Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Vituo vyote vya treni vimechoka’

NAIBU waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba amekiri kuwa maeneo yote ya vituo vya treni nchini hayako katika hali nzuri. Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akijibu swali la nyongeza la...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MAENEO YANAYOZUNGUKA VITUO VYA TRENI YA MWENDOKASI KUWEKEWA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI

.  Timu ya Maafisa Mipango Miji kutoka Wizara ya Ardhi, wakijadiliana na wahandisi wa ujenzi reli ya kissasa (SGR) jinsi gani wanaweza kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania kuendeleza maeneo yanayozunguka vituo kwa kuzingatia shughuli na mahitaji ya vituo hivyo vya treni ili kuepuka ujenzi holela katika maeneo yote yatakayokuwa na vituo vikubwa na vya kati vya treni ya mwendo kasi.
  Mhandisi Hamza Said (mwenye kofia) kutoka Shirika la Reli Tanzania akiwaelezea wataalam wa Mipango Miji...

 

10 years ago

Michuzi

GAPCO YAZINDUA KADI MAALUM ZA SAFARI ZITAKAZOWEZESHA DEREVA KUPATA UNAFUU WA BEI YA MAFUTA KATIKA VITUO VYOTE, TANZANIA

 Rais wa Reliance Industries Limited ya Mumbai, Ashok Dhar akipongezana na Diwani wa Kata ya Kariakoo, Abdulkarim Masamaki (wa tatu kushoto) baada ya kuzindua kadi maalum za Safari za kampuni hiyo zitakazomwezesha dereva kupata huduma ya mafuta kutoka vituo vyote vya Gapco nchini kwa unafuu. Wengine (kustoka kushoto) ni Rais wa kampuni ya RIL ya Mumbai, Ashok Dhar, Diwani wa Kata ya Gerezani, Salum Bisarara, Ofisa Mtendaji Mkuu wa kundi la makampuni ya Gapco, Dk. Macharia Irungu na...

 

10 years ago

GPL

GAPCO YAZINDUA KADI MAALUM ZA SAFARI ZITAKAZOWEZESHA DEREVA KUPATA UNAFUU WA BEI YA MAFUTA KATIKA VITUO VYOTE, TANZANIA‏

 Rais wa Reliance Industries Limited ya Mumbai, Ashok Dhar akipongezana na Diwani wa Kata ya Kariakoo, Abdulkarim Masamaki (wa tatu kushoto) baada ya kuzindua kadi maalum za Safari za kampuni hiyo zitakazomwezesha dereva kupata huduma ya mafuta kutoka vituo vyote vya Gapco nchini kwa unafuu. Wengine (kustoka kushoto) ni Rais wa kampuni ya RIL ya Mumbai, Ashok Dhar, Diwani wa Kata ya Gerezani, Salum Bisarara, Ofisa Mtendaji...

 

9 years ago

Habarileo

Vyuo vyote vya ufundi nchini kuhakikiwa

KATIBU Mkuu wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), Dk Prime Nkwela na watendaji wa baraza hilo, wamepewa siku 30 kukagua vyuo vyote nchini, kujiridhisha na usajili na utoaji wa elimu katika vyuo hivyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Vyama vyote vya siasa ni sawa- Jaji Mutungi

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema, ofisi yake haina chama kikubwa na kidogo na kwamba inahudumia vyama vyote vilivyosajiliwa kwa hadhi inayofanana.

 

10 years ago

Michuzi

ABIRIA WA TRENI MKOANI DODOMA KUTUMIKA KITUO KIDOGO CHA KATOSHO BADALA YA STESHENI YA TRENI YA KIGOMA KWA TRENI ZA ABIRIA KUANZIA FEBRUARI 18, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitka kutangaza kuwa treni za abiria za kwenda Kigoma hazitofika katika stesheni ya Kigoma badala yake zitatumia kituo kidogo cha Katosho.
Kwa mujibu wa wa taarifa ya Uongozi wa TRL lilitolewa Februari 16, 2015 uamuzi wa treni  kutofika katika stesheni ya Kigoma  unatokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini  Kigoma na hivyo kuzoa mchanga ambao umefunika tuta la reli katika eneo la  stesheni ya Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo abiria wote...

 

11 years ago

Mwananchi

ACT: Sera yetu itavifunika vyama vyote vya upinzani

Chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kimejinadi kwa kutangaza sera zake, kuwa ni pamoja na uadilifu katika maisha binafsi na kwenye jamii kwa viongozi na wanachama kwa jumla.

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM Singida yazoa viti vyote vya Halmashauri ya Ikungi na Mkalama

IMG_1029

Katibu wa CCM mkoa wa Singida, Mary Maziku, akitoa tamko la kukanusha mbele ya waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) taarifa zinazoenezwa kwamba CCM mkoa ilikata jina la mgombea nafasi ya Mwenyekiti halmashauri ya wilaya ya Mkalama, kutokana na ulemavu wake wa miguu. Kulia ni Katibu msaidizi CCM mkoa wa Singida, Adamu.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Singida, kimekanusha vikali uzushi unaoenezwa kwamba kilikata jina la mgombea nafasi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani