Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VODACOM NAYO YAIBUKA NA BONGO ICE BUCKECT CHALLENGE!

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza akishiriki #BongoIce challenge kwa lengo la kuchangisha fedha kugharamia matibabu ya ugonjwa wa Fistula ambao umekuwa tishio kwa kinamama. 

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vodacom Tanzania yaja na Fistula Ice Bucket Challenge

Kampuni ya Vodacom Tanzania imekuja na Fistula Ice Bucket Challenge ‘#BongoIce’ yenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya matibabu ya akina mama wajawazito wenye ugonjwa wa Fistula. Hii ni kufuatia kampeni inayoendelea mitandaoni ikijulikana kama #ALSIceBucketChallenge ambapo Vodacom Tanzania kwa kutambua kuwa kuna wanawake wengi Zaidi ya 30,000 wanaogua ugonjwa huu hapa nchini imeanzisha kampeni inayoitwa #BongoIce.
Mkurugenzi wa Vodacom, Rene Meza amekuwa wa kwanza kushiriki kampeni...

 

10 years ago

TheCitizen

A CHAT FROM LONDON: Ice bucket and ‘Bongo Ice’ plus a few other things

>Tings. Not things. Spoken language is different from the written one; we were always told in school. Don’t speak slang in class; do not swear; never start a sentence with “and”. Add comma to “however”. And so on. Africa is divided into so many major and mini languages. That is why we freak out and become very emotional whenever we are in language conferences.

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Exim ashiriki Fistula Ice Bucket Challenge

 Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Exim Tanzania, Bw. Yogesh Manek akishiriki zoezi la Ice Bucket Challenge kuunga mkono kampeni dhidi ya ugonjwa wa fistula nchini Tanzania, baada ya kuteuliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania Bw, Sunil Colaso. Tukio hilo lilifanyika katika ofisi za makao makuu ya benki hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Exim Tanzania, Bw. Yogesh Manek akizungumza na waandishi kabla kushiriki zoezi la Ice Bucket Challenge kuunga...

 

10 years ago

Bongo5

Ice Bucket Challenge: Huyu ni msanii wa Kenya aliyetupa karata yake (Video)

Kampeni ya Ice Bucket Challenge, ambayo wakati mwingine huitwa ALS Ice Bucket Challenge, huhusisha kujimwagia maji yenye barafu ili kukuza uelewa kuhusiana na ugonjwa uitwao ‘amyotrophic lateral sclerosis’ (ALS) na kusisitiza umuhimu wa kuchangia fedha kwaajili ya utafiti. Sheikha Matukio hayo yamekuwa maarufu sana kwenye mitandao ya kijamii siku za hivi karibuni ambapo mastaa kibao […]

 

10 years ago

GPL

MKURUGENZI MKUU WA AIRTEL TANZANIA SUNIL COLASO AKISHIRIKI FISTULA ICE BUCKET CHALLENGE

Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania Sunil Colaso akishiriki #BongoIce Challenge  kwa lengo la kuchangisha fedha kugharamia matibabu ya ugonjwa wa Fistula.

 

9 years ago

Mtanzania

Kidatu nayo kuzimwa

Tanesco-27April2015Na Mwandishi Wetu, Kidatu

SIKU moja baada ya Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kusimamisha uzalishaji wa umeme katika Bwawa la Mtera, kituo cha kuzalisha umeme cha Kidatu kilichopo mkoani Morogoro  kinategemewa kuzimwa wakati wowote baada ya kupungua kwa kina cha maji.

Bwawa la Kidatu linazalisha megawati 204 lakini hivi sasa baada ya kina cha maji kupungua linazalisha megawati 27.

Taarifa ya kuzimwa kwa mitambo ya kuzalisha umeme ya Kidatu ilitolewa jana na Meneja wa kituo hicho, Mhandisi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simba nayo yajipigia KMKM

WEKUNDU wa Msimbazi, Simba, wameendeleza machungu kwa mabingwa wa soka Zanzibar, maafande wa KMKM, baada ya kuwachapa mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Kipigo hicho, kinakuja...

 

10 years ago

Mwananchi

Hii nayo ni sanaa ya kimataifa

Utamaduni wa Mtanzania, katika sekta ya burudani, unaweza ukapotea kama waongeaji tusipotumia majukwaa yetu ya kuongelea na kuliongelea hili angalau kwa uchache.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani