamati kuanzia leo.

Akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin, alisema kazi ya kuwasha mitambo hiyo inahitaji umakini mkubwa kutokana na mfumo unaotumika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Vita vya Afghan: Marekani na Taliban watia saini kumaliza vita vya miezi 18

Marekani na washirika wake wa Nato wamekubaiana kuondoa vikosu vyote ikiwa Talibanitatimiza ahadi yake

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani