Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vodacom Foundation yawaasa wanafunzi

WANAFUNZI wa shule za Sekondari wametakiwa kusoma kwa bidii na kutumia vizuri fursa ya kutafuta elimu na wasiogope masomo ya sayansi maana kwa sasa mambo yote  yamerahisishwa kupitia teknolojia ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

WANAFUNZI SEKONDARI YA MAKUMBUSHO WAENDELEA KUNUFAIKA NA MRADI WA SMART SCHOOL CHINI YA VODACOM FOUNDATION‏

Mwalimu wa somo la Kompyuta mpakato wa Shule ya Sekondari ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, Josiah Kimaro akimfundisha somo la Kompyuta Ibrahim Athmani ambaye ni wanafunzi wa kidato cha Nne wa shule hiyo,Walipotembelewa na maofisa wa Taasisi ya Vodacom Foundation kujionea maendeleo ya mradi wa Smart school unaofadhiliwa na taasisi hiyo na kunaendeshwa na Learning In Sync kwa ajili ya wanafunzi wa shule za sekondari kupata...

 

5 years ago

Michuzi

Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation yasaidia wanafunzi Ukerewe, yatoa msaada wa vitanda, magodoro na vifaa vya kukabiliana na majanga


 Mkurugenzi wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza Ester Chaula (Kulia) na Katibu Tawala wa wilaya hiyo,  Focus Majumbi (aliyevaa miwani) wakipokea msaada kutoka kwa Meneja mauzo mwandamizi wa Vodacom kanda ya Ziwa Victoria Chale (mwenye T-shirt nyekundu) na Meneja Miradi wa taasisi ya Sukos Kova Foundation Rahma Kova.wakati wa hafla ya kukabidhi...

 

11 years ago

Michuzi

VODACOM FOUNDATION YAFUTURISHA JIJINI MBEYA

Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislam wa jijini Mbeya wakiwa katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wa jijini humo kwa lengo la kuwaunga mkono katika kutekeleza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. SHEIKH wa Wilaya ya Mbeya, Sheikh Bakari Mketo (Kulia) akimkabidhi zawadi ya katoni ya sukari mmoja wa wanafunzi wa Madrasa za jijini Mbeya (katikati) wakati wa hafla ya Futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation kwa Waumini wa Dini ya Kiislam...

 

11 years ago

Michuzi

VODACOM FOUNDATION YAFUTURISHA WATOTO YATIMA ZANZIBAR

Mgeni rasmi kwenye hafla ya kufuturisha watoto waishio katika mazingira magumu mjini Zanzibar,Kadhi Mkuu wa Zanzibar,akiwasili kwenye hafla hiyo iliyoandaliwa na Vodacom Foundation na kupokewa na Meneja wa Vodacom tawi la Zanzibar, Mohamed Mansoor. Baadhi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu mjini Zanzibar wakimsikiliza Kadhi Mkuu Zanzibar Khamis Haj alipokuwa anazungumza nao wakati wa hafla ya kufuturisha watoto hao iliyoandaliwa na Vodacom Foundation jana. Kadhi Mkuu wa Zanzibar...

 

11 years ago

GPL

VODACOM FOUNDATION YAFUTURISHA WATOTO YATIMA ZANZIBAR‏

Mgeni rasmi kwenye hafla ya kufuturisha  watoto waishio katika mazingira magumu mjini Zanzibar,Kadhi Mkuu wa Zanzibar,akiwasili kwenye hafla hiyo iliyoandaliwa na Vodacom Foundation na kupokewa na Meneja wa Vodacom tawi la Zanzibar, Mohamed Mansoor. Viongozi wa dini mjini Zanzibar pamoja  na wa Vodacom Tanzania wakiongozwa na mgeni rasmi Kadhi wa Zanzibar Khamis Haj wakipata futari katika  hafla hiyo iliyoandaliwa na...

 

9 years ago

Michuzi

Vodacom Foundation yatoa msaada wa vifaa vya elimu Kisarawe

Wanafunzi wa shule ya msingi Chazinge A iliyopo wilayani Kisarawe mkoani Pwani wamenufaika kwa kupatiwa msaada wa vifaa vya elimu kutoka taasisi ya kusaidia masuala ya jamii ya Vodacom Foundation.Vifaa hivyo ambavyo vimetolewa jana ni madaftari ya kuandikia na mikebe yenye vifaa vya kusomea somo la hisabati (Mathematics set)pamoja na kalamu.
Akiongea wakati wa kukabidhi msaada wa vifaa hivyo kwa wanafunzi jana,Kaimu Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia...

 

9 years ago

Michuzi

MAPAMBANO YA FISTULA YANAENDELEA KWA USHIRIKIANO WA HOSPITALI YA CCBRT NA VODACOM FOUNDATION

Mkurugenzi wa walemavu katika Hospitali ya CCBRT,Brenda Msangi(kulia)akielezea ubora wa simu aina ya ZTE kwa waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa simu 150 zenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 6/=zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation kwa ajili ya kurahisisha huduma za mawasiliano kwa mabalozi wa kampeni ya kutokomeza Fistula nchini.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mkuu wa Vodacom Foundation,Renatus Rwehikiza,Grace Lyon na Chandra Almony. Mkuu wa Vodacom...

 

10 years ago

GPL

VODACOM FOUNDATION YAUPA JEKI $ 166,000 MRADI WA HAKUNA WASICHOWEZA

Wasichana kutoka kata ya Ufukoni mkoani Mtwara wakisubiri kupatiwa elimu ya Afya na uzazi na kugawiwa pedi kupitia mradi wa Hakuna Wasichoweza unaoendeshwa na taasisi ya T-Marc chini ya ufadhili wa USAID na Vodacom Foundation.Vodacom Foundation imeongeza $166,000 kwa ajili ya kuuongezea nguvu mradi huo unaowalenga wasichana wanafunzi waliopo mashuleni na wale wasio mashuleni na kwa kuanzia zoezi hili linafanyika katika mkoa...

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom Foundation yakabidhi msaada wa Umeme Jua kwa wahanga wa mvua Kahama

Mkuu wa Vodacom Tanzania,Kanda ya Tanganyika George Venanty(kushoto) na Meneja Masoko wa Kampuni ya Associate AEG Winnie Nyamubi(kulia) wakielezea matumizi ya Umeme Jua”Solar Power” wakati wakukabidhi msaada huo uliotolewa na Vodacom Foundation kwa wahanga wa maafa ya mvua kwenye kijiji cha mwakata wilayani Kahama Mkoani Shinyanga mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Ally Nassoro Rufunga(kulia) akipokea msaada wa Umeme Jua ”Solar Power”kwa niaba ya wahanga wa maafa ya mvua uliotolewa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani